Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Hiyo taa niliyoweka jumper haikuwepo nimechukua taa ya nokia 1280 nimejumper namna hiyo.

Sehemu niliyoweka TWIZER nataka niweke jumper

nimebadili kioo kipya kinasoma ila tatizo hakioneshi mwanga.

NI HAYO WAKUU.

hazole1
taa kwenye nokia au sim yeyote haiwez kuungua maana mfumo wa hzo taa n diode ambayo volts inaingia hapo n consant apo n ishu n ic faults,npe model yke nkusaidie
 
mkuu labda sisi kwasabu huwa tunakomaa kutolea bloa na ndio maana sometime huwa zinazingua.
ila saizi nilikua na mpango wa kununua mashine ya kubadilishia. hivi hapo mjini huwa zinatembea bei gani?
Yangu nilinunua 300,000/-inazaid ya mwaka.Sina uhakika wa bei ya sasa
 
Wakuu mi sio mtaalamu wa hardware ila nipo fiti kwenye software tatizo langu nimepata huawei g610-u00 nataka kuiflash lakin haitaki kudetect... Nikiiwasha inaishia kwenye logo tu... Nimeweka collect drivers lakin bado haitak kudetect
Tumia sd card upgrade 10000% uhakika.. bt cyo sd cards zote zinazokubali, km ni fundi hope unalijua hlo... ikishindikana kabisa kata usb cable then tafuta DM,DP,GND na VBAT hzo ni mbadala wa hyo usb yako
 
Wezangu wa software nko na modem ya vodacom huawei E 303 nataka niunlock
Kuna 303 za kawaida na pia kuna hi link ambazo hazina installation yaani ukichomeka inajifungua yenyewe browser.. hyo yako ni ipi?
 
Wakuu hivi tatizo la inviled IMEI kwenye tecno m3 baada ya kuflash lina fixisiwa vp na ikiwa IMEI kwenye sticker yake nyuma chini ya bettery imeshafutika kbsa haionekani msaada tafadhalini.
Invalid imei huwa inaendana na unknown baseband.. go to settings halafu about phine kisha baseband.. kama baseband ipo basi unarepair tu imei bt kama base band ni unknown unatakiwa ku write NVRAM.. unaweza pata nvram kwa kufanya backup kutoka kwenye cmu kama hyo au cmu yenye same cpu yaani 6572
 
Yangu nilinunua 300,000/-inazaid ya mwaka.Sina uhakika wa bei ya sasa
bei nzuri na ninajua itakuwa itakuwa haijashuka kwasbabu saizi makufuli kila kitu anataka ushuru.

vipi changamoto ya kutumia hiyo mashine.
 
bei nzuri na ninajua itakuwa itakuwa haijashuka kwasbabu saizi makufuli kila kitu anataka ushuru.

vipi changamoto ya kutumia hiyo mashine.
Mwanzo nilivunja san vioo vya watu(ila nilikuw mjanja,nlikuw nawaambia wateja kuw kuna uwezekano wakuvunjika.So,tunakubaliana kabsa kikivunjia tunaweka complete)
Nilishaiprove,sivunji tena.
Kuna mazingatio yakufata.Ukivingatia hutavunja
 
kazi yetu ni sawa na ya udokta ila madokta kuna bàadhi ya sheria zinawalinda kwa mfano madokta wanapo ingia kwenye kazi ngumu kwa mfano ya aparesheni huwa mnasaini.

lakini kwasisi mafundi hakuna sheria zinazo tulinda na kwahiyo cha msingi hapo ni kucheza na akili yako na kujitungia sheria mwenyewe.
kwa mfano kama unafanya kazi ambayo imekaa dangerous inabidi umsainishe mteja kimaneno ili aihali mwenyewe.
 
Hawa mafundi tunaowakuta kwenye ofisi zao hatujui yupi wa hardware na yupi ni wa software tunawapa tu simu zetu.
Nahitaji fundi wa hardware aliyepo Dar nina Samsung Galaxy mbili S2 na S5.
S2 ilishawahi kutengenezwa na kubadilisha kifaa ila tatizo bado lipo vile vile.
 
Msaada nataka kuanza ufundi simu na computer.... mi sio fundi ila nina idea ya kutengeneza na ni mwepesi nikielekezwa... kwa sababu nishagusa gusa ivyo vitu kipindi cha nyuma.... shida yangu mi hivi.

Naomba nitajiwe list ya vifaa vyote ninavyoitajika kuwa navyo vitakavyohusika kutengeneza simu na comp... kuanzia scree mpaka mwiisho... tafadhar wadau
 
*Hakuna kitu kinaitwa ufundi wa simu kwa kompyuta,.kuna fundi wa hardware na fundi wa software.*

My bad nlichangia bila kuelewa vizuri alichokiandika nliyemreply.apologies.
 
Flashing and unlocking cyo kosa kwa hapa TZ bt kuna some countries ndo hawaruhusu network unlocking.. ieleweke kuna imei repair na imei change, imei repair cyo kosa kisheria ni kufanya restoration of phone's original imei ila kwa hapa TZ imei change ndo kosa...
 
Imei change ni illegal worldwide mzee
 
Back
Top Bottom