Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Hawa mafundi tunaowakuta kwenye ofisi zao hatujui yupi wa hardware na yupi ni wa software tunawapa tu simu zetu.
Nahitaji fundi wa hardware aliyepo Dar nina Samsung Galaxy mbili S2 na S5.
S2 ilishawahi kutengenezwa na kubadilisha kifaa ila tatizo bado lipo vile vile.
Hyo S2 wala usijisumbue nayo mkuu ishaisha muda wake,hata uifix mara ngapi
 
Hakuna kitu kinaitwa ufundi wa simu kwa kompyuta,.kuna fundi wa hardware na fundi wa software.
Yaaani wabongo hupenda kukosoa kuliko kutatua tatizo.... hapo ndio umerekebisha nin au umekosoa nini.... sidhan kam haujaelewa ninachomaanisha ila tu unataka uwe kundi la wajuvi....

Na kwa uelewa wako uo sahau kuwa expert....

Kwan anayeumwa figo ndani ya tumbo na mwenye kidonda mguuni.... wooote si wagonja na ni magonjwa ya mwanadamu.....

Eti ufundi software.... haya braza nitajie softaware gani iliharibika ukatengeneza....

usiwe unakurupuka.... kwanza ujue spftaware ni nini.... ile tafsiri yako ya vitu visivyoshikika kwa mikono... achana nayo unajivunjia eshima.... we taja tools pita hivi... huwez kula buyu...

Haya taja sasa software iliyoharibika ukatengeza na sio kurepair.. then nitajie na vifaa vyake vya kutengenezea....

Nitahakikisha umma unatambua uelewa wako wa kufikiri leo...
 
Sawa mkuu niliibackup NVRAM yake lakini kuirestore sasa ndio ikanishinda kabisa nifanyeje? Natumia SP FLASHING TOOL
 
Mzee uelewa wangu ndo huo wala sio mjuvi wala expert na wala sijataka kujifanya najua.ninavyoelewa mimi simu ina hardware na software na wapo mafundi wanaohusika kurepair hardware na wale wanaodeal na software(kuflash,repair IMEI,upgrade,kubadilisha imei,unlocking etc).
Kuna wale mafundi huwa wanaandika "TUNATENGENEZA SIMU KWA KOMPYUTA" kitu ambacho sio kweli mana wengi hurepair hardware.so I was just pointing that out and trying to be specific.alafu mbona kama unakuwa too uptight.hatupo kwenye ugomvi hapa,tunajadili na kuelimishana mzee kiroho safi
 
Tafuta miracle box cracked version 2.27 jst google it utaipata.. naamini drivers cyo issue kwako. Ukishaifungua miracle itakupeleka kwenye mtk tab then tafuta NV WRITE kisha browse folder uliyoweka hyo nv backup then click start na uconnect cmu yako.. km uko na windows 7 hyo miracle haitakuwa na start botton hvyo itakupasa urudishe settings za tarehe ya computer yako mwaka mmoja nyuma au zaidi
 
Haya mkuu nashukuru kwa msaada wako ngoja nifanyie kazi now.
 
taa kwenye nokia au sim yeyote haiwez kuungua maana mfumo wa hzo taa n diode ambayo volts inaingia hapo n consant apo n ishu n ic faults,npe model yke nkusaidie
Nokia x1-01

hazole1

Ile samsung 5301bado upande wa laini inazingua njia tatu zilikata
 
Mzee uelewa wangu ndo huo wala sio mjuvi wala expert na wala sijataka kujifanya najua.ninavyoelewa mimi simu ina hardware na software na wapo mafundi wanaohusika kurepair hardware na wale wanaodeal na software(kuflash,repair IMEI,upgrade,kubadilisha imei,unlocking etc).
Kuna wale mafundi huwa wanaandika "TUNATENGENEZA SIMU KWA KOMPYUTA" kitu ambacho sio kweli mana wengi hurepair hardware.so I was just pointing that out and trying to be specific.alafu mbona kama unakuwa too uptight.hatupo kwenye ugomvi hapa,tunajadili na kuelimishana mzee kiroho safi
Kama hauna uhakika na uelewa wako usipende kuuprofess hadharani....

kuna repair ya software ambayo haiusish hardware??

Ok... basi jibu unavyotaka weww..

Nitajie tools za kurekebisha softaware na za kurekebisha hardaware....
Kwani shida iko wapi??

Tatizo lako nakuahusha uelewa... kwamba unajua kukosoa tu.. kurekebisha hujui... ilo tatizo
 
Hardware na softaware ni vitu vinavyowiana kwa aailimia kubwa katika matumiZi sahihi ya kifaa husika....

Bila hardware storage iyo software utaifadhi wapi.... bila monitoring device ambayo ni hard ware iyo software utadevelop vip...

Bila kernel na other devices... iyo software itakua vip excuted...

Usiish kwa kukariri ukafanya vitu viwe complicated wakati rahisi tu...

Eti hakuna fundi simu wala fundi computer...
Kuna fundi hardware na software...

Iyo statement ulifikia kuandika kweli au components za computer hauzijui.....

Au ushawah letewa software hewani ukaitengeneza braza....
 
Mbona unaningangania sana mzee na hzo terminology mbona zinaeleweka,wapo mafundi walospeshalaizi kwenye kuripea hardware kama vioo,sakiti,sauti,system ya kuchaji,na mengineyo.na wapo wanaodeal na software mbona hata mleta uzi ameliongelea hili,unaka nkutajie vifaa kama vipi boksi/dongles ama?,
 
Hardware na softaware ni vitu vinavyowiana kwa aailimia kubwa katika matumiZi sahihi ya kifaa husika....

Bila hardware storage iyo software utaifadhi wapi.... bila monitoring device ambayo ni hard ware iyo software utadevelop vip...

Bila kernel na other devices... iyo software itakua vip excuted...

Usiish kwa kukariri ukafanya vitu viwe complicated wakati rahisi tu...

Eti hakuna fundi simu wala fundi computer...
Kuna fundi hardware na software...

Iyo statement ulifikia kuandika kweli au components za computer hauzijui.....

Au ushawah letewa software hewani ukaitengeneza braza....
Anha kumbe tatizo tatizo ndo hilo.Basi nahisi sikueleweka.my bad nlimaanisha kuwa wale wanaosema ni mafundi simu kwa kutumia kompyuta ni waongo hususan wanaondika katika mabango.ilhali ukienda ofisini kwake anafanya kazi ya kufunga vioo,kurekebisha spika na mengineyo ambayo wala hayahitaji kompyuta.sjui umenielewa arif?

Nimesharekebisha reply yangu ya mwanzo
 
6e712aba5356aef0f19553266c3665fb.jpg

Njia tatu zipo tatu hazipo Samsung gt-s5301 kwa mwenye mchoro wa hiyo simu au maelezo.

Blaster hazole1
 
Anha kumbe tatizo tatizo ndo hilo.Basi nahisi sikueleweka.my bad nlimaanisha kuwa wale wanaosema ni mafundi simu kwa kutumia kompyuta ni waongo hususan wanaondika katika mabango.ilhali ukienda ofisini kwake anafanya kazi ya kufunga vioo,kurekebisha spika na mengineyo ambayo wala hayahitaji kompyuta.sjui umenielewa arif?

Nimesharekebisha reply yangu ya mwanzo
Soma nilichouliza mwanzo kabisa afu badirisha unavyotaka wewe afu ujijibu ntakua nishajua ninachokitaka... maaana bado unayaruka maswali.

hatuwez fika conc
 
Hahah kumbe kuna unachotaka,basi kitafute kwa njia nyengine.nshakwambia nlisoma na kujibu kimakosa post ya jamaa unataka nini tena.wengine tukikosea tunakubali kurekebishwa bila kuleta ligi
 
Eti ulisoma na kujibu kimakosa.....

We si umenirekebisha... mi nimekuelewa na nimekubali....

Now ndio nikasema according to ur correction... nisaidie baasi kwa ivyo unavyotaka wewe kwamba kuna mafundi wa kutengeneza software na mafundi wa kutengeneza hardware hakuna mafundi wa simu wala wa computer...

Basi sawa nisaidie kujua tools zinazohitajika kutengenezea software na tools za kutengenezea hardware... mbona vitu vidogo tu jiamini braza sio league....

We si fundi.. rekebisha baas
 
Umekunywa benzine nn,nmekwambia the first reply was a mistake,damn it.swali lilisema ufundi wa simu na kompyuta,mimi nlielewa tafauti thats it.
Vifaa vya kurepair simu hata ningekuwa sivijui ninauwezo wa kugoogle nkaviweka hapa.hivyo hakiwezi kuwa kipimo cha ujuzi wangu
 
ila inatakiwa hapo kwenye maeneo ambayo upo jaribu kumtafuta fundi mzuri. ujifunze kwanza ule mwanzo wa ufundi. kwa mfano kufungua simu. kuunga mic. kuunga speaker. kubadilisha vioo. kubadilisha temino. kubadilisha syestem chaji. na ujifunze kutumia mita hata kidogo.
hivyo vingine utajiongeza mbele ya safari kwa mfano baadhi solution unaweza ukawa unajisomea kwenye google.
ila kiujumla ufundi hauna mwisho kwasababu teknolojia inabalika kila siku.

kwahiyo hata sisi hapa bado kuna mambo bado tunajifunza.
Ujajibu swali kuna vyuo vina fundisha kozi kama hizi hapa Bongo Mkuu
 
Umekunywa benzine nn,nmekwambia the first reply was a mistake,damn it.swali lilisema ufundi wa simu na kompyuta,mimi nlielewa tafauti thats it.
Vifaa vya kurepair simu hata ningekuwa sivijui ninauwezo wa kugoogle nkaviweka hapa.hivyo hakiwezi kuwa kipimo cha ujuzi wangu
Hakuna anayekupima.
Basi sawa tufanye unachotaka weww umeeleweka braza.
 
Back
Top Bottom