Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Frp nani alikufundisha ni ya kuflash

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu msaada kidogo ,
iyo simu ni HUAWEI Y330 kila mda inaandika ilo neno hapo juu halafu ukiingia kwenye app inagoma
Kwa mwenye kujua tatizo anisaidie
kameshachoka mjuba,tafuta hata huawei lua za tigo.[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Wakuu ninahitaji kioo cha Samsung s10 plus kiwe used maana kipya bei yake siwezi kwa asaivi
 
display ya huawei p30 lite inaweza kua shilingi ngapi kabla ya ufundi?
 
Habari mafundi na poleni na majukumu ya kila iitwayo leo.
Naomba msaada wenu wa shida zangu zifuatazo.
1. Nina simu tecno camon sijajua ni camon toleo gani naitaji kupata mashine yake na bei ya maahine ni kiasi gani? (Angalia picha hapa nimeambatanisha); maana sijajua kama ni camon 15, 15 Air au 16 S japo hii ni ndefu ina karibiana na infinix hot 9
2. Nina Xiaomi LTE Note 2 haina battery na kile kisehemu cha kupachikia mkanda wa battery kwenye mashine kimetoka na cable ya switch.
 

Attachments

  • 20210226_140039.jpg
    83.4 KB · Views: 21
  • 20210226_140029.jpg
    69.8 KB · Views: 22
  • 20210226_135942.jpg
    108.7 KB · Views: 26
upo mkoa gani
 
Mkuu me nikijana ambae natafuta sana kujifunza kuhusu ufundi CM naomba msaada wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…