Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

A20 Samsung ilimwagikiwa maji kuiwaaha mpaka ubonyeze volume down na power button. Ikizima haiwaki mpaka hui hardreset. Inaweza kuwa repaired?. Asanteni.
 
Wakuu Galaxy J7 Pro imebadilishwa Display mara nne. Mara mbili za mwanzo ilibadilishwa bure na Samsung Customer Service - Warranty.
Hivi Galaxy J7 Pro zote zina tatizo hili?

Mtumiaji (mzee mzima si mzembe) kwa hiyo sikubaliani na hoja ya mafundi kwamba anaiangusha. Kuna fundi mmoja alisema hata ikiwa mfukoni ikibanwa inaweza kufeli
 
kwani kioo kinakuwaje hadi kibadilishwe
 
A20 Samsung ilimwagikiwa maji kuiwaaha mpaka ubonyeze volume down na power button. Ikizima haiwaki mpaka hui hardreset. Inaweza kuwa repaired?. Asanteni.
kosa lako ni kuwa kwa vile tu umesema umeiwahi basi hujaipeleka ipate huduma yoyote kwa fundi ila hapo naona ipo nafasi yakuwa sawa tena kama ikipata fundi makini
 
  • Thanks
Reactions: J C
kosa lako ni kuwa kwa vile tu umesema umeiwahi basi hujaipeleka ipate huduma yoyote kwa fundi ila hapo naona ipo nafasi yakuwa sawa tena kama ikipata fundi makini
Yeah. Ndio natafuta. Ile display ya kwanza ya lock screen ndio imekufa.
 
kwani kioo kinakuwaje hadi kibadilishwe
Kinatoa doa linakuwa kubwa mwishowe kioo kinakuwa cheusi. Au kinakuwa cheusi ghafla. Ukienda kwa fundi anakuambia badilisha kioo. Mara 2 ilitokea muda wa warranty wakabadili bure. Zilizofuata tulilipia kioo.
Shukran mkuu.
 
kama kuna fundi simu yupo kariakoo tuchekiane anisaidie simu yangu.
 
Kinatoa doa linakuwa kubwa mwishowe kioo kinakuwa cheusi. Au kinakuwa cheusi ghafla. Ukienda kwa fundi anakuambia badilisha kioo. Mara 2 ilitokea muda wa warranty wakabadili bure. Zilizofuata tulilipia kioo.
Shukran mkuu.
kama doa hapo ni hakika hiyo simu kuna kitu kinaisababshia hvyo, ni aidha kuangushwa au kukandamizwa. au pia labda kwenye hyo housing yake labda chini ya kioo kuna kitu kipo kinaumiza kioo
 
Kwa hiyo si tatizo la toleo hili la simu?
Shida mshua ndio anaipenda. Gharama za kubadili kioo kwa mafundi tofauti tulilipa 90k na 120k.
Tuachane nayo au tubadili tena?
 
badili tu kioo na mm mwenyewe ni shuhuda toleo hilo nimelitumia ni simu iko poa sana na cjawahi kushuhudia hilo tatizo na bei zake ndio hizo ila chakuhakikisha ni kuwa fundi awe mwaminifu ili akuwekee kioo namba 1 na sio namba 2
 
Pamoja mkuu🙏🏼
 
Tecno k9 Nimebadili betri zaidi ya 3 ila bado inaleta huu ujumbe
DSC_0099.JPG
 
Back
Top Bottom