natafuta screen ya samsung galaxy S4
kama haipandishi mtandao basi inakubidi uiflash then uiandikie chetiwazee nina shida kidogo hapa msaada
S8 G950U,tatizo lake ni hii msg after flashing kama kuna mwenye suluhu au rom inayoweza kutulia bila kuleta hii msg
shukran
View attachment 1395346
kuna sea piano imejilimit sauti ukiweka 60 kama umeweka 20 shida itakuwa ni ni ni mkuuFUNDI REDIO
AMPLIFIER
AU KIFAA KINACHOHUSISHA UKUZWAJI WA SAUTI NIKO HAPA
kama haipandishi mtandao basi inakubidi uiflash then uiandikie cheti
Sent using Jamii Forums mobile app
Me IMEI namba imefutikaaa🤨🤨🤨🤨wazee nina shida kidogo hapa msaada
S8 G950U,tatizo lake ni hii msg after flashing kama kuna mwenye suluhu au rom inayoweza kutulia bila kuleta hii msg
shukran
View attachment 1395346
Me IMEI namba imefutikaaa🤨🤨🤨🤨
Msaada mwenye mchoro au anaejua hizi key pad ways model tecno t728 keys zisizo fanya kazi 1-4-7-*kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.
kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na mteja na akasema umembadilishia saketi na mnaweza kufikshana hata polisi mteja kama sio muelewa.
tatizo linakuwa wapi?
inamaana wakati unaifungua hiyo simu ulitoa betri bila kuzima simu. kwahiyo unapo toa betri hakikisha unazima simu.
na ikizima hivyo solution yake simu inatakiwa iende ikaflashiwe.
lakini tatizo lingine hawa mafundi software wanatuangusha sana mafundi hardware huwa hawataki kukomaa kabisa na wanapenda kazi rahisi rahisi na sijajua tatizo nini kwamba mazingira yanawabana au vipi.
kwasababu wao simu nyingi ukiwapelekea za kuflash. wanakuambia memory imekufa au kwenye computer haisomi lakini ukipima njia za usb ziko safi.
kazi ya hardware inahitaji akili yako zaidi tofauti na majamaa wanao deal na software wao kila kitu wanagoogle.
sisi upande hardware kuna baadi simu hata ugoogle vipi huwezi kupata solution hasa hizi tecno.
na ktk matatizo ya simu ambayo yanawatesa mafundi simu ni haya matatizo ya tecno.
na hii tuseme ukweli tecno na simu ya kimaskini na ndio maana kila mtanzania mwenye kipato cha chini anakimbilia.
na tecno ni simu ambayo matatizo yake ni pasua kichwa na ndio maana tatizo lolote ukiwapelekea tecno wenyewe wanakimbilia kubalisha saketi.
mm ni fundi ambaye natengeneza simu nyingi ambazo mafundi huwa wanzangu wanazishindwa.
siri ya ufundi simu.
1 ni kujua kuitumia mita vizuri 2 kujua kutumia gani vizuri 3 kuwa msafi 4 na kuwa mkweli.
kuna baadhi simu za tecno ambazo mafundi simu walisha kata tamaa kwamba hazi tengezeki lakini leo nitawapa baadhi ya solution kadri muda utakavyo kuwa unaniruhusu.
na kama hata ww utakuwa unasolution yoyote tutaomba tuzidi kusaidina.
tecno h5 p5 m3 hizi simu zimekuwa na tazizo sugu ukitaka kuiwasha tu inakuwa inajiminya button ya kujifomart
lakini mm kadri ya uwezo wangu nilijitahidi kugungundua solution ya hii tecno m3 kwa 100%.![]()
na leo nataka nianzie hapo baadaye nitaleta solution
za tecno
fake charging tecno h6 l5 l6 tecno c8 c5
harafu nitaleta solutiona ya mic ya tecno ya tecno t340 na tecno zote zina zinazotumia system ya chaji ya v3
na hizo solution huwezi kuzipata pale na zamani tulizoe solution kutoka india lakini hizo simu india hazipo kwahiyo waafrika tukomae.
![]()
![]()
unlock network mkuu ungekua kibha karibu ofisiniNimeflash simu tecno f2 lte kwa kutumia tecno flash tool mwanzonni ilikuwa na frp nimedownload file kutoka havotek nikaflash tatizo likatokea imei imefutika na baseband unknown, nikadownload tena file kutoka naija rom nikapiga file imei na baseband ikarudi ila tatizo ni sim card 1 iko locked na vodacom na iyo ndio yenye option ya 3g/4g na sim 2 ni 2g tu na ukitumia bila line ya voda sim 1 huwezi kupata mtaandao, naomba msaada nifanyanje niweze kutatatua hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni ya mitandao ya nje nn?wazee nina shida kidogo hapa msaada
S8 G950U,tatizo lake ni hii msg after flashing kama kuna mwenye suluhu au rom inayoweza kutulia bila kuleta hii msg
shukran
View attachment 1395346
Badili battery kwanzaNina tablet ya sumsung s9, betri linaniambia 100% ila nikichomoa kwenye charger inajizima, inaanza kuunguruma, kama vile inataka ku restart ila inashindwa, so inabidi mda wote iwe connected kwenye umeme, tatizo ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Badili battery kwanzaNina tablet ya sumsung s9, betri linaniambia 100% ila nikichomoa kwenye charger inajizima, inaanza kuunguruma, kama vile inataka ku restart ila inashindwa, so inabidi mda wote iwe connected kwenye umeme, tatizo ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Badili system chargeTecno T660 inaandika battery error ukichomeka kwenye charge..
Nimejaribu kubadirisha battery bado
Nimejaribu kubadirisha charge tofauti tofauti bado..
Msaada wakuu
Badili system charge
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk