Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Nina Nokia 2.1 imeingia maji takribani miezi 4 imepita. Nilikuwa safari ndiyo nimerudi.... inaweza kutengenezeka.?
 
Hamieni ulimwengu wa Nokia 5.1,6.1 au hata 7.1 bonge ya simu hakuna stress tena. samsung siku hizi miyeyusho tu chai hazikai spea mtiti
 
mafundi; simu yang samsung lkn shida nikiwa kivulin touch hairespond ila kweny jua inapiga fresh shida n nn apo?
 
Mambo vp wadau mm nina shida nina tecno w5 mic hamna mawasiliano kabisa naomba mwenye mchoro wa rupin
Nunua kibati kipya ila inabidi uende dukan kujaribia hapohapo unapochukua maana vingine vnagoma network
 
Nahitaji fundi wa kunibadilishia housing ya simu yangu, na kioo cha nje kina creak,
Aina ya simu ni Tecno Boom J8.

Naomba msaada wa fundi anae weza kuifanya hii kazi.
Ahsante
 
Back
Top Bottom