Niuzie kioo mkuu!A20 Samsung ilimwagikiwa maji kuiwaaha mpaka ubonyeze volume down na power button. Ikizima haiwaki mpaka hui hardreset. Inaweza kuwa repaired?. Asanteni.
Inafanya kazi ila mpaka u hardreset na display nimeiwekea dakika kumi bila ya kuzima. Shida ni hiyo tu ikizima kuiwasha mpaka u hardresertNiuzie kioo mkuu!
kwani kioo kinakuwaje hadi kibadilishweWakuu Galaxy J7 Pro imebadilishwa Display mara nne. Mara mbili za mwanzo ilibadilishwa bure na Samsung Customer Service - Warranty.
Hivi Galaxy J7 Pro zote zina tatizo hili?
Mtumiaji (mzee mzima si mzembe) kwa hiyo sikubaliani na hoja ya mafundi kwamba anaiangusha. Kuna fundi mmoja alisema hata ikiwa mfukoni ikibanwa inaweza kufeli
kosa lako ni kuwa kwa vile tu umesema umeiwahi basi hujaipeleka ipate huduma yoyote kwa fundi ila hapo naona ipo nafasi yakuwa sawa tena kama ikipata fundi makiniA20 Samsung ilimwagikiwa maji kuiwaaha mpaka ubonyeze volume down na power button. Ikizima haiwaki mpaka hui hardreset. Inaweza kuwa repaired?. Asanteni.
Yeah. Ndio natafuta. Ile display ya kwanza ya lock screen ndio imekufa.kosa lako ni kuwa kwa vile tu umesema umeiwahi basi hujaipeleka ipate huduma yoyote kwa fundi ila hapo naona ipo nafasi yakuwa sawa tena kama ikipata fundi makini
Kinatoa doa linakuwa kubwa mwishowe kioo kinakuwa cheusi. Au kinakuwa cheusi ghafla. Ukienda kwa fundi anakuambia badilisha kioo. Mara 2 ilitokea muda wa warranty wakabadili bure. Zilizofuata tulilipia kioo.kwani kioo kinakuwaje hadi kibadilishwe
kama doa hapo ni hakika hiyo simu kuna kitu kinaisababshia hvyo, ni aidha kuangushwa au kukandamizwa. au pia labda kwenye hyo housing yake labda chini ya kioo kuna kitu kipo kinaumiza kiooKinatoa doa linakuwa kubwa mwishowe kioo kinakuwa cheusi. Au kinakuwa cheusi ghafla. Ukienda kwa fundi anakuambia badilisha kioo. Mara 2 ilitokea muda wa warranty wakabadili bure. Zilizofuata tulilipia kioo.
Shukran mkuu.
Kwa hiyo si tatizo la toleo hili la simu?kama doa hapo ni hakika hiyo simu kuna kitu kinaisababshia hvyo, ni aidha kuangushwa au kukandamizwa. au pia labda kwenye hyo housing yake labda chini ya kioo kuna kitu kipo kinaumiza kioo
badili tu kioo na mm mwenyewe ni shuhuda toleo hilo nimelitumia ni simu iko poa sana na cjawahi kushuhudia hilo tatizo na bei zake ndio hizo ila chakuhakikisha ni kuwa fundi awe mwaminifu ili akuwekee kioo namba 1 na sio namba 2Kwa hiyo si tatizo la toleo hili la simu?
Shida mshua ndio anaipenda. Gharama za kubadili kioo kwa mafundi tofauti tulilipa 90k na 120k.
Tuachane nayo au tubadili tena?
Pamoja mkuu🙏🏼badili tu kioo na mm mwenyewe ni shuhuda toleo hilo nimelitumia ni simu iko poa sana na cjawahi kushuhudia hilo tatizo na bei zake ndio hizo ila chakuhakikisha ni kuwa fundi awe mwaminifu ili akuwekee kioo namba 1 na sio namba 2
vp ufund wa software unalipa?Mi nilishashindwa sa hv najikita kwenye software tu
Chuo cha kujifuza ufundi simu kiko wapi kwa Tanzania au hata nje ya nchi hasa africa mashariki.
Uko wapi mkuu tuje tufanye hiyo kaziTecno k9 Nimebadili betri zaidi ya 3 ila bado inaleta huu ujumbe View attachment 1752238
hivi touch ya s8plus inabadirishika??
NOTE:haisense kabisa.
sio kioo namaabisha touch au haitengan??Yes. Bei ni 150k