Mafundi ujenzi kutoka Asia wanyang'anywa passport na kulazimshwa kuingia jeshini Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi imeishiwa wanajeshi hadi imeanza matendo ya kihuni, wageni wanaofanya kazi za ujenzi wanasakwa na kunyang'anywa paspoti na kulazimishwa mafunzo ya kijeshi kisha wanatiwa frontline kujaribu kuzuia mtiti wa counteroffensive ya Ukraine.

Russia recruits migrants from Central Asia to cover their war losses to close losses – UK Intelligence

PHOTO: SPUTNIK
Since the end of June, Russia has been enticing citizens of neighbouring nations and migrants from Central Asia with advertisements for recruits to join the conflict in Ukraine.

Source: UK Ministry of Defence Intelligence review on Sunday, 3 September, as reported by European Pravda

Details: Online job postings have been observed in Kazakhstan and Armenia promising an initial salary of RUB 190,000 [approx. US$1,973] and starting payments of RUB 495,000 [approx. US$5,140]. There have been recruitment attempts aimed at ethnic Russians in the northern Qostanai region of Kazakhstan.

Russia has been enticing migrants from central Asia to fight in Ukraine since at least May 2023 with promises of quick citizenship and payments of up to $4,160 USD.

Uzbek migrant builders in Mariupol reportedly had their passports confiscated on arrival and forced to join the Russian army. Russia is home to at least six million Central Asian migrants, whom the Kremlin likely views as potential recruits.

It is likely that Russia wants to avoid further unpopular internal mobilisation measures ahead of the 2024 presidential election, the UK analysts emphasise. The exploitation of foreign citizens allows the Kremlin to obtain additional personnel for military operations in the face of growing losses.

Habari zako kumbe kutoka uingereza 😂 pole sana we muamini tu US na Muingereza hakuna watu waongo duniani kama hawa.
 
Yaani habari ya Paka unaenda kuiuliza kwa Panya, huu ni ujinga wa karne, hao waingereza Poseidon inawasubiri.
 
Habari zako kumbe kutoka uingereza [emoji23] pole sana we muamini tu US na Muingereza hakuna watu waongo duniani kama hawa.
vita mwaka wa pili , na yenyewe ni uzush wa UK na USA , je wale vijana wa Zambia n Tanzania waliokufa vitan , na wenyew ni uzushi wa USA na UK , kwann unapenda utomaso?
 
Kuna aliyewalazimisha kupigana, si walitaka kulipia makosa yao.
 
Zile habari za kwamba Russia wana wanajeshi milioni moja waga ni stori za kamba tu sasa wako wapi basi.
Tushangae pamoja mkuu!

Tangu vita vianze tunasikia Urusi inapiganisha mecenaries wa Wagner PMC!

Tena wengi wa hao wakiwa ni wafungwa wanaotolewa jela kwa kusainishwa mkataba na kupigwa msasa wa mafunzo mafupi ya kijeshi na kuswagwa vitani.

Sijasikia "Jw" ya Urusi ikipigana Ukraine na eti bado wanahaha kusaka wahamiaji mitaani kuwapeleka jeshini!

Hii imekaaje wakuu?
 
Tulia wewe, moto unaingia pole pole, Mobilization ya raia haina faida, wakati kuna wageni wa kufanikisha hilo.
 
Habari zako kumbe kutoka uingereza 😂 pole sana we muamini tu US na Muingereza hakuna watu waongo duniani kama hawa.
Ukisikiliza habari za kutoka kwa jamaa huyu, ndio utajua aidha ni troll anayelipwa kueneza propaganda za vujiweni au kichwa chake kiko wired ndio sivyo by his MAKER - hajui vizuri historiria yavmambo mengi zaidi ya ku-copy copy kutoka kwenye past archives za propaganda za west na hajui lipi la kuandika na lipi ahache - narudia kuwatadharisha sana kwamba chunga sana jamaa huyu ni muongo namzushi balaa.

Chukulia mfano huu wa kusema eti Urusi imehishiwa na waba jeshi, kauli hiyo inadhilisha wazi kwamba halijui vizuri kwa undani taifa la Urusi, hana habari kwamba Warusi zaidi ya million 43 kupoteza zaidi ya wanajeshi na volunteers million 43 during WW2 kukomboa Dunia dhidhi ya mafashiti wa KINAZI wa Kijerumani ambao umeanza kuibuka tena huko Ukraine kwa kuwa supported na the west mchana kweupe, sasa swali kwako ni kwa akili zako za ajabu unaona ajabu Urusi kutitolea kupoteza 1.5 million soldiers na volunteers katika vita hii linapokuja suala la kulinda taifa lao/Urusi - wapo tayari kufanya lolote hata kama ni kugeuza USA land mass na EU into thermonuclear waste land - Russian walisha jipanga miska mingi jinsi ya kukinga raia wao dhidi ya madhara ya nuclear - US hiko busy kupindua Serikali za mataifa mengine na kuanzisha vita ili wauze silaha hawana habari na suala la kulinda raia wao dhidi ya silaha za kisasa, wapo wapo tu kelele nyingii na vitisho, ukiwambia tuonyeshe hata hypersonic missile moja hata ya kusingiziwa - hawana. Wao na swahiba wao mkuu MK-254 hawana tofauti wanaishi kwenye ..Alince itn a wonderland!!!
 
Kuna aliyewalazimisha kupigana, si walitaka kulipia makosa yao.
una uhakika gan kuwa waliomba kupigana ? ndio mtu mweusi unaitwa mtumwa angalia waarab wanavyoshikama kwenye mambo yao , ila nyiny vichwa maji mwenzenu kauawa ila mnakenua tu et walitaka
 
Tushangae pamoja mkuu!

Tangu vita vianze tunasikia Urusi inapiganisha mecenaries wa Wagner PMC!

Tena wengi wa hao wakiwa ni wafungwa wanaotolewa jela kwa kusainishwa mkataba na kupigwa msasa wa mafunzo mafupi ya kijeshi na kuswagwa vitani.

Sijasikia "Jw" ya Urusi ikipigana Ukraine na eti bado wanahaha kusaka wahamiaji mitaani kuwapeleka jeshini!

Hii imekaaje wakuu?
wamba wagner ndo waliivamia ukraine?
 
Ukisikiliza habari za kutoka kwa jamaa huyu, ndio utajua aidha ni troll anayelipwa kueneza propaganda za vujiweni au kichwa chake kiko wired ndio sivyo by his MAKER - hajui vizuri historiria yavmambo mengi zaidi ya ku-copy copy kutoka kwenye past archives za propaganda za west na hajui lipi la kuandika na lipi ahache - narudia kuwatadharisha sana kwamba chunga sana jamaa huyu ni muongo namzushi balaa.

Chukulia mfano huu wa kusema eti Urusi imehishiwa na waba jeshi, kauli hiyo inadhilisha wazi kwamba halijui vizuri kwa undani taifa la Urusi, hana habari kwamba Warusi zaidi ya million 43 kupoteza zaidi ya wanajeshi na volunteers million 43 during WW2 kukomboa Dunia dhidhi ya mafashiti wa KINAZI wa Kijerumani ambao umeanza kuibuka tena huko Ukraine kwa kuwa supported na the west mchana kweupe, sasa swali kwako ni kwa akili zako za ajabu unaona ajabu Urusi kutitolea kupoteza 1.5 million soldiers na volunteers katika vita hii linapokuja suala la kulinda taifa lao/Urusi - wapo tayari kufanya lolote hata kama ni kugeuza USA land mass na EU into thermonuclear waste land - Russian walisha jipanga miska mingi jinsi ya kukinga raia wao dhidi ya madhara ya nuclear - US hiko busy kupindua Serikali za mataifa mengine na kuanzisha vita ili wauze silaha hawana habari na suala la kulinda raia wao dhidi ya silaha za kisasa, wapo wapo tu kelele nyingii na vitisho, ukiwambia tuonyeshe hata hypersonic missile moja hata ya kusingiziwa - hawana. Wao na swahiba wao mkuu MK-254 hawana tofauti wanaishi kwenye ..Alince itn a wonderland!!!
Ng'ombe
 
Wewe leta za Uarabuni tukusmini bwana sheikh.
Nilikua najiuliza kwanini mnamchukia Zelensky, kumbe na nyie mumeaminishwa kuwa ni Myahudi Putin ajaribu kete nyingine, asema Zelensky ni myahudi
 
una uhakika gan kuwa waliomba kupigana ? ndio mtu mweusi unaitwa mtumwa angalia waarab wanavyoshikama kwenye mambo yao , ila nyiny vichwa maji mwenzenu kauawa ila mnakenua tu et walitaka
Wewe umefanya nini baada ya wao kuuawa, au wewe ni kichwa cheupe.
Kama huyo mzambia alikua gerezani kwa kesi ya madawa alienda kusoma aka anza kujihusisha na madawa akakamatwa akasetwa gerezani, nafasi zilpotoka kupigana ili kulipia deni lake akaenda, af unadai aliuawa, vitani alijua anaenda kucheza mpira si ndio, hebu acheni upuuzi na kujitoa akili basi.
 
Back
Top Bottom