Mafundi wa aina yoyote na huduma zote za ujenzi zinapatikana hapa

Mafundi wa aina yoyote na huduma zote za ujenzi zinapatikana hapa

frabel

Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
96
Reaction score
60
Habari wadau wa JF
Poleni na majukumu

Kutokana na uhitaji mkubwa wa mafindi na ombwe la uelewa na uzoefu hafifu wa mafundi ujenzi wengi kusindwa kukidhi soko la ujenzi na makazi, sasa kupitia uzi huu utapa huduma zote za ujenzi kuanzia kuchora ramani hadi kukabidhiwa ufunguo wa nyumba yako
-HOUSING ONE STOP CENTER, au KITUO CHA HUDUMA ZOTE ZA UJENZI.

Izingatiwe kuwa, tuna mafundi weledi wote kutokana na aina ya uhitaji wako katika tasnia ya ujenzi na makazi.

Huduma zetu zimegawanywa katiaka idara zifuatazo.

1- UCHORAJI RAMANI
2- UJENZI
3- UPAUAJI
4- UMEME
5- BOMBA / PLUMBING
6- USELEMARA
7- UCHOMEREAJI NA MADIRISHA YA ALMINIUN

Kazi zingine chini ya idara hizo ni:
8- Kupiga plasta
9- Kutandika tiles za mbao na za
kawaida kwa kutumia gundi
au saruji
10- Kufunga gypsum board
11- Kufunga bomba za maji
taka na Safi
12- Urembo wa ndani wa paa
n.k

SIFA ZETU MHIMU NI:
13- Uaminifu wa vifaa kazi
14- Uaminifu wa makubaliano
15- Kuharakisha kazi na kuokoa
gharama za usimamizi
kwa wamiliki.
16- Kushauriana kwa kila hatua
17- Kufanya kazi Bara na Visiwani
18- Kuwajibika bila usumbufu

Kauli mbiu yetu ni:
TUPE KAZI TUKUACHIE FURAHA

Kwa mawasiliano na ofisi ni
0753927572 - wasap
0713665510 - kupiga
0629361896 - Kupiga

Karibuni wote.

Screenshot_20210316-144107.jpg


Screenshot_20210316-144716.jpg


Screenshot_20210316-144752.jpg


Screenshot_20210316-143538.jpg


Screenshot_20210316-143558.jpg


Screenshot_20210316-144038.jpg


Screenshot_20210316-144144.jpg


Screenshot_20210316-144938.jpg


IMG_20210211_034422_0.jpg


IMG_20210202_182816_8.jpg
Screenshot_20210316-144107.jpg
Screenshot_20210316-144716.jpg
Screenshot_20210316-144752.jpg
Screenshot_20210316-143538.jpg
Screenshot_20210316-143558.jpg
Screenshot_20210316-144038.jpg
Screenshot_20210316-144144.jpg
Screenshot_20210316-144938.jpg
IMG_20210211_034422_0.jpg
IMG_20210202_182816_8.jpg
 
Mkuu naweza kupata kazi hapo ya ufundi umeme
Unaweza kupata mkuu, isipokuwa ni kupitia miradi tunayo pata,
Nafas za ajira ukweli kwa sasa zimejaa, ila usisite kutuchek kila upatapo nafas
 
Habari wadau wa JF
Poleni na majukumu

Kutokana na uhitaji mkubwa wa mafindi na ombwe la uelewa na uzoefu hafifu wa mafundi ujenzi wengi kusindwa kukidhi soko la ujenzi na makazi, sasa kupitia uzi huu utapa huduma zote za ujenzi kuanzia kuchora ramani hadi kukabidhiwa ufunguo wa nyumba yako
-HOUSING ONE STOP CENTER, au KITUO CHA HUDUMA ZOTE ZA UJENZI.

Izingatiwe kuwa, tuna mafundi weledi wote kutokana na aina ya uhitaji wako katika tasnia ya ujenzi na makazi.

Huduma zetu zimegawanywa katiaka idara zifuatazo.

1- UCHORAJI RAMANI
2- UJENZI
3- UPAUAJI
4- UMEME
5- POMBA / PLUMBING
6- USELEMARA
7- UCHOMEREAJI NA MADIRISHA YA ALMINIUN

Kazi zingine chini ya idara hizo ni:
8- Kupiga plasta
9- Kutandika tiles za mbao na za
kawaida kwa kutumia gundi
au saruji
10- Kufunga gypsum board
11- Kufunga bomba za maji
taka na Safi
12- Urembo wa ndani wa paa
n.k

SIFA ZETU MHIMU NI:
13- Uaminifu wa vifaa kazi
14- Uaminifu wa makubaliano
15- Kuharakisha kazi na kuokoa
gharama za usimamizi
kwa wamiliki.
16- Kushauriana kwa kila hatua
17- Kufanya kazi Bara na Visiwani
18- Kuwajibika bila usumbufu

Kauli mbiu yetu ni:
TUPE KAZI TUKUACHIE FURAHA

Kwa mawasiliano na ofisi ni
0753927572 - wasap
0713665510 - kupiga
0629361896 - Kupiga

Karibuni wote.
Kazi Bado inaendelea.wadau.

Wadau.
 
Habari wakuu,

UVIMO ni jumuia ya mafundi wa ujenzi .
Tuna fanya kazi zifutazo nchi nzima ikiwemo Zanzibar

1-Kujenga hadi magorofa
2-Kupaua
3-Plasta
4-Kupaka rangi
5-Kutandika tiles
6-Mifumo ya bomba
7-Milango
8-Magril
9-Alminiam
10-Ramani
11-Kufanya makadirio na makisio ya ramani au bila ramani.

SIFA YETU
1-Uaminifu wa mkataba na vifaa
2-Kujituma na kutoa
3-Ushauri wa kiuzoefu.
4-Kazi bora kabisa (video zipo)

Kwa mawasiliano
0753927572-wasap
0629361896
0713665510
 
Sasa UVIMO ni suruhisho la hitaji lako la kujenga na kufanya finishing.

Habari wadau wa JF
Poleni na majukumu

Kutokana na uhitaji mkubwa wa mafundi na ombwe la uelewa na uzoefu hafifu wa mafundi ujenzi wengi kusindwa kukidhi kiu ya ujenzi na makazi,
sasa kupitia uzi huu utapata huduma zote za ujenzi kuanzia kuchora ramani hadi kukabidhiwa ufunguo wa nyumba yako
-HOUSING ONE STOP CENTER, au KITUO CHA HUDUMA ZOTE ZA UJENZI.

Izingatiwe kuwa, tuna mafundi weledi wote kutokana na aina ya uhitaji wako katika tasnia ya ujenzi na makazi.

Huduma zetu zimegawanywa katiaka idara zifuatazo:
1- UCHORAJI RAMANI
2- UJENZI
3- UPAUAJI
4- UMEME
5- POMBA / PLUMBING
6- USELEMARA
7- MAGRILI NA ALMINIUN
8-KUSOMA RAMANI/KUFANYA TAHIMINI

Kazi zingine chini ya idara hizo ni:
8- Kupiga plasta
9- Kutandika tiles za mbao na za
kawaida kwa kutumia gundi
au saruji
10- Kufunga gypsum board
11- Kufunga bomba za maji
taka na Safi
12- Urembo wa ndani wa paa na TV show case.
n.k

SIFA ZETU MHIMU NI:
13- Uaminifu wa vifaa kazi
14- Uaminifu wa makubaliano
15- Kuharakisha kazi na kuokoa
gharama za usimamizi
kwa wamiliki.
16- Kushauriana kwa kila hatua
17- Kufanya kazi Bara na Visiwani
18- Kuwajibika bila usumbufu

Kauli mbiu yetu ni:
TUPE KAZI TUKUACHIE FURAHA

Kwa mawasiliano na ofisi ni
0753927572 - wasap
0713665510 - kupiga
0629361896 - Kupiga

Karibuni wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZINGATIO MHIMU WAKATI WA KUJENGA.

Kipengele cha pili =Ujenzi.

Kutokana na maswali tunayo kutana nayo UVIMO kutoka kwa wadau wetu,.
Leo nimeona nionyeshe angalau mahitaji mhimu ya ujenzi wa chumba kimoja chenye ukubwa wa futi 10 kwa 10.

Kama wewe una tarajia kujenga nyumba na fundi wako amekuletea tathimini, basi tunakushauri UVIMO tunakushauri ufaham angalau haya ili ujue uweze kuwa kwenye nafasi ya kutambua ripoti utakayo letewa.

Na huu ndo mfumo wa utoaji taarifa za tathimini za ujenzi endapo utatupa kazi UVIMO ya kukufanyia tathimini (BOQ). Hapa sijaweka makadirio bei za vifaa ila tuanze hivi kwanza.

+Kama unatumia sement no 32.5
+Tofali 85=Sement 1
+Sement 1= mchanga ndoo 24
+Tofali 100 =maji lita 220 pamoja na kumwagilia.
+Kimo cha nyumba kutoka msingi hadi top kozi angalau 320cm
+Chumba chote =350

Kwa ufupi mahitaji ya chumba chetu
1-Tofali -350
2-Sement kujenga-5
3-Mchanga ndoo -120
4-Maji liata-650

LENTA
5-Sement -1
6-mchanga ndoo-15
7-Misumari 4'=1
8-Misumari 3'=1
9-Mbao misufi 1x10=8
10-Mbao 1x1,12ft =1
11-Angle waya 4'=20

KUPAUA-hutegemeana na staili,
11-Mbao 2x4 =10
12-Mbao 2x2=10
13-Binding waya rola=1
Bati mita3/10ft=15
Misumari ya bati kilo=2
Fisha board 1x10=4

MILANGO & MADIRISHA
Flemu =1
Grill la mlango
Mlango 250x85 cm=1
Magril dirisha 6x6ft =2
Rangi ya mafuta lita=4
Bawaba 5'=3
Kitasa=1
Komeo dogo=1

PLASTA-nje ndani
Sement =5
Mchanga ndoo =75
Maji lita =600

KUFUNGA PAA
Mbao 2x2 =13
Gypsum board=4
Gypsum screw box=1
Fiber tape=1
Misumari 4'=1
Misumari 3'=2
Gypsum poda mikanda-1

RANGI
Gypsum poda-5
Maji lita =40
Primer/bainder lita =5
Rangi ya maji nyeupe lita =10
Rangi ya silki lita -10
Rangi ya wether gadi lita =5
Rangi ya mafuta nyeusi scutting-lit4
Msasa no. 120 mita =1

SAKAFU NA TILES
Mchanga ndoo =15 (hutegemea)
Kokoto ndoo =15 (hutegemea
Sement =4
Tiles box=8 (+ngazi)
Scutting box -2
Maji lita =140

Hapa kuwa makini ndo chanzo cha tiles nyingi kubanduka na kukutia hasara, mafundi wengi wanashindwa kujua uwiano halisi wa uchanganyaji.
Epuka mafundi kanjanja.

UMEME
Zingatia, swich ya kitandan, taa 2za nje,
Circuit breaker=1
Maini swich=1
Waya 6mm mita =2
Waya 1.5v mita=20
Waya 2.5v mita=10
Square box=7
Lighting swich 3gangs, 2ways=1
Lighting swich 1gangs, 2ways=1
Switch 2.5v=4
Earth waya mita= 4
Copper Earth rod =1
Holder =3
Balbu=3

Hapo unaweza kuanza kutumia chumba chako angalau.

Kumbuka hapo tumezingatia ujenzi wa chumba tu.
Mengine tunaweza kujadiliana kwa kuuliziana na kujibiana.
Asante

Kumbuka,
UVIMO tuna watalaam wa kila eneo.
Wasiliana nasi kwa

0753927572-Wasap
0629361896-kupiga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAKADIRIO YA VIFAA VYA UJENZI

Makadirio ya vifaa jenzi ni maandalizi ya bajeti kabla ujenzi.
Hii inakupa nafasi ya kujua

1-Mahitaji gani kwa kiasi gani na yenye thamini gani hatimaye jumla ya gharama yote.

2-Pia inatupa fursa ya kufanya maandalizi ya ujenzi.

3-Tunapata nafasi ya kuamua dhidi ya maandalizi yetu .

Uvimo tunatoa huduma hii kwa ufasa kabisa.
Mfumo wetu wa utoaji taarifa baada ya makadirio kama ni nyumba yote itakupa picha halisi hata kama hujui vitu basi utaelewa vema.

Wasiliana nasi
0753927572 - Wasap
0629361896 - Kupiga
 
UVIMO ni kitu gani hasa?

- Ni jumuia ya mafundi katika tasinia ya ujenzi inayo jihusisha na ujenzi wa majumba ya kisasa na kale.

Nini maudhui ya Uvimo?
kwa sababu ya ubabaishaji na wizi wa mafundi wengi, uvimo Sasa imekuwa suruhu kwa watu wengi wanao jenga.

Tuko Morogoro na Dar es salaam

UVIMO- Tunaenda na kasi ya mteja wetu kwa vile mafundi na wasaidizi wao wapo.

UVIMO -Tunachukua dhamana wakati wote wa makubaliano ya kazi.

UVIMO-Hatuchukui kazi nyingine kabla ya kazi iliyopo kuisha.

UVIMO -Wateja wote wenye haraka huwaomba watungoje kwa sababu tunaye mfanyia kazi wakati huo ana umhim sana na huyo ajaye.

UVIMO - Tunakuhakikishia furaha wakati na baada ya mkataba.

UVIMO -Kwetu pesa siyo kipaumbele ila kazi.

UVIMO-Tuna hudumia nchi nzima.

UVIMO-Gharama zetu ni rafiki kabisa kwa kila mtu hapa duniani.

UVIMO- Tunakuwa marafiki wakati na baada ya kazi kwa kuwa WATEJA WETU WOTE HUBAKI NA FURAHA MARA BAADA YA KUKABIDHI KAZI.

UVIMO-Idara zetu
1-Wajenzi- Kwa ajiri ya kujenga,lipu,Rangi, kuskim, bandaring,bomba na mifumo ya vyoo

2-Seremara-Kupaua,milango, Rangi,nyavu za madirishani
3-Wachomereaji/Alminium-Magril na alminium.

4-Umeme-Waring na service za umeme.

UVIMO-Kama kazi inaanzia msingi, timu inayo kuwa saiti inatokana na muunganiko huo wa wataalam.

UVIMO-shuguli zetu ni:

1-Kujenga nyumba.
2-Kupiga lipu
3-Kuskim
4-Rangi
5-Bandaring na kufunga bodi
6-Milango ,madirisha na magril
7-Kupaua
8-Kutandika tiles
9-Wayaring za umeme.
10-mifumo ya maji safi na maji taka
11-Kupaua
12-Kuchimba mashimo ya maji na vyoo.
13-Kushauri kuhusu nyumba.

Wasiliana nasi kwa
0629361896
0753927572 -Wasap
0713665510
 
Hii ni orodha ya vifaa vya maji safi na taka vinahitajika kukamilisha mifumo miwili kwa nyumba ya 3D

A)-MIFUMO KABLA YA PLASTA

i)-Mfumo wa maji safi

1)-IPS pipe nusu nchi
2)-IPS elbo nusu nchi
3)-IPS nipple nusu nchi
3)-IPS socket nusu nchi
4)-IPS T nusu nchi =15
6)-IPS union nusu nusu nchi
7)-Gate valve nusu nchi
8)-Thread tape

ii)-MAJI TAKA
9)-PVC pipe 4"
10)-PVC elbow 4"
11)-PVC band 4"
12)-PVC cap 4"=1
13)-PVC pipe 1&robo
13)-PVC elbow 1&robo
15)-PVC T 1&robo
16)-PVC pla 1&robo
17)-P-trap 4"
18)-Sink la kuchuchumaa
19)-Tanjiti

B)-BAADA YA PLASTA
20)-Choo cha kukaa
21)-Washing besen
22)-complete
23)-Washing sink complete
24)-Bipcork nusu"
25)-Shatafu nusu"
26)-Mixer
27)-Flash tank
28)-Strena 1&nusu"


Huduma zote hizi zinatolewa na UVIMO, tunakufanyia kazi yenye ubora kabisa.

Wasiliana nasi kwa
Wasap -0753927572
Kupiga 0629361896
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Weka/onyesha hapa baadhi ya kazi zenu tuzione.
 
Back
Top Bottom