Mafundi wa aina yoyote na huduma zote za ujenzi zinapatikana hapa

Mafundi wa aina yoyote na huduma zote za ujenzi zinapatikana hapa

Timu ya UVIMO Group sasa iko jijini Dar es salaam, kwa huduma mbali mbali kwa wadau wetu.

A-Kigamboni
B-Kinondoni Morocco

Kwa wote wenye uhitaji na mafundi au ushauri wetu hasa katika

1-Ujenzi
2-Kupaua
3-Tiles
4-Rangi
5-Bomba/plumbing
6-Umeme
7-Plast/lipu

Basi wasiliana nasi kwa namba za ofisi za Uvimo
0753927572 - Wasap
0629361896 - Kupiga

Na leo jioni 19 Sep 2021katika Group la wasap la Uvimo Public Center tutakuwa na kipindi cha kwa nini uichague UVIMO katika shughuli za ujenzi na makazi yako.

Karibu na [emoji1431]
View attachment 1944665

-------- UPDATES YA MJADALA KATIKA GROUP LA UVIMO PUBLIC CENTER------

Habari wadau wa ujenzi na makazi.

Leo tunaangazia
Sababu kumi na moja za kwa nini Uvimo iwe kipaumbele chako cha kwanza ikufanyie kazi zako za ujenzi ,umaliziaji na makazi

1 -Uaminifu
Tunajivunia sana kwa kuwa waaminifu katka swala zima la makubaliano na vifaa kazi.
Hatukiuki makubaliano kamwe vinginevyo bosi asumbue kwenye malipo.

2- Ubora na unadhifu wa kazi zinajionyesha.
Swala la ujenzi na umaliziaji ni mchezo wa wazi, fundi akifanya vema utatambua tu.
Mfano leo 19-Sep nikiwa nahudumia mdau wangu, nikakuta fundi umeme anatumia pima maji na rula kuweka surface box, simjui ila amenifurahisha sana richa ya bosi wetu kutokuwepo, lakini amefanya kazi kama mwana UVIMO.
Wengi hawaangalii kesho , anayafukia kama maiti bila kujali mwisho wa yote.

3- Kasi ya kazi.
Kwetu siku ina thamani kubwa ndo maana tunaenda kwa tageti ya siku.
Uvimo hatulali na tofali wala sement wala bati au chote ila tuna lala na hela tu.[emoji1431]

4- Ushauri.
Uvimo tuko tayari kutoa ushauri muda wowote tukiwa au kabla site.

5- Uwajibikaji.
Timu yetu inatambua wajibu wetu, ndo maana hatuhitaji usimamizi na matokeo kazi huenda kazi.

6- Timu imara na kutosha Tuwapo site
Tukiwa tunajenga umeme au kupaua anakua saidia fundi.

7- Kusimama badala ya mwenye nyumba.
Hata Kama haupo kile ulicho kusudia unakipata.

8- Matumizi mazuri ya vifaa kazi.
Mtu mwingine anatathimini mfano kazi ya kuskim , kila chumba mifuko 3 ya gypsum powder kwa kuwa anajua robo tatu ya mfuko mmoja utaenda chini.
Kikawaida kama una skim, hata robo ya robo kilo (robo ya kikombe cha chai) haitakiwi idondoke.

9- Utaalam
Kila kazi inahitaji ujuzi.
Ni ajabu mtu atapiga plasta ila anachanganya sement na mchanga round moja, udogo unabaki na rangi ya nguo za jeshi.
Halafu mwenye nyumba unamsifia fundi wako.
Nakupa pole, mtu huyu ana kutengenezea bom na hata ufe leo hayupo atakaye jua zaidi ya kuishi kwa matumaini.
Au rangi au skimming inakorogwa sukari ya kk. Tafadhali ewe mwenye nyumba unayejenga jihurumie.

10- Matumizi ya vifaa vya kifundi
Nyumba imejengwa , na tofali zimepinda, fundi inatakiwa ajue kutumia bridge / pendulum bob kunyoosha ukuta.

Sio baada ya finishing kuta za nyumba zina kuwa kama kingo za bahari au visima.

11- Hatukujengei wewe
Baada ya kusaini mkataba wa kazi, muda wote tuna mlenga yule tusiye mjua/mpita njia kwa kufanya kwa ubora.

[emoji1428] UVIMO tunayo mengi mazuri tunayo fanya, na tuna jivuna kuingia katika tasinia hii kwani tunasaidia wengi.

Hata hivyo mambo ni mengi muda ni mchache.

BY UVIMO
0753927572 - Wasap
0629361896 - Kupiga
 
Mkuu ebu onesha mfano wa umahiri wako kwa kunipa makadilio ya idadi ya tofali za MSINGI tu wa mchoro huu kwa sehemu tambarale.

Kama ukiweza kunipa gharama zote za msingi itapendeza zaidi.

IMG_20210907_172738.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu kwa hudumaView attachment 1948317View attachment 1948318
IMG-20210921-WA0019.jpg
 
MAKTABA YA UVIMO

CHANZO CHA WEWE KUMILIKI NYUMBA ISIYO YAHADHI YAKO AU KUTOMILIKI KABISA

Ndugu wadau, katika makta ya Uvimo ya leo, tutajadili sababu za watu wengi kumiliki nyumba ambazo sio hadhi zao au kushindwa kumiliki nyumba kabisa.

Maktaba inakumbusha kuwa Ndoto isiyo na sababu kama kiini na chachu ya kustawisha mafanikio, hufa mapema

Zipo sababu lukuki za kutofanikisha malengo na hatimaye ndoto. Sababu hizi ndizo zimesisimua kushika kalamu kujadilisha haya.

Juma tatu hii ya 27-Sep saa mbili usiku katika group la Uvimo Public Center,

Wasiliana nasi kwa huduma zote za ujenzi

0753927572
0629361896
 
Habari wadau.

Kwa mjibu wa sensa ya 2012, Tanzania ikuwa na watu milioni 65, kwa sasa miaka kumi baadae tunaamini sasa tuko idadi kubwa zaidi.

Ongezeko hili huathiri kila eneo la maisha ya watu ikiwemo ujenzi ma makazi.
Kutokana na ongezeko hili, UVIMO tuliona ombwe na uhaba wa wataalam wa ujezi na makazi.
Wazo likiibukia pale mwanzilishi wa UVIMO alipo amua kuacha kazi katka kampuni iliyoko Tanga akiwa operation meneja na kusimamia UVIMO.

UVIMO kimsingi ni jumuia ya wataalam wa ujenzi. Kutokana na mwanzilishi kuwa mzoefu katka makampuni mbalimbali na viwanda, imepelekea UVIMO kusimama hasa katka maswala ya buildings.

Hata hivyo, bado safari inaendelea kwa UVIMO kuendeleza harakati za kimapinduzi.

Moja ya giant project ya Uvimo uko Singida magharibi ambapo,
Uvimo Uvimo ilihusika kwa sehemu kubwa katka mradi huu wa uzarishaji Almasi, ulioko Singida.

Ilipata fursa ya kandarasi ya nyumba za wafanyakazi, ofisi na sehem ya chakula.
Pia bwawa, eneo la mtambo ya kuchenjulia madini kama unavyoona kushoto nyuma ya watu na mengine kadha wa kadha.

Hakika historia na wigo wa UVIMO umeendelea kukua hadi kufikia kiwango cha kugusa taifa lote, [emoji1428]hii ni kwa sababu ya sifa thabiti ya kujituma, uaminifu,ukarim, weledi bei nafuu na ubora wa kazi za Uvimo. Richa ya kutokuwa na ofisi kila mkoa, lakini miradi yote nchini imekuwa ikiendelea kila mkoa punde tu tunapo pata mradi.

Ungana nasi kwa Uvimo Public Center What'sapp Group ili unufaike na program za MAKTA yetu.
Pia kupata huduma na ushauri wa kitaalam kwa watoa huduma wetu.

Mwisho sio kwa uhaba,
Tuna ushukuru uongozi wetu pendwa wa mkoa wa , wilaya , hasa kata Mkundi, Morogoro, Tanzania
ambao wamekuwa walezi bora wa UVIMO hadi hapa.

Pia shukurani za dhati ni kwa wadau/wateja wote wanao iamini UVIMO.

Kwa huduma na ushauri.
Fika ofisi za UVIMO,
Mkundi mwisho Morogoro,
Njia ya kuelekea Dodoma

Au
Wasiliana nasi kwa # za ofisi
0629361896
0753927572-wasap

Screenshot_20210831-195313.jpg
 
Back
Top Bottom