Timu ya UVIMO Group sasa iko jijini Dar es salaam, kwa huduma mbali mbali kwa wadau wetu.
A-Kigamboni
B-Kinondoni Morocco
Kwa wote wenye uhitaji na mafundi au ushauri wetu hasa katika
1-Ujenzi
2-Kupaua
3-Tiles
4-Rangi
5-Bomba/plumbing
6-Umeme
7-Plast/lipu
Basi wasiliana nasi kwa namba za ofisi za Uvimo
0753927572 - Wasap
0629361896 - Kupiga
Na leo jioni 19 Sep 2021katika Group la wasap la Uvimo Public Center tutakuwa na kipindi cha kwa nini uichague UVIMO katika shughuli za ujenzi na makazi yako.
Karibu na [emoji1431]
View attachment 1944665
-------- UPDATES YA MJADALA KATIKA GROUP LA UVIMO PUBLIC CENTER------
Habari wadau wa ujenzi na makazi.
Leo tunaangazia
Sababu kumi na moja za kwa nini Uvimo iwe kipaumbele chako cha kwanza ikufanyie kazi zako za ujenzi ,umaliziaji na makazi
1 -Uaminifu
Tunajivunia sana kwa kuwa waaminifu katka swala zima la makubaliano na vifaa kazi.
Hatukiuki makubaliano kamwe vinginevyo bosi asumbue kwenye malipo.
2- Ubora na unadhifu wa kazi zinajionyesha.
Swala la ujenzi na umaliziaji ni mchezo wa wazi, fundi akifanya vema utatambua tu.
Mfano leo 19-Sep nikiwa nahudumia mdau wangu, nikakuta fundi umeme anatumia pima maji na rula kuweka surface box, simjui ila amenifurahisha sana richa ya bosi wetu kutokuwepo, lakini amefanya kazi kama mwana UVIMO.
Wengi hawaangalii kesho , anayafukia kama maiti bila kujali mwisho wa yote.
3- Kasi ya kazi.
Kwetu siku ina thamani kubwa ndo maana tunaenda kwa tageti ya siku.
Uvimo hatulali na tofali wala sement wala bati au chote ila tuna lala na hela tu.[emoji1431]
4- Ushauri.
Uvimo tuko tayari kutoa ushauri muda wowote tukiwa au kabla site.
5- Uwajibikaji.
Timu yetu inatambua wajibu wetu, ndo maana hatuhitaji usimamizi na matokeo kazi huenda kazi.
6- Timu imara na kutosha Tuwapo site
Tukiwa tunajenga umeme au kupaua anakua saidia fundi.
7- Kusimama badala ya mwenye nyumba.
Hata Kama haupo kile ulicho kusudia unakipata.
8- Matumizi mazuri ya vifaa kazi.
Mtu mwingine anatathimini mfano kazi ya kuskim , kila chumba mifuko 3 ya gypsum powder kwa kuwa anajua robo tatu ya mfuko mmoja utaenda chini.
Kikawaida kama una skim, hata robo ya robo kilo (robo ya kikombe cha chai) haitakiwi idondoke.
9- Utaalam
Kila kazi inahitaji ujuzi.
Ni ajabu mtu atapiga plasta ila anachanganya sement na mchanga round moja, udogo unabaki na rangi ya nguo za jeshi.
Halafu mwenye nyumba unamsifia fundi wako.
Nakupa pole, mtu huyu ana kutengenezea bom na hata ufe leo hayupo atakaye jua zaidi ya kuishi kwa matumaini.
Au rangi au skimming inakorogwa sukari ya kk. Tafadhali ewe mwenye nyumba unayejenga jihurumie.
10- Matumizi ya vifaa vya kifundi
Nyumba imejengwa , na tofali zimepinda, fundi inatakiwa ajue kutumia bridge / pendulum bob kunyoosha ukuta.
Sio baada ya finishing kuta za nyumba zina kuwa kama kingo za bahari au visima.
11- Hatukujengei wewe
Baada ya kusaini mkataba wa kazi, muda wote tuna mlenga yule tusiye mjua/mpita njia kwa kufanya kwa ubora.
[emoji1428] UVIMO tunayo mengi mazuri tunayo fanya, na tuna jivuna kuingia katika tasinia hii kwani tunasaidia wengi.
Hata hivyo mambo ni mengi muda ni mchache.
BY UVIMO
0753927572 - Wasap
0629361896 - Kupiga