RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
Hehehee! Halafu jamaa ukimcheki mwili unamchukulia poa. Kumbe balaa.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Huyo atakuwa power Mabula
Duu! Hiyo kiboko. Maana siku hizi ujenzi jamaa wanakuja na timu ya maana.Kuna watu wamezaliwa na nguvu za ajabu. Kuna fundi mmoja hapa mkoani wapo watatu wanaweza kujenga nyumba kuanzia msingi mpaka inamalizika bila kuwa na idadi ya mafundi wengi.
vijana walikuwa wanakimbia maana wakianza asubuhi stop ni msosi wa mchana na jioni tu.
Sasa sijui ni mazoezi, au ndio special abilities hizo?Kuna mwamba alikuwa mwizi wa vifaa vya magari pale TPA Dar miaka ya nyuma alikuwa na nguvu balaa. Alikuwa anabeba mfuko wa 50kg kwa mkono mmoja, kulia na kushoto anabeba 100kg. Alipigwa ban asionekane na watu wa security maana alikuwa anaogopeka aliambiwa akionekana ndani ya Bandari atapigwa chuma muda wowote.
Pale Ilonga Msalabani-Kilosa, kulikuwa na mwamba anaendesha trekta ikizingua anasukuma mwenyewe na ni kipande cha mtu wakati wa service anabeba vyuma vizito peke yake
Hawa kwanza miili yao ni mikubwa na wapo strongSasa sijui ni mazoezi, au ndio special abilities hizo?