Hivi haiwezekani kuweka nguzo ndefu nne imara halafu juu anafunika kwa zege Au ni lazima pawepo na nguzo katikatiNi ngumu hiyo mkuu, kuwezekana ni ngumu sana.
Hapo kwa lugha rahisi tunaweza kusema ni kama umevaa shati fulani unalipenda sana, sasa unataka uvae shati lingine tofauti kwa juu yake na bado unataka hilo shati la ndani liendelee kuonekana.
Ngumu kidogo hiyo "shee wangu"
Thanks lakini najua inawezekans labds shida ni ufundi. Shukrani sana angalau kwa kuelewa maelezo yangu.Ni ngumu hiyo mkuu, kuwezekana ni ngumu sana.
Hapo kwa lugha rahisi tunaweza kusema ni kama umevaa shati fulani unalipenda sana, sasa unataka uvae shati lingine tofauti kwa juu yake na bado unataka hilo shati la ndani liendelee kuonekana.
Ngumu kidogo hiyo "shee wangu"
Nadhani hukusoma vema maelezo yangu. Picha uliyoleta na maudhui yangu ni vitu viwili tofauti!
Naitafuta mkuu nitaiweka hapaPicha Mkuu ili wataalamu wakufanyie estimation.
Maana niliyo nayo ni picha ya nyumba inayotakiwa juu yake ivishwe nyumba nyingine.Naitafuta mkuu nitaiweka hapa
pia nilikuwa nimewaza hivyo ila nikasema acha acha wataalamu wanishauriHivi haiwezekani kuweka nguzo ndefu nne imara halafu juu anafunika kwa zege Au ni lazima pawepo na nguzo katikati
Mkuu haiwezekani kuweka supporting polls za kutosha na kuweka platform inayoweza kusimamisha nyumba?Mkuu usicheze na uhai kitaalamu hilo swala haliwezekani , ili ujenge hyo floor moja lazima iandaliwe underground
Mkuu hilo swali siyo la mafundi bali ni la structure engineer.Habari,
Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado.
Watalaamu wa ujenzi nijuzeni uwezekano huu. Nasubiri.
Hela yake utaiweza mkuu?Mkuu haiwezekani kuweka supporting polls za kutosha na kuweka platform inayoweza kusimamisha nyumba?
Wazo lake litawezekana akiwa na zaidi ya mil 500.Mkuu hilo swali siyo la mafundi bali ni la structure engineer.
Inawezekana ila baadhi ya kuta za zamani itabidi zife ili ku accommodate nguzo/columns na ngazi.
Ni gharama kubwa sana utakayo ingia kwa kutekeleza wazo lako kwani hiyo nyumba ya chini haitakuwa na huusuani na nyumba ya juu hivyo kupelekea hiyo design mpya iwe na span kubwa ya ku-transfer load na kupelekea iwe sawa na design ya 5 floors kwa just a single floor
Haiwezekani, ingekuwa ni Load-Bearing Building ingewezekana lakini kwa hapo haiwezekani. Load Bearing ni kama yale majengo yanayojengwa mjini (ghorofa ambazo kuta zake hazibebi mzigo bali zinakaa tu kama kizuizi, mzigo wa jengo unabebwa na slab kwenda kwenye beam, beam kwenda kwenye column, column kwenda kwenye base na base kwenda kwenye udongo). Kama inawezekana vunja uanze upya kujenga msingi imara wenye nguzoHabari,
Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado.
Watalaamu wa ujenzi nijuzeni uwezekano huu. Nasubiri.
Nguzo imara lakini zitakaa mbalimbali sana, hivyo zitahitaji utegemezi katikati.Hivi haiwezekani kuweka nguzo ndefu nne imara halafu juu anafunika kwa zege Au ni lazima pawepo na nguzo katikati