Kanuni kubwa za kufuata
1.Kutenganisha jengo la zamani na Jipya structurally only.
2.Kupunguza uzito wa Floor ya juu.
-Kutumia ,Chuma na mbao badala ya zege.
Au
3.Kutumia mfumo wa floor na beams wenye ku-span umbali mrefu.
3.Kutumia kuta zisizobeba mzigo.
-matofali ya 4 inches
Au
-chuma na mbao
HATUA
1.Msingi uwe wa pile foundation
2.Kutakuwa na Nguzo 6,nguzo tatu kushoto ,tatu kulia at equal distance
3.katika level ya ground,kutakuwa na beams,zitakazo unganisha nguzo zote.
4.Kutakuwa na nguzo ya ziada either kulia ama kushoto,itakayo kuwa slanted.
5.Kila step ya ngazi itashikiliwa na hiyo slanted column/nguzo.
So ngazi itakuwa cantilever
6.Katika level ya ghorofa ya juu,(mita 3 kutoka ardhini) beams zita connect columns kwa nje.
7.Beams zitalazwa kutoka kushoto kwenda kulia.
8.Slab inawekwa
9.Kuinua kuta, za nje na ndani.
10.Flat roof inapigwa.