The silenter
Member
- May 19, 2018
- 18
- 10
Kumbe una akili mbali na rohombaya teh jokin..Dah...wajinga ndiyo waliwao..... Bei ya vipuri hutegemea na ubora.... Mfano mkanda wa kompresa Toyota Lc V8 ni laki na nusu....ila IPO ya buku8 utakayo tumia wiki mbili tu...badala ya miaka 2.....8000 x 56 = 448,000/- uchaguzi ni wako.....
Nenda pale nyuma ya pccb, kuna gereji nzuriGarage gani nzuri na ya ku aminika Arusha, hawa wa mtaani nimewachoka ,wamenitia hasara vya kutosha.
Huenda unatengenezea pale december kwa vibakaAcha kabisa, mimi nimebadilishiwa betri, aisee....
upo mkoa gani mimi ni technician kitengo cha umeme wa magariWakuu habari za majukum ya kila siku. Nimepata shida sana napo peleka gari iwe ni service au Normal maintanance ya kubadili spea. Nashangaa nikienda garage badala ya gari kupona nakuta mafundi kwa uzembe wanazalisha tatizo jingine hapo hapo. Na wengine wamejaliwa maneno sana yaaani utamuamini tu. Anakupa sababu kiabao kama vile anajua tatizo kumbe wapiiiiiiii.........!
Yaani sijui nifanyeje kupata permanent solution ya hii shida. Nipen mawazo jamani......!
Pale pembeni ya sarafina?Nenda pale nyuma ya pccb, kuna gereji nzuri
Umejuaje?Huenda unatengenezea pale december kwa vibaka
Huenda unatengenezea pale december kwa vibaka
kuweka maji kwenye spea sio ishu. ishu ni kwamba unaenda tengeneza kumbe unazidi kununua ugonjwa mwingine mpya.....!Dah...wajinga ndiyo waliwao..... Bei ya vipuri hutegemea na ubora.... Mfano mkanda wa kompresa Toyota Lc V8 ni laki na nusu....ila IPO ya buku8 utakayo tumia wiki mbili tu...badala ya miaka 2.....8000 x 56 = 448,000/- uchaguzi ni wako.....
Nipo Mbeya town hapa.......!upo mkoa gani mimi ni technician kitengo cha umeme wa magari
daaah pole sana ndugu jaribu kutafuta fundi mwenye uzoefu wa umeme wa magari atakusaidia mimi nipo MOROGORONipo Mbeya town hapa.......!
Yaani hivi navyoongea tayari fundi kasha ua booster ya kushoto ya taa za mbele. Kisa kawasha taa bila kuchomeka ile taa ya booster kwa hiyo imekula spark moja tu kwisha habar. Sasa nawaza tena booster mpya wakati ishu ilikuwa kubadili taa tu. Na booster used ya spacio new model sijui ni ngapi aisee
upo mkoa gani mimi ni technician kitengo cha umeme wa magari
mkuu umegusa pabaya....hawa mafundi wa December si mafundi...miaka minne iliyopta walitaka waniunguzie gari...Huenda unatengenezea pale december kwa vibaka
Auto eletricianElectrician au Technician?