Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2410039
Endeleeni kubisha
Tuje kujiaibisha hapo, sie tulikariri na kupata pass mark za kupatia vyeti basi.Kwani humu hakuna maengineers? Au nao hawajui hii. Nyie mliosomea civil eng. Pale mlimani mkuje huku
Habari,Mimi ni kati ya watu wenye ndoto za kujenga ghorofa, lakini mada nyingi zimekuwa zinaibuka humu kwamba gharama ya ghorofa ni kubwa sana hasa gharama kubwa inakuwa ni msingi na nguzo zile zinazosimamisha ghorofa!
Lakini nimejatibu kufanya utafiti mbali mbali wenzetu wanajenga vipi huko kwenye mabara mengine!
Nilichogundua wenzetu kuna ghorofa zinajengwa bila zile nguzo kabisa yaani ghorofa inasimama na kuta tu pekee, na inakuwa imara kabisa!
Je, wafundi wetu wanakwama wapi? ama ndio wamekariri kuwa bila nguzo huwezi kujenga ghorofa?