Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Haeleweki Bora Tu angefundisha Kilimo na Ufugaji tungekunywa maziwaMafundisho makuu aliyofundisha Yesu mwenyewe mfano wa mafundisho ya akina Budha au Confucius ambayo ni ya kipekee (unique) yeye akiwa kama muasisi wake ni yapi ?
Upendo... wa kuwapenda wanao kuudhi, na kuwaombea!Mafundisho makuu aliyofundisha Yesu mwenyewe mfano wa mafundisho ya akina Budha au Confucius ambayo ni ya kipekee (unique) yeye akiwa kama muasisi wake ni yapi ?
Hakuja, kwa ajili ya kilimo na ufugaji mkuu. Bali kwaajiri ya wokovu wetu!Haeleweki Bora Tu angefundisha Kilimo na Ufugaji tungekunywa maziwa
Yesu alikuta vita duniani hadi anaondoka kaviacha mpaka Leo, huo upatanisho ni upi?AYesu alilenga "uamsho wa kiroho wa ndani na upatanisho kati ya mwanadamu na Mungu" kupitia dhabihu ya upendo na kumwamini yeye mwenyewe..
Nakazia, tena uwe upendo waPendaneni pendaneni
Wataje, tupe na mafundisho yaoKuna watu walikuwa wanafundisha kupenda/kuwajali maadui kabla Yesu hajaja.
Ndio maana wazungu wametuacha mbali...Mafundisho makuu aliyofundisha Yesu mwenyewe mfano wa mafundisho ya akina Budha au Confucius ambayo ni ya kipekee (unique) yeye akiwa kama muasisi wake ni yapi ?
Haina maana hii nukuu yako ya kibudha!"Hatred does not cease by hatred, but only by love; this is the eternal rule" - Siddhārtha Gautama, The Dhammapada
Leta mafundisho yanayohusu muongozo wa maisha halisi ya hapa duniani.Kupitia Yesu kuna uzima wa milele
Kuna kuishi na kuna kufa, hiyo ndio msingi mkubwa wa imani ya wakristo wa kwanza kabisa
Ukifa mwili utashinda mauti.
Sio kwamba ufe kwanza ndo uishi, hapana.
Unapaswa kuishi kwanza, hata ukifa kifo kitakuwa cha mwili sio roho
Maana yake, ipe maisha roho yako sasa hivi hata ukifa mwili roho itabaki ikiishi
Hata nikikuambia haitakusadia Mr YodaLeta mafundisho yanayohusu muongozo wa maisha halisi ya hapa duniani.