Upendo.Mafundisho makuu aliyofundisha Yesu mwenyewe mfano wa mafundisho ya akina Budha au Confucius ambayo ni ya kipekee (unique) yeye akiwa kama muasisi wake ni yapi ?
Hayo mafundisho yake ya uamsho wa kiroho wa ndani ni yapi ?Wakati Buddha alilenga "kuacha mateso kupitia kuua tamaa"
Na Confucius alilenga "kuleta amani ya kijamii kupitia utaratibu na maadili,"
Yesu alilenga "uamsho wa kiroho wa ndani na upatanisho kati ya mwanadamu na Mungu" kupitia dhabihu ya upendo na kumwamini yeye mwenyewe..
Unataka tuwalinganishe au tubaki kwenye swali lako?Confucius alifundisha miaka 500 kabla yake
we unaonaje😊Wewe sio mtoto wake ??
He was and "is" very unique.Alifundisha/induced upendo kwa namna na mbinu zake kuliko hao wengine.Baki kwenye swali langu, ila zingatia mafundisho "ya kipekee/unique" kwake.
Mpaka hapo hauna jeuri ya kujiita mfuasi wake.Bado u-mbumbumbu sana.Yesu hana fundisho lolote la kipekee
Isipokuwa la yeye kujitoa uhai kwa ajili ya ulimwengu. Ambalo ni fundisho la kiimani zaidi(kiroho) kuliko kimwili
Mpaka hapo hauna jeuri ya kujiita mfuasi wake.Bado u-mbumbumbu sana.