Nipo mbioni kufungua dini yangu (imani mpya ya kuabudu)

Ili nijiunge na dini yako:

1)  Kwanza ufe, na tuhakikishe umekufa kama walivyohakikisha YESU amekufa kwa kumchoma kwenye mapafu na maji kutoka.

2) Ufufuke baada ya kuzikwa huko chini. Maadui zako wapewe kazi ya kulinda kaburi lako kama maadui wa YESU walivyopewa kulinda. Tuje tufukue tukute mwili haupo.

3) Kuwe na unabii kukuhusu ulioandikwa kabla hujazaliwa wa matukio yasiyopungua 300 kukuhusu, kuanzia kutungwa kwa mimba yako, kama ilivyo kwa YESU.

4) Ufanye miujiza kama YESU : wenye magonjwa ya ajabu yasiyotibika wapone, vipofu waone, viwete watembee, wafu wafufuliwe.

5) Wanafunzi wako wa kwanza wakubali kuteswa na kuuawa ili kutoa ushuhuda kukuhusu, wakati hakuna faidia yoyote wanayopata hapa duniani sio utajri sio umaarufu sio wanawake, kama wanafunzi wa YESU.

6) Wanafunzi wako angalau watano waandike yote haya uliyofanya, kila mtu kivyake. Kisha wawarithishe wanafunzi wao masimulizi kukuhusu. Na wanafunzi wao wawarithishe wenzao. Tuwape miaka 300.

Kisha wataalam wa forensics kina J. Warner Wallace watuambie hawa jamaa wa hii dini wamejitungia story au ni historia ya kweli inapitishwa kama ile iliyopitishwa na wanafunzi wa YESU.

7) Mwisho kabisa ingepedeza kama ungepita rekodi hii: kitabu cha dini yako kiwe na
vitabu angalau 60,
vilivyoandikwa na watu angalau 40
kwa miaka isiyopungua 1,500
wote wakikuongelea wewe tu kwa upatano na uelewano kama mtu mmoja,
kwa namna mbalimbali: masimulizi halisi ya historia, sheria, unabii, nyimbo, methali, mafumbo n.k
kama vile Biblia inavyomuongelea YESU.

So you have about 1500years to pull this of.

Only that you're late, and all you are now is a false teacher.

"Palitokea manabii wa uongo kati ya watu, na vivyo hivyo waalimu wa uongo watatokea kati yenu. Watu hao wataingiza mafundisho maharibifu na kumkana Bwana aliyewakomboa, na kwa njia hiyo watasababisha ghafla maangamizi yao wenyewe.

Tena watu wengi watazifuata hizo njia zao mbaya, na kwa sababu yao wengine wataipuuza njia ya ukweli.

Kwa tamaa yao mbaya watajipatia faida kwa kuwaambieni hadithi za uongo. Lakini kwa muda mrefu sasa Hakimu wao yuko tayari, na Mwangamizi wao yuko macho!"

2Petro.2.1-3.BHN
 
Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600.

Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu)

UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio Mungu wa kiarabu au wa mashariki ya kati, huyu ni Mungu wa asili ya chimbuko lako)

Huku kwangu kutakua hakuna sadaka za kujimaliza wala michango ya kijinga, kutakua na taratibu za kufanya ibada na maombi yanayojibiwa kwa wakati.

Nina mengi ya kueleza lakini natamani waumini wa mwanzo mwanzo niwapate hapa jf
Ukiweza kumwomba huyo Mungu wako aking'oe hiki kisiki akitenda kwa chap na haraka utavuna waumini mamilioni nchi nzima!
 
Ili nijiunge na dini yako:

1)  Kwanza ufe, na tuhakikishe umekufa kama walivyohalikisha YESU amekufa kwa kumchoma kwenye mapafu na maji kutoka.

2) Ufufuke baada ya kuzikwa huko chini. Maadui zako wapewe kazi ya kulimda kaburi lako kama maadui wa YESU walivyopewa kulinda. Tuje tufukue tukute mwili haupo.

3) Kuwe na unabii kukuhusu ulioandikwa kabla hujazaliwa wa matukio yasiyopungua 300 kukuhusu, kuanzia kutungwa kwa mimba yako, kama ilivyo kwa YESU.

4) Ufanye miujiza kama YESU : wenye magonjwa ya ajabu yasiyotibika wapone, vipofu waone, viwete watembee, wafu wafufuliwe.

5) Wanafunzi wako wa kwanza wakubali kuteswa na kuuawa ili kutoa ushuhuda kukuhusu, wakati hakuna faidia yoyote wanayopata hapa duniani sio utajri sio umaarufu sio wanawake, kama wanafunzi wa YESU.

6) Wanafunzi wako angalau watano waandike yote haya uliyofanya, kila mtu kivyake. Kisha wawarithishe wanafunzi wao masimulizi kukuhusu. Na wanafunzi wao wawarithishe wenzao. Tuwape miaka 300.

Kisha wataalam wa forensics kina J. Warner Wallace watuambie hawa jamaa wa hii dini wamejitungia story au ni historia ya kweli inapitishwa kama ile iliyopitishwa na wanafunzi wa YESU.

7) Mwisho kabisa ingepedeza kama ungepita rekodi hii: kitabu cha dini yako kiwe na
vitabu angalau 60,
vilivyoandikwa na watu angalau 40
kwa miaka isiyopungua 1,500
wote wakikuongelea wewe tu kwa upatano na uelewano kama mtu mmoja,
kwa namna mbalimbali: masimulizi halisi ya historia, sheria, unabii, nyimbo, methali, mafumbo n.k
kama vile Biblia inavyomuongelea YESU.

So you have about 1500years to pull this of.

Only that you're late, and all you are now is a false teacher.

"Palitokea manabii wa uongo kati ya watu, na vivyo hivyo waalimu wa uongo watatokea kati yenu. Watu hao wataingiza mafundisho maharibifu na kumkana Bwana aliyewakomboa, na kwa njia hiyo watasababisha ghafla maangamizi yao wenyewe.

Tena watu wengi watazifuata hizo njia zao mbaya, na kwa sababu yao wengine wataipuuza njia ya ukweli.

Kwa tamaa yao mbaya watajipatia faida kwa kuwaambieni hadithi za uongo. Lakini kwa muda mrefu sasa Hakimu wao yuko tayari, na Mwangamizi wao yuko macho!"

2Petro.2.1-3.BHN
Kuna uthibitisho gani Yesu alifufuka ??
 
Back
Top Bottom