Nipo mbioni kufungua dini yangu (imani mpya ya kuabudu)

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600.

Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu)

UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio Mungu wa kiarabu au wa mashariki ya kati, huyu ni Mungu wa asili ya chimbuko lako)

Huku kwangu kutakua hakuna sadaka za kujimaliza wala michango ya kijinga, kutakua na taratibu za kufanya ibada na maombi yanayojibiwa kwa wakati.

Nina mengi ya kueleza lakini natamani waumini wa mwanzo mwanzo niwapate hapa jf
 
Kama usemayo ni kweli, una akili na busara sana mbali na uthubutu. Kama utanishawishi, basi nitakuwa mtume au swahaba wako wa kwanza.
 
hio dini itakuwa noma mazee ngoja tuone.
Screenshot_20251209-231942~2.jpg
 
Tunakisubiria hicho kitabu chako, Huenda page za mwanzo kabisa umemaliza hoja zilizoshindwa kujibiwa na wenzako like;

Mungu ni nani?
Mungu alitokea wapi?

I'm waiting for it.
Utanitagg.
 
Utapata majibu yaliowashinda hao wafanyabiashara usijali
 
Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600.

Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu)

UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio Mungu wa kiarabu au wa mashariki ya kati, huyu ni Mungu wa asili ya chimbuko lako)

Huku kwangu kutakua hakuna sadaka za kujimaliza wala michango ya kijinga, kutakua na taratibu za kufanya ibada na maombi yanayojibiwa kwa wakati.

Nina mengi ya kueleza lakini natamani waumini wa mwanzo mwanzo niwapate hapa jf
PAN AFRICANISM ndo dini sahihi
 
ni yupi hasa maana Tanzania ina kabila zaidi ya hamsini na zote zinatamaduni zao na miungu yao, utachagua mungu mmoja na wengine watakubali mungu wao aache na achaguliwe mwingine, utanzisha mungu mpya na kuambia watu wamfate

AFRICA
 
Back
Top Bottom