Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Ni mungu gani huyo na chanzo chake niniYanatokana na utafiti wangu kupitia Mungu huyo tutakaemuabudu
Ni mungu gani huyo na chanzo chake niniYanatokana na utafiti wangu kupitia Mungu huyo tutakaemuabudu
Ndio yupi huyu mungu unaetaka watu waanze kumuabudu Miti mikubwa, mizimu, jua , mapangoAFRICA
Mzee wa kupiga akapela🤣hio dini itakuwa noma mazee ngoja tuone.
View attachment 3513690
Kuna maswali kule nimeuliza hamkunijibu nyinyi atheistsTunakisubiria hicho kitabu chako, Huenda page za mwanzo kabisa umemaliza hoja zilizoshindwa kujibiwa na wenzako like;
Mungu ni nani?
Mungu alitokea wapi?
I'm waiting for it.
Utanitagg.
Subiri kitabuNi mungu gani huyo na chanzo chake nini
Kuna sehem nimesema hapo kuabudu kwenye mapango? 🤣🤣 Bongo kwa ujuaji, we subiri kitabu au nawewe kama vip fungua ya kwakoNdio yupi huyu mungu unaetaka watu waanze kumuabudu Miti mikubwa, mizimu, jua , mapango
Umesema miungu ya asili, sasa mkuu miungu ya asili unaijua au, watu walikuwa wanaabudu kwenye mapango, sasa kama dini itakuwa inahusu miungu ya asili unahisi watakuwa wana abudia wapi, kama waislamu wanaabudia misikitini, waikristu makanisaniKuna sehem nimesema hapo kuabudu kwenye mapango? 🤣🤣 Bongo kwa ujuaji, we subiri kitabu au nawewe kama vip fungua ya kwako
🤣🤣Mzee wa kupiga akapela🤣
😁Mzee wa kupiga akapela🤣
SawaHakuna cha dini wala mungu wa kweli hapo.
Hapo ni imani za kilozi na ushirikina kama jinsi unavyojipambanua uwapo hapa JF.
🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆🙆hio dini itakuwa noma mazee ngoja tuone.
View attachment 3513690
Issue ya pombe umeiwekaje nione kama tunaweza kuwa pamoja?Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600.
Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu)
UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio Mungu wa kiarabu au wa mashariki ya kati, huyu ni Mungu wa asili ya chimbuko lako)
Huku kwangu kutakua hakuna sadaka za kujimaliza wala michango ya kijinga, kutakua na taratibu za kufanya ibada na maombi yanayojibiwa kwa wakati.
Nina mengi ya kueleza lakini natamani waumini wa mwanzo mwanzo niwapate hapa jf
Page 600 zote za nini? Ziwe 70 tuKitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600.