Mafunzo rasmi ya uchawi:Je hirizi na tunguri zinatoaje taarifa kwa mmiliki wake?

Mafunzo rasmi ya uchawi:Je hirizi na tunguri zinatoaje taarifa kwa mmiliki wake?

Mshana Jr tusaisidie majibu mujarabu
Kuna wireless connection kati na mtu na tunguli lakini lazima kuwe na booster mahali
Nikiwa na hirizi hapa basi booster iko kilingeni
Lakini pia booster inaweza kuwa kati yako na hirizi hapo hapo kwenye mwili wako?
Unajumbuka watoto wadogo kijijiji walikuwa wanafungwa vitovu vyao mkononi? Ili hirizi ikusaidie ni lazima iwe na kitu chako chochote
 
Dada kwenye kutoa taarifa utajikuta kama ni hirizi inakubana ama kukuwasha..! Unakuwa umeshapewa hizi codes .. Kama ni tunguli inaweza kufanya haya
Kuchezacheza/ kutikisika
Kutoa sauti ndogo/hissing
Baadhi kutoa mwanga
Baadhi kutoa moshi nk
 
Dada kwenye kutoa taarifa utajikuta kama ni hirizi inakubana ama kukuwasha..! Unakuwa umeshapewa hizi codes .. Kama ni tunguli inaweza kufanya haya
Kuchezacheza/ kutikisika
Kutoa sauti ndogo/hissing
Baadhi kutoa mwanga
Baadhi kutoa moshi nk
Hii ilimu kwanini isiongezwe katika mtala wa sikondari zetu, watoto wakitoka hapo wawe wamepata kajichanzo ka ajira?
 
Shida ya waganga hawa akiona amekosa wateja anakichokonoa mwenyewe tena ili angalau umpelekee pesa.
Anakutengenezea tatizo ili umkumbuke yaani ukiwa na wanganga wengi watakuloga wao wenyewe mpaka ukome.​
Hili ni kweli kabisa... Unapoenda hospital unaingizwa kwenye database yao maana wanajua utarudi... Kwenye uganga wa kienyeji nako ni hivyo hivyo ila wao ndio huamua wakurudishe lini na kwanini
 
Back
Top Bottom