Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Mshana Jr tusaisidie majibu mujarabuHapa nilipo sina hirizi wala tunguli hata moja, nimeshagawa vyote. Walau ningekuwa navyo hivi vingenipa ABC.
Bado nafuatilia kuona mwisho wa hiki kituko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wireless connection kati na mtu na tunguli lakini lazima kuwe na booster mahaliMshana Jr tusaisidie majibu mujarabu
Hii ilimu kwanini isiongezwe katika mtala wa sikondari zetu, watoto wakitoka hapo wawe wamepata kajichanzo ka ajira?Dada kwenye kutoa taarifa utajikuta kama ni hirizi inakubana ama kukuwasha..! Unakuwa umeshapewa hizi codes .. Kama ni tunguli inaweza kufanya haya
Kuchezacheza/ kutikisika
Kutoa sauti ndogo/hissing
Baadhi kutoa mwanga
Baadhi kutoa moshi nk
Kitovu kikishakatika kinanenewa ulinzi au kinawekewa dawa za kienyeji kisha kinafungwa kwenue kamba ya kitambaa cheusi halafu mtoto anafungwa mkononi..
Ngoja tufungue chuo chetuHii ilimu kwanini isiongezwe katika mtala wa sikondari zetu, watoto wakitoka hapo wawe wamepata kajichanzo ka ajira?
Bonding..kitovu ndio mrija wa chakula na kila kitu toka kwa mama kwenda kwa mtoto tangu mimba mpaka kuzaliwa..hivyo kukitupa baada ya kukatika wanaona ni kupoteza ile bond wakati mtoto hajaweza kujitegemea
Ndani yake ni kitovu japo wengine ni hirizi
😅😅😅😅🙌Dada kwenye kutoa taarifa utajikuta kama ni hirizi inakubana ama kukuwasha..! Unakuwa umeshapewa hizi codes .. Kama ni tunguli inaweza kufanya haya
Kuchezacheza/ kutikisika
Kutoa sauti ndogo/hissing
Baadhi kutoa mwanga
Baadhi kutoa moshi nk
Kuna mila na kuna ushirikina
Hili ni kweli kabisa... Unapoenda hospital unaingizwa kwenye database yao maana wanajua utarudi... Kwenye uganga wa kienyeji nako ni hivyo hivyo ila wao ndio huamua wakurudishe lini na kwaniniShida ya waganga hawa akiona amekosa wateja anakichokonoa mwenyewe tena ili angalau umpelekee pesa.
Anakutengenezea tatizo ili umkumbuke yaani ukiwa na wanganga wengi watakuloga wao wenyewe mpaka ukome.
Nilijiulizavsiku moja hivi brother Mshana Jr ana subiri Nini kuanzisha chuo Cha uganga wa asili? Mbona ULAYA vipoNgoja tufungue chuo chetu
Mwaka juzi tulikwama.. Tulitaka kuwa na tamasha la kazi za kishirikinaNilijiulizavsiku moja hivi brother Mshana Jr ana subiri Nini kuanzisha chuo Cha uganga wa asili? Mbona ULAYA vipo
Unaonaje likifanyika mwaka huu Nov mkuuMwaka juzi tulikwama.. Tulitaka kuwa na tamasha la kazi za kishirikina
Hapana tumeshachelewa November sio mbali labda tujipange kwa mwakaniUnaonaje likifanyika mwaka huu Nov mkuu
UzayuniKuna mila na kuna ushirikina
Akifungwa kitovu pekee bila kufanyiwa featuring hiyo ni mila
Akifungwa kitovu kilichofanyiwa kolabo ni madawa huo ni ushirikina
Mkuu nahisi wewe kitaaluma ni teacher.Mwaka juzi tulikwama.. Tulitaka kuwa na tamasha la kazi za kishirikina