Mafunzo rasmi ya uchawi:Je hirizi na tunguri zinatoaje taarifa kwa mmiliki wake?

Nilijiulizavsiku moja hivi brother Mshana Jr ana subiri Nini kuanzisha chuo Cha uganga wa asili? Mbona ULAYA vipo
Hata tza KILA mji vipo vingi tu.
Ukiwa na interest na kitu utakijua kilipo.
Temeke kipo pia.
Unasoma uchawi miaka 5 ukitaka uganga miaka 2.
Ili uwe mganga ni lazima ufuzu miaka 5 ya uchawi darasani, ndipo unapata sifa za kusoma uganga miaka 2
 
Mchawi aliyeokoka aelezea jinsi ya kumnasua mgonjwa aliyetupiwa ugonjwa mfano aliyepooza,kansa, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…