Thanks kwa kuonyesha njia. Pia Wanaalikwa kuangalia AMKA na BADILIKA PROGRAM.
NIkiandika hapa TZ kuna Ng'ombe wanatoa LITA 60 za Maziwa kwa siku sijui watabisha pia?
"Wakati Yeye Hana Kitu?" - Karibu sana.
"Msitajirike kwanza siye tukaona" - karibu sana. Njuguna unahusika hapa na utajiri wako.
"Mnaingiza watu chaka" - Tembea ujionee. Naahidi kukutembeza Green House za DSM na Kenya at my coast. Sometimes si wazo baya kuingia gharama ili asiyeamini aamini. Just contact me.
Ni kwa sababu tu TZ hatuna Watchdog wa misleading adverts, you advert is misleading......
Ndugu zangu watanzania naomba nitoe tahadhali kuhusu uanzishwaji wa greenhouse hasa haya yanayotangazwa kibiashara kabla ya kufanya uamuzi wa kuyanunua nawaomba mpate ushauri kutoka kwa wataalam wa kilimo. kuna mambo ya msingi sana yanatakiwa yazingatiwe emissivity na transmissivity ya cladding/greenhouse cover ni muhimu sana wafanyabiashara wengi wamekuwa wakidanganya hivyo kupunguza efficiency ya greenhouse yenyewe. pia greenouse inategemea na location uliyopo, hali ya hewa na availability ya resources. mimi ni mtaalam wa kilimo ambaye kwa sasa nasomea greenhouse hort nchini uholanz be careful my people.
Agric pays Do it.
Nini dhamira ya ulichoandika?
At my cost I stand by what I have written!
Nini Watch Dogs? At my cost nakualika kukutembeza Green House za DSM na Mombasa nk ili ushuhudie kisha uje kuandika tena.
I am serious about this.
Si kila wote wanaoweka post wana nia mbaya behindi. Angalia credibility ya watu kabla hujaandika!
1. Tancot House 2nd Fllor Sokione Drive
2. Welcome to Affordable Greenhouse - Affordable Greenhouse & Irrigation Services
3. Contacts ni za kampuni.
Karibu
Mkuu kabla ya ujenzi inafanyika soil analysis na water analysis kupitia maabara ili kujua virutubisho vilivyopo na kama kuna infection yoyote.
Unaweza kufanya Green House Kiluvya. karibu sana.
Sikufundishi...na mchango wangu usione nakuharibia dili lakini nikupe reference kidogo...
Kuna bwana mmoja, ngosha alitoka Mwanza kuja mjini kujaribu bahati yake...Akajiingiza kwenye biashara ya kuuza nafaka na bidhaa nyingine za chakula Kariakoo, kwa kuwa hakuwa wa kwanza kwenye biashara hiyo na kwa kutambua kwamba ushindani wa kibiashara ulikuwa mkubwa akaamua kuwaza tofauti na wafanya biashara wakongwe aliowakuta pale...
Kuna mama lishe wengi ambao walikuwa na wateja wengi ila walishindwa kuwakidhi kutokana na mitaji midogo ama kutokuwa nayo kabisa, hivyo jamaa aliamua kila siku kuwapatia mama lishe hao mahitaji yote ya siku, kuanzia unga wa Maandazi/chapati asubuhi hadi mchele na maharage ya jioni...wakapika, wakafanya biashara...
Kesho yake kabla ya kupewa mahitaji mengine ilibidi ulipe kwanza yale ya jana yake (kutokana na hela ya mauzo) kisha ndiyo upewe mapya...guess what! Yule bwana leo ana fedha, na wale mama lishe wanajimudu, hawakopi tena na wameweza hata kusaidia familia zao...
Sasa basi ikiwa unaweza kumjengea mkulima miundo mbinu inayogharimu Mil. 5 ili apande nyanya and likely, ndani ya mwaka aweze ku gain mil 20 kwanini msingewajengea wengi kwa kadiri ya uwezo wenu na kuwaelekeza namna bora ya kilimo ili bbda ya mwaka wauze wakupeni milioni zenu tano nao kubaki na kifuta jasho cha mil 15? Yeye mtaji wake uwe ni eneo na nguvu kazi...ni wazo tu!
Watu, ukiwa very specific ni rahisi sana kukusaidia. Critics zako japo tunafurahi sana kuzijibu lakini hauko focused so hatujui kama una criticise tu in a negative way au una issues zinahitaji majibu.Credibilty and Misleading? Nairobi? Show me one of your green houses in Ilula, Iringa? Just come up with more productive ideas, NOT this Trading idea's watanzania mtakuwa wachuuzi hadi lini? get productive leteni ideas za ku add value to what we have or producing already
Asante kuwatuamsha. Hizi analysis una charge bei gani?
Toa mada asante. Naimva tuchukue criticism in a positive way ili wengine tuendelee kujifunza. If you have working green house system in Dar. Nitafurahi kuziona na kujifunza.
Kwa kawaida polythene covering inyofaa sehemu hizi na ambayo tunaitumia sisi ni kama ifuatayo:
Polyhtene additives include: UV+IR+AB+LD+EVA+SR
Thickness:200mic - this ensures optimum rates of emissivity for common vegetables (anything above this is too high resistance for vegetable families)
Width: Varies from 4M-12M (depends on the greenhouse dimensions)
MFI: 0,40g/10-0.65g/10'
Density: 0,922 g/cm2
IMpact: Av.300 g
Stretching and Resistance: min 20N/mm2/min 17N/mm2
You are welcome to take a sample to the lab for analysis if you are looking to grow a specific vegetable variety if it needs special polythene rating lakini kama ni nyanya, hoho, matango, mbiriganya, vitunguu then this is what you need.
Bravo Njuguna & Msimbe, nimekubali wewe ni Pro, hubabaishi mkuu.
Baada ya kuangalia mchanganuo wa gharama za kujenga greenhouse katika kitabu chako nilikuwa na wasiwasi nazo hasa kuhusu vifaa kadhaa kama vile UV plastics kwa ajili ya kujengea greenhouse. Nikaamua kufanya research kama hii ni kweli. Nilipiga simu kwa rafiki yangu mmoja yuko arusha ambaye nilisoma nae, yeye ana greenhouse nyumbani kwake. Nikamwelezea mchanganuo wako akasema kuwa uko sahihi kwa asilimia 95. Alisema kuwa hizo UV plastics ambazo ninaongelea yeye alizinunua pale arusha kampuni inaitwa Balton, unaweza google maana sina mawasiliano yao, ambapo yeye alinunua hizo plastics kwa sh. 1350 kwa sq. meter. Hivyo kama najenga greenhouse ya 10X20 basi gharama yake inakuwa sh. 270,000
Pia nimependa wazo lako la kutumia neti za kulalia kujengea ukuta wa greenhouse hasa katika maeneo ya joto kwa kuwa hiyo inapunguza sana gharama. Hivyo nkuu uko sahihi.