Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Thanks kwa kuonyesha njia. Pia Wanaalikwa kuangalia AMKA na BADILIKA PROGRAM.

NIkiandika hapa TZ kuna Ng'ombe wanatoa LITA 60 za Maziwa kwa siku sijui watabisha pia?

Ha ha ha ha haaa!! Hapo kwenye red mkuu utapigwa mawe kabisa!! Kama Rais wetu anaenda kushangaa ng'ombe wa kilo 1000 wakati amewaacha wengine hapo Mpwapwa unategemea nini? Raia wenyewe si ndo kabisaaaaa!! Pale Mpwapwa kulikuwa na ng'ombe chotara wa Mpwapwa breed na Sahiwaal, ng'ombe utafikri nyati. Wa-Bongo tubadilike jamani, haya mambo yanawezekana.
 
"Wakati Yeye Hana Kitu?" - Karibu sana.
"Msitajirike kwanza siye tukaona" - karibu sana. Njuguna unahusika hapa na utajiri wako.
"Mnaingiza watu chaka" - Tembea ujionee. Naahidi kukutembeza Green House za DSM na Kenya at my coast. Sometimes si wazo baya kuingia gharama ili asiyeamini aamini. Just contact me.

Ni kwa sababu tu TZ hatuna Watchdog wa misleading adverts, you advert is misleading......
 
Ni kwa sababu tu TZ hatuna Watchdog wa misleading adverts, you advert is misleading......

At my cost I stand by what I have written!

Nini Watch Dogs? At my cost nakualika kukutembeza Green House za DSM na Mombasa nk ili ushuhudie kisha uje kuandika tena.

I am serious about this.

Si kila wote wanaoweka post wana nia mbaya behindi. Angalia credibility ya watu kabla hujaandika!
 
Ndugu zangu watanzania naomba nitoe tahadhali kuhusu uanzishwaji wa greenhouse hasa haya yanayotangazwa kibiashara kabla ya kufanya uamuzi wa kuyanunua nawaomba mpate ushauri kutoka kwa wataalam wa kilimo. kuna mambo ya msingi sana yanatakiwa yazingatiwe emissivity na transmissivity ya cladding/greenhouse cover ni muhimu sana wafanyabiashara wengi wamekuwa wakidanganya hivyo kupunguza efficiency ya greenhouse yenyewe. pia greenouse inategemea na location uliyopo, hali ya hewa na availability ya resources. mimi ni mtaalam wa kilimo ambaye kwa sasa nasomea greenhouse hort nchini uholanz be careful my people.
Agric pays Do it.

Kwa kawaida polythene covering inyofaa sehemu hizi na ambayo tunaitumia sisi ni kama ifuatayo:
Polyhtene additives include: UV+IR+AB+LD+EVA+SR
Thickness:200mic - this ensures optimum rates of emissivity for common vegetables (anything above this is too high resistance for vegetable families)
Width: Varies from 4M-12M (depends on the greenhouse dimensions)
MFI: 0,40g/10’-0.65g/10'
Density: 0,922 g/cm2
IMpact: Av.300 g
Stretching and Resistance: min 20N/mm2/min 17N/mm2
You are welcome to take a sample to the lab for analysis if you are looking to grow a specific vegetable variety if it needs special polythene rating lakini kama ni nyanya, hoho, matango, mbiriganya, vitunguu then this is what you need.
 
At my cost I stand by what I have written!

Nini Watch Dogs? At my cost nakualika kukutembeza Green House za DSM na Mombasa nk ili ushuhudie kisha uje kuandika tena.

I am serious about this.

Si kila wote wanaoweka post wana nia mbaya behindi. Angalia credibility ya watu kabla hujaandika!

Credibilty and Misleading? Nairobi? Show me one of your green houses in Ilula, Iringa? Just come up with more productive ideas, NOT this Trading idea's watanzania mtakuwa wachuuzi hadi lini? get productive leteni ideas za ku add value to what we have or producing already
 
Toa mada asante. Naimva tuchukue criticism in a positive way ili wengine tuendelee kujifunza. If you have working green house system in Dar. Nitafurahi kuziona na kujifunza.
 
Sikufundishi...na mchango wangu usione nakuharibia dili lakini nikupe reference kidogo...

Kuna bwana mmoja, ngosha alitoka Mwanza kuja mjini kujaribu bahati yake...Akajiingiza kwenye biashara ya kuuza nafaka na bidhaa nyingine za chakula Kariakoo, kwa kuwa hakuwa wa kwanza kwenye biashara hiyo na kwa kutambua kwamba ushindani wa kibiashara ulikuwa mkubwa akaamua kuwaza tofauti na wafanya biashara wakongwe aliowakuta pale...

Kuna mama lishe wengi ambao walikuwa na wateja wengi ila walishindwa kuwakidhi kutokana na mitaji midogo ama kutokuwa nayo kabisa, hivyo jamaa aliamua kila siku kuwapatia mama lishe hao mahitaji yote ya siku, kuanzia unga wa Maandazi/chapati asubuhi hadi mchele na maharage ya jioni...wakapika, wakafanya biashara...

Kesho yake kabla ya kupewa mahitaji mengine ilibidi ulipe kwanza yale ya jana yake (kutokana na hela ya mauzo) kisha ndiyo upewe mapya...guess what! Yule bwana leo ana fedha, na wale mama lishe wanajimudu, hawakopi tena na wameweza hata kusaidia familia zao...

Sasa basi ikiwa unaweza kumjengea mkulima miundo mbinu inayogharimu Mil. 5 ili apande nyanya and likely, ndani ya mwaka aweze ku gain mil 20 kwanini msingewajengea wengi kwa kadiri ya uwezo wenu na kuwaelekeza namna bora ya kilimo ili bbda ya mwaka wauze wakupeni milioni zenu tano nao kubaki na kifuta jasho cha mil 15? Yeye mtaji wake uwe ni eneo na nguvu kazi...ni wazo tu!

Wazo zuri kwa kupambana na umasikini linatekelezeka. Fanyieni kazi wahusika
 
Credibilty and Misleading? Nairobi? Show me one of your green houses in Ilula, Iringa? Just come up with more productive ideas, NOT this Trading idea's watanzania mtakuwa wachuuzi hadi lini? get productive leteni ideas za ku add value to what we have or producing already
Watu, ukiwa very specific ni rahisi sana kukusaidia. Critics zako japo tunafurahi sana kuzijibu lakini hauko focused so hatujui kama una criticise tu in a negative way au una issues zinahitaji majibu.

1. Critics kubwa ilikuwa ni kuwa uzalishaji zaidi ya tani 20 haiwezekani. Tumeshatoa details kuwa inawezekana.
2. Issue nyingine ilikuwa Green House maeneo ya joto ni Majangaz: Tumeshaonyesha a practical technology inayotumika coast of Kenya ambayo ni sawa na TZ.
3. Further tumesema kuna Green Houses hapa DSM na zinafanya vema tu.
4. Critics nyingine ilikuwa ni juu ya masoko: Limejibiwa vema na kama bado una queries tunapenda kuzisikia
5. Sasa unaulizia Green House Ilula. Ilula iko mkoa wa Iringa na ni nyanda za juu kusini so, kuna baridi kuliko DSM, so huko Green House zinaweza kuwa even more effective. Japo sina mtu namjua mwenye Green House huko lakini najua kuna watu maeneo ya Tukuyu wana Green House na zinafanya vizuri. Ilula japo nyanya na vitunguu vingi vinatoka huko haina maana kuwa Green House hazifai.
6. Green House is a Technology na ni choice kuitumia kama unahitaji high yields na value for money katika controlled environment. Hakuna mtu analazimisha
7. Prodfuctive ideas za what is produced already ni kama zipi? Kusindika? Masoko? nadhani hivi vyote viko available. Na wakulima wengi wadogo wanajua.

By the way napenda kukuuliza a very simple question: Unafikiri mtu akiwa na TZS 5M anaweza kuwekeza katika kitu gani ambacho kitampatia return of investment na faida? Ngoja tupate mawazo mbadala toka kwako. We hope you will take this in a positive way.
 
Toa mada asante. Naimva tuchukue criticism in a positive way ili wengine tuendelee kujifunza. If you have working green house system in Dar. Nitafurahi kuziona na kujifunza.

Mkuu ziko Green Houses DSM, ukiwa na wasaa bila shaka unaweza kuziona. Tuwasiliane tu.
 
Kwa kawaida polythene covering inyofaa sehemu hizi na ambayo tunaitumia sisi ni kama ifuatayo:
Polyhtene additives include: UV+IR+AB+LD+EVA+SR
Thickness:200mic - this ensures optimum rates of emissivity for common vegetables (anything above this is too high resistance for vegetable families)
Width: Varies from 4M-12M (depends on the greenhouse dimensions)
MFI: 0,40g/10’-0.65g/10'
Density: 0,922 g/cm2
IMpact: Av.300 g
Stretching and Resistance: min 20N/mm2/min 17N/mm2
You are welcome to take a sample to the lab for analysis if you are looking to grow a specific vegetable variety if it needs special polythene rating lakini kama ni nyanya, hoho, matango, mbiriganya, vitunguu then this is what you need.

Bravo Njuguna & Msimbe, nimekubali wewe ni Pro, hubabaishi mkuu.
 
Bravo Njuguna & Msimbe, nimekubali wewe ni Pro, hubabaishi mkuu.

Kukata mzizi wa fitina waambie wakujengee tu ili utajirike.......usipoona ukaehuka kwa kupoteza fedha. Technology ya green house ipo kweli na ni nzuri sana lakini haiendi kirahisi rahisi na kwa faida kubwa kama hawa jamaa wanavyopamba!
 
Yaani ukipitia hii thread unaona Kabisa challenge tuliyonayo Kama taifa. Jamani hivi kwanini tusijijengee hata utaratibu wa kujisomea? Maana hizi information zimejaa kwenye mitandao. It's really sad kuona hata elimu tuliyonayo haitusaidii.

tutaajiliwa mpaka lini kwa hii mishahara ambayo haitoshi hata kulipia kodi ya nyumba?

kwa kweli elimu ni muhimu. Lakini hii elimu ya Akina Mulugo sijui itatupeleka wapi Kama taifa.
 
Baada ya kuangalia mchanganuo wa gharama za kujenga greenhouse katika kitabu chako nilikuwa na wasiwasi nazo hasa kuhusu vifaa kadhaa kama vile UV plastics kwa ajili ya kujengea greenhouse. Nikaamua kufanya research kama hii ni kweli. Nilipiga simu kwa rafiki yangu mmoja yuko arusha ambaye nilisoma nae, yeye ana greenhouse nyumbani kwake. Nikamwelezea mchanganuo wako akasema kuwa uko sahihi kwa asilimia 95. Alisema kuwa hizo UV plastics ambazo ninaongelea yeye alizinunua pale arusha kampuni inaitwa Balton, unaweza google maana sina mawasiliano yao, ambapo yeye alinunua hizo plastics kwa sh. 1350 kwa sq. meter. Hivyo kama najenga greenhouse ya 10X20 basi gharama yake inakuwa sh. 270,000

Pia nimependa wazo lako la kutumia neti za kulalia kujengea ukuta wa greenhouse hasa katika maeneo ya joto kwa kuwa hiyo inapunguza sana gharama. Hivyo nkuu uko sahihi.
 
zaidi ya Balton kuna kampuni/ duka/ mtu mwengine anayeuza hizo plastiki za kuezekea greenhouse?
 
Back
Top Bottom