Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mkuu wa wilaya ya Hai naye hajui maana na faida ya greenhouse . Ndiyo maana kaenda kubomoa miundombinu ya Kiongozi fulani wilayani kwake. Alidhani anang'oa chunga kwa akili yake!
Inasikitisha mkuu ila tuwaachie tu wanasiasa ya kwao.. Naomba mchango wako juu kama una ufahamu wowote juu ya hili.
 
Sipo vizuri sana kweny makadilio coz vifaa navyo vinatofautiana kuna watu wanatumia nguzo za mbao wengine za chuma, net nazo zimetofautiana. HAPA TAFUTA MTAALAMU TENA WA UHAKIKA USIJEFUNGIWA KIENYEJI TU UKAPIGWA PESA NYINGI.
Kwa ukubwa huo andaa kama mil 5+ pia nakushauri waone kampuni ya Balton upate maelezo na uzshauri sahihi.
 
Asante sana mkuu. Mungu akubariki
 
King mzima wewe,
Asante kwa kuniita. Mtindo wa kilimo hiki ni mzuri sana kama utakuwa umefanya vizuri soil analysis, uchaguzi sahihi wa zao sawa na soko lako, soko la uhakika na ushauri wa kitalaam. Usijenge kienyeji maana itakula kwako. Nitarudi
Tupo Mtaalamu malila,kijana anahitaji utaalamu wako,naamini ukirudi utarudi na kila kitu kuhusu Green House.
 
King mzima wewe,
Asante kwa kuniita. Mtindo wa kilimo hiki ni mzuri sana kama utakuwa umefanya vizuri soil analysis, uchaguzi sahihi wa zao sawa na soko lako, soko la uhakika na ushauri wa kitalaam. Usijenge kienyeji maana itakula kwako. Nitarudi
Asante sana mkuu karibu sana nahitaji kujifunza mengi juu ya hili
 
mboga kuna makomamanga, sukuma wiki, kabechi n.k.
 
Ina maana humu hamna wataalamu wa hichi kilimo? Ngoja nikaifanye halafu nitakuwa ambassador wa Jf

"Tecno Whatever "
 
50 x 50 bila shaka ni greenhouse kubwa kuliko kiwango cha kawaida. Nadhani kwa wastani ni 30 x 12. Hapa itakuwezesha kupata nailoni standard yaani 7.5mita kila upande au 6.5 kila upande. Kwa greenhouse yenye ukubwa huu kutegemea na material haipungui 7mil kwa kutumia miti na mbao. Hata hivyo naamini wataalamu wapo humu watqkusaidia

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu asante mimi nataka hiyo ya 50 kwa 50

Au basi tufanye 30 *12 iwe mara mbili au tatu katika eneo moja

"Tecno Whatever "
 
Nimerudi tena kwenye ka uzi kangu haka kuangalia maujuzi naona wadau wako mashambani
 
Ina maana humu hamna wataalamu wa hichi kilimo? Ngoja nikaifanye halafu nitakuwa ambassador wa Jf

"Tecno Whatever "
Hiki kilimo kimeshajadiliwa huku sana, japo sikumbuki title ya uzi mzuri
Ila ingia google kisha search hivi, kilimo cha greenhouse: Jamiiforums utapata uzi nyingi zinazozungumzia hiki kilimo na utachagua uzi wenye maelezo mazuri
 
Hizi nyuzi zinakuwa na wachangiaji wachache sana ila zina umuhimu maradufu.

Ila gharama yake du noma sana
 
Hiki kilimo kimeshajadiliwa huku sana, japo sikumbuki title ya uzi mzuri
Ila ingia google kisha search hivi, kilimo cha greenhouse: Jamiiforums utapata uzi nyingi zinazozungumzia hiki kilimo na utachagua uzi wenye maelezo mazuri

Shukrani mkuu
 
hii ya kuchavusha mwenyewe unaifanyaje mkuu??

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Kilimo kinachoitwa Green House Ila kuna teknolojia iitwayo green House ambayo tunaitumia katika uzalishaji wa Mazao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…