King mzima wewe,
Asante kwa kuniita. Mtindo wa kilimo hiki ni mzuri sana kama utakuwa umefanya vizuri soil analysis, uchaguzi sahihi wa zao sawa na soko lako, soko la uhakika na ushauri wa kitalaam. Usijenge kienyeji maana itakula kwako. Nitarudi
Kama una mtaji mdogo na huna soko la uhakika ninakushauri anza na drip irrigation badala ya green house.Yana tofautiana kwa kiwango cha gharama na kiwango cha uzalishaji unachokitaka.Kama eneo lako ni dogo mno green house ni nzuri zaidi.Drip irrigation itachukua eneo kubwa kwa gharama ndogo za vifaa ila itakulazimu kupambana na wadudu waharibifu.Sawa mkuu asante mimi nataka hiyo ya 50 kwa 50
Au basi tufanye 30 *12 iwe mara mbili au tatu katika eneo moja
"Tecno Whatever "
Habari naomba kumpata mtaalamu humu wa GreenhouseWakuu heshima kwenu.
Kuna jambo nataka kujifunza juu ya kilimo hichi kwa bahati mbaya sehemu niliyopo siwezi kupata data za kuniwezesha kujua abc za kilimo hiki.
Naamini huku nitapata elimu tosha juu ya gharama zake, changamoto, masoko, uhifadhi, mazingira ya aina gani yanafaa kwa kilimo hiki, kwa mwaka unaweza kupanda mara ngapi?
Madhara yanayoweza kusababishwa na kilimo hichi kwa afya ya binadamu
Ni aina ipi ya mboga/matunda /zinaweza kupandwa?
Natanguliza shukrani...
Yaap its good mimi nimekuwa nikifuatilia greenhouse farming kwa muda mrefu nilishafika hatua ya kuanza ku install kuna ideas nimepata toka SUA wataalamu wa Horticulture wanasema GH huwa hazina ufanisi katika maeneo ambayo yako chini ya mita 1,500 toka usawa wa Bahari.Habari naomba kumpata mtaalamu humu wa Greenhouse
unalima nini kwenye greenhouse net house yako mkuu? maendeleo yako kwenye kilimo cha greenhouse unaweza kutudadafulia kwa juu juu ?
Nilipoona neno 'utajili' badala ya utajiri nikajua hapa hakuna mtu!jamaa ana green house ya kitabu....ππ " Weke vitu relevance mkuu Huku Jf mtu hauziwi mbuzi kwenye gunia aiseeπ"
naona anakuja na swagger ya vitabu.... badala ya kuja na mifano hai.... biashara za namna huwa haziniingii kichwani kabisaNilipoona neno 'utajili' badala ya utajiri nikajua hapa hakuna mtu!
Kuna ndugu mmoja Sanctus Mtsimbe yeye ni balozi halali wa kilimo cha mfumo wa Green house na kuna Thread yake humu yenye mifano hai ya shamba darasa si hawa wa 'Utajili' wa kilimo cha kwenye vitabu!naona anakuja na swagger ya vitabu.... badala ya kuja na mifano hai.... biashara za namna huwa haziniingii kichwani kabisa
Hakuna namna yakufunga mfumo wakupunguza joto?Yaap its good mimi nimekuwa nikifuatilia greenhouse farming kwa muda mrefu nilishafika hatua ya kuanza ku install kuna ideas nimepata toka SUA wataalamu wa Horticulture wanasema GH huwa hazina ufanisi katika maeneo ambayo yako chini ya mita 1,500 toka usawa wa Bahari.
Kwa hiyo maeneo yote ya dsm, Mombassa, na pwani GH haziko efficient sana
Lakini jamaa walienda mbali zaidi kudadavua kwamba hata kama utajenga GH ktk maeneo hayo design ambayo iko friendly na ile ya mapaa mawili yanayopishana ambayo ita ensure ventilation ya hali ya juu. Hata hiyo wanasema wakati wa joto kali plants zinakuwa stressed
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi hilo ndio jambo la muhimuHakuna namna yakufunga mfumo wakupunguza joto?