Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Ok,
Inawezekana kua kwa kusema kitabu chako kinaongelea jinsi ya kuanzisha greenhouse kwa laki 5 ni mbinu tu ya kuuza kitabu?

Ili ku-justify kwamba it is possible, waweza kutoa hata picha tu ya hiyo greenhouse ya laki 5??

Abdulatif alituambia ni Tshs 2.5Mil na aliweka picha, maelezo, tukamuona kwa TV akielezea, mwishowe tukamtembelea Mwikwambe Kigamboni kujionea "Live"!!

Lakini Mkuu ukituuzia tu kitabu bila maelezo na mafunzo ya ziada, wengi wetu tutashindwa!! Ni sawa na mwanafunzi umpe tu kitabu akajisomee aje apige pepa, no lecture, no discussion, no whatever!!

Nimeupata ushauri wako, ni mzuri. Umefikia wapi na greenhouse yako baada ya kumtembelea huyo jamaa?
 
Mkuu sana Masanja mfumo wetu umetuandaa hivyo, kuna kasoftware kadogo kanatakiwa kuwa installed kwenye mind zetu kufuta hii mentality, na nina hofu kama hii litawezekana kwa sasa maana ukweli ni kwamba mlinganyo wa maisha kati ya aliye nacho asiye nacho na mwenye kidogo ni mkubwa mno ambapo kwa mwanahisababti utakuwa una unknown tatu za kutafuta wakati dta ulizonazo zinasuit kutafuta unknown mbili...

Kuna mambo ambayo wananchi hatutaepuka lawama kwa kuyaacha yajiendee ovyo tu,mfano kutupa taka hovyo na kufanya shughuli ambazo zinablock miundombinu mathalan ambapo baadaye ikitokea dharura yoyote rescue dudes wanashindwa kumwokoa victim..

Wengi wetu tumejikuta tumezaliwa na kwamba tumesoma elementary school kwa sababu ilikuwa desturi tu ya watoto wenye umri wa kwenda shule waende, na tukajiendea tu....Tulipohitimu darasa la saba tukajikuta tupo sekondari, kwa kuwa tulichaguliwa ili tusiwe chokoraa mitaani ila baada ya kupata ka exposure kadogo ikabidi kujituma kidogo ili wadogo zetu mtaani wasituone mbumbumbu kwa kushindwa kuingia kidato cha tano...tukaenda na tukajikuta vyuoni kwa namna ile ile ya msaragambo....

Tokea siku ya kwanza ya elimu ya chuo kikuu hadi siku ya mwisho ya elimu ya shahada ya kwanza, ni tambo tu za wakufunzi na historia za nchi walizosoma na ama maisha waliyoishi wakiwa masomoni, wataende mbele zaidi kwa kukuambia kwamba wanakuandaa ili ukajiajiri mwenyewe huku wakisahau wapo chuoni kimkataba baada ya muda wao wa kufanya kazi (kuajiriwa) umepita na kwamba pamoja na nadharia yao ya kukuandaa kujitegemea ila yeye si muumini wa nadharia husika. Unamaliza unaingia mtaani ukiwa na kakiburi cha usomi, na maisha ya kisomi somi...Guess what!

Ndiyo mwanzo wa kuanza kuona serikali haijafanya hili na lile,ndo mwanzo wa kuvishwa chuki za kisiasa, ndo mwanzo wa kuanzisha vijikundi vya kugombana na serikali, ndo mwanzo wa umasikini na kuvunja sheria, ndiyo mwanzo wa kuwa mwenyeji wa mahakani. Na kwa kuwa maisha hayagandi bado uzazi utaendelea, unategemea kizazi kinachozaliwa kwenye vurumai hili kuwaje...nikisema Mtanzania wa kawaida siilaumu serikali ya bwana mkubwa, ni mfumo umetufikisha tulipo..and offcourse we enjoyed ride!
 
Last edited by a moderator:

Maridadi kabisa. And thats my point.

Tumekuwa taifa la walalamishi, ujanja ujanja, mkato mkato....wizi pety pety.....yaani hatujitambui..kuanzia kwa viongozi mpaka kwetu wananchi. Lakini kikubwa zaidi..ni kipi kifanyike kuaddress hili tatizo? Mi naamini lazima tuanze kwa kubadilika kifikra. Angalia hata humu JF..kuna watu wakisikia unacomment against their belief in CCM or Chadema or whetevver party..unaonekana msaliti..huna shukrani kwa serikali sikivu! Jana nilibahatika kuangalia bunge na michango ya wabunge! Specifically nilimwangalia msomi Omar Nundu (I didnt know the dude had been a minister)..Yaani I felt very sorry for myself and my country. Yaani jamaa anaongea pumba ni hakuna mfano! Yaani nilikubali ule msome kwamba..some people appear smart until you hear them speak.

I mean wengi wetu tumeshajikatia tamaa kabisa....Lakini is it true kwamba hatuwezi kubadilika? tujadili hili.

Tujue kabisa kwa kila maamuzi tuyafanyayo...lazima kuna consequences. The only way the poor can engage in deliberative dialogue in society such as ours..is to be responsble kwenye maamuzi muhimu kama ya kuchagua viongozi na kuwawajibisha. These viongozi are damn tired na wameshiba mpaka wamejisahau. Unajua wenzetu wanasema stupidity..is doing something over and over again..expecting different results. TuNAFANYA UJINGA ULE ULE tukitegemea mambo yatabadilika.

Naamini ni muhimu hata mitaala yetu ya kishule tuibadilishe kwa namna fulani kuendana na hali halisi. Imagine mtu ana div. four ndo anachaguliwa ualimu. Juzi jamaa ananiambia..bro..nimefeli form four hebu nifanyie mpango wa upolisi au Jeshi!!! Means hizo fani ni za failures! Mkuu kama tumefikia huko na bado hatulioni huoni hatari?

Ndo maana mkuu..leo ukiendesha gari zuri au ukajenga nyumba nzuri..watu wanajua umeiba.....maana hata viongozi wetu..wametuonyesha kwamba kufanikiwa lazima uibe kodi za raia. Sad indeed.

Lakini ideas kama hizi za akina Msimbe..can change one's life positively kabisa..sema wengi wetu tumekata tamaa na I really hope tutabadilika.

Masanja

Some thing is wrong.
 
Laiti kama tungekutana watu 28 wenye malengo yanayoshabihiana ya kukataa umasikini na kuamua mawazo ya kinyonge na uoga kwamba hatuwezi kisha tukasimama kwenye jambo moja ambalo tutaona linafaa na kisha tusiwe wachoyo...tuwe transparent kwa wenzetu wasioamini hadi waone! Nina hakika kila mmoja kwenye hao 28 angeweza kuinspire watu sita hadi nane kutoka kitongoji chake na katika hao nao wangehamasika na kuhamasisha watu wawili watatu kwenye mitaa yao na finaly kaya zote zingekuwa na mwamko wa aina moja, na tumaini jipya na moto ingekuwa...alaaah kumbe tunaweza!

Baada ya hilo tungeyatazama maisha katika angle tofauti,mind zetu zisingekuwa iddle tena kufikia kiwango cha kuanza kulaumu circumstances!

Jana nilisoma chapisho moja la kijana ninayeheshimu sana uwezo wake wa kuchanganua mambo na namna anavyowaza na kujenga hoja fikirishi Malisa Godlisten ...

Alitoa mfano wa namna wenzetu wanavyotumia advantage ya kutojitambua kwetu kwa kunufaika na ujinga wetu...alimzungumzia bwana mmoja aliyetoka kwao ughaibuni kwa mtaji mdogo wa Mil. Moja kuja kwetu kuwekeza kwenye biashara ya kununua ngegere kwa kiwango cha sh. 10,000 kwa kila ngedere of whom aliwapata ngedere 50 kwa kiwango cha sh. 500,000.

Baada ya kuadimika akaamua kupandisha dau hadi sh. 20 na kufanikiwa kupata wengine ishirini kwa jumla ya sh 400,000..na baada ya kuona scarcity imeongezeka akiwa amebakiwa na 100,000 akapandisha tena dau hadi sh. 50,000 kwa ngedere na kupata wawili tu....

Kwa kutambua kuwa ngedere wamemalizika kwenye kijiji alichowekeza akapandisha dau hadi laki tatu kwa ngedere mmoja, kwa tamaa ya fedha wanakijiji wakaamua kusaka ngedere kila kona na muda haukupita wakapata habari ya uwepo wa mzee mmoja kwenye kijiji cha jirani aliyekuwa anauza ngedere mmoja kwa bei ya sh. 200,000. Wakafanya kila waliloweza kwa kukopa na kupita hapa na pale wakawanunu ngedere wote of which walikuwa 72 kwa bei ya laki mbili mbili ili wakauze kwa bei ya laki tatu...

Fadhaa ikawapata baada ya kurudi kwao na kumkosa mnunuzi aliyewaahidi 300,000... Wakasubiri siku ya kwanza hawakumuona, siku ya pili, ya 3, mara wiki, mara mwezi, mara mwaka....

Behind the scene...

Wale ngedere waliokuwa kijiji cha pili ni wa yule mzungu. Alikua anawanunua kwa wale wanakiiji anakwenda kuwahifadhi kijiji cha jirani kw yule mzee.
Kichwani alijua kbs ipo siku ngedere wataisha na ataanza kuwauzia walewale wanakijiji bila wao kujua, tena atauza kwa bei kubwa.
Yeye alitumia milioni moja kununua ndedere 72.... sasa amekuja kuwauzia wanakijiji walewale kwa laki 2 kwa kila ngedere. Hivyo akapata jumla ya sh.milioni 14.4, Kisha akaondoka na hela zake, akawaachia wanakijiji ngedere wao plus madeni na umasikini wa kutupa...

Angalizo tunalopata hapa ni kwamba mitaji mikubwa tunayopaswa kuwa nayo ni akili zetu na si kiasi kikubwa cha fedha na kuwa makini na maamuzi tunayofanya leo ili yasitugharimu kesho....Kwa maana nyingine, ni kwamba umasikini na utajiri wetu uu proportional na uwezo wa akili zetu!

Wasalaaam!
 
Too GOOD too be true! Lakini wabongo walivyo mambulula mtakamata wengi!
There is a doubting Thomas for everything on earth. Na ukitafuta sababu ya kutofanya jambo talikosa. Ningependa kukukaribisha kwangu shambani eneo la Nairobi ukaone production ya kila wiki kisha upate imani. 20tons in a year with proper management and with following agronomy instructions is quite conservative.
 
nataka kujua hata mtu akiwa kijijini ndani kiasi gani bei ni hiyohiyo 5millioni?
maana mimi natoka mbinga litui huko ndani kabisa so bei ni hiyo moja ama?
majibu tafadhali
Ile 5million ni ya materials na mbegu na kujengewa. Sehemu ya Mbinga utalipia gharama ya usafirishaji wa materials kwa basi. Kisha wale engineers wakija pale kwako tunakuhisi uwashughulikie malazi na chakula. Kazi ya kujenga inachukua siku 4-5
 
Mi nna maswali kadhaa;
1. Location ya ofisi zenu ziko wapi au ni ofc mkononi?
2. Je mna website tukaweza visit for more info
3. Kampuni yenu iko registered na km ndio why dont u use your company contacts kwa ishu km hz?!
 
nlikua natafuta sana fursa hii ya green house.nina eneo langu vikindu sitaki liendelee kuwa wazi bila kuzalisha kitu.
hamna maji ila nta drill alaf ntakua nayapampu na generator.

swali langu ni kwamba hiv ni lazma kuwe na umeme wa uhakika kwa ili ku- maintain hali ya hewa kwenye green house ukizingatia kua vikindu ni joto na green house zina joto?

naomba jibu mtaalam maana nlitaka kuagiza china ila nikagundua kua kwa hiyo kampuni niliyokua nawasiliana nayo ni lazima niwe na umeme wa uhakika ndo ntaweza kutumia hizo GH zao.sasa hizi zinazosemwa hapa nazo pia ni lazima umeme?
 
Yaani nikishaona mtu katika biashara zetu za kawaida anaingiza mawazo ya kina Adam Smith, Mara sijui return of investment, accounting rate of return na mengine kama hayo, huyo hata umpe 1,000,000,000 afanye biashara kesho yake tu anafilisika. Na kawaida watu hao wengi unawakuta ana MBA au amesomea "masomo ya biashara", anadhani biashara ni vitabu, kibongobongo wanaotoboa katika biashara hata Adam Smith hamjui wala Hana mpango wa kumjua milele! Muuzlie S.H. Amon kama anamjua Adam Smith!

Mkuu nakushauri ujaribu ku-revisit my posts na uzisome calmly - hapa tunabadirishana mawazo/ushauri/elimishana hatufanyi ushindani wowote. Kwa nini hujiulizi Mleta mada ambaye ni muhusika mkuu katoa "like" kwa yote niliyo toa ushauri? Ni kwamba anajua vizuri ninacho maanisha hapa, kwa kuwa ni mtu makini sana, sina shaka anatafakali vizuri maoni yetu na kuyafanyia kazi kwa kurekebisha hapa na pale kuepusha lawama ambazo zinaweza kujitokeza kutoka kwa wateja wao siku za usoni.

Narudia, mleta mada ni binadamu ambaye namfahamu kwa karibu - yuko level headed kweli kweli ndio maana uwezi kumuona hata siku moja ana-react like a drunken comet!!! Kasoma aliko zaliwa Adam Smith, anajua vizuri ninacho maanisha hapa, he can read between the lines na kurekebisha mambo faster.

Mkuu nakushauri kwa nia njema tu, jaribu kusoma vizuri post #39 ya ndugu UVUGIZI sina shaka itakupa mwanga zaidi kuhusu risks za ku-deal na perishable produce ambazo huna uhakika wa kupata soko la kuaminika, wewe tatizo lako ni nini!!! Kumtaja Adam Smith? Unawezaje kulinganisha risks za biashara ya nyanya na biashara ya Vipodozi??? Nimalizie kwa kusema kwamba hajarishi kama mfanya biashara ni mdogo/machinga au mkubwa, kaenda shule au ni la, wote hao wana wanafuata kanuni za Smith kwa njia moja au nyingine.
 
KWA NINI UWE MASKINI?

JE, UNGEPENDA KUVUNA NYANYA NYINGI KILA WIKI NA KUJIPATA KIPATO KIKUBWA KUPITIA KILIMO CHA GREEN HOUSE?

View attachment 165705

Team ya “AMKA NA BADILIKA” ya CONSNET GROUP ikishirikiana na wataalamu wa GREEN HOUSE katika maeneo ya joto AFFORDABLE GREENHOUSE kutoka Kenya wanapenda kukujulisha kuwa unaweza kujengewa GREEN HOUSE ya ukubwa wa Mita 8 kwa Mita 15 na kupanda mazao upendayo ya bustani kama Nyanya; Pilipili Hoho; Vitunguu; Bilinganya; Vitunguu; Matango nk ambayo yanaweza kukupatia zaidi ya tani zaidi ya 20 kwa Mwaka na kukuingizia kipato kikubwa.

Kujengewa GREEN HOUSE moja ya 8M X 15 M (Kutumia mirunda na mbao za dawa) ni TZS 5.0 Millions Tu na unajengewa katika kipindi cha wiki 2 pamoja na kupandiwa mazao. Pesa hiyo inahusisha mbegu za kisasa, mbolea, madawa, kupima udongo na maji maabara, tank la lita 1000, drip irrigation system, na mafunzo na kujengewa.

Kwa sasa zipo “KITS” za kutosha za Green House. Kama utapenda kujengewa Green House na bajeti iko tayari, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba: +255 755 285 023.

Waganga wa kienyeji bana? unaenda kwake akufanye uwe tajiri wakati yy hana kitu? y mstajirike wenywe kwanza tukaona?

mnaingiza watu chaka na biashara zenu
 
There is a doubting Thomas for everything on earth. Na ukitafuta sababu ya kutofanya jambo talikosa. Ningependa kukukaribisha kwangu shambani eneo la Nairobi ukaone production ya kila wiki kisha upate imani. 20tons in a year with proper management and with following agronomy instructions is quite conservative.

Mkuu Njuguna hakuna anaye bisha na uzuri wa horticulture zenu, after all Kenya mna uzoefu wa siku nyingi katika miradi hii,isitoshe mazao yenu mnauza huko Ulaya - ukienda kwenye Supermarket za huko unakuta bidhaa kutoka Kenya na South Africa, hatujui kama mazao hayo yanatoka kwenye FARMS za White farmers au Waswahili (Wafrica) wenzetu wa huko Kenya, tuwe wakweli hapa, wazungu wanaweka mikwala sana kwenye bidhaa za mboga mboga na matunda kutoka Africa, ndio maana wanakubali bidhaa za Kenya na South Africa kwa kuwa wanajua kuna wakulima wazungu wenzao huko.

Ndugu Njuguna na Ndugu Msimbe hebu tuhakikishie soko la kuaminika wa zao hili alafu uone wanachi watakavyo hamasika in droves, Ndugu Njuguna tuhakikishie kwamba mna uwezo wa kukodi cargo planes za kusafirisha Nyanya huko Ulaya, Middle East na Merikani na zikakubarika kununuliwa na hypermarkets za huko bila mikwala.
 
Nina hakika kila moja kwenye hao 28 angeweza kuinspire watu sita hadi nane kutoka kitongoji chake na katika hao nao wangehamasika na kuhamasisha watu wawili watatu kwenye mitaa yao na finaly kaya zote zingekuwa na mwamko wa aina moja, na tumaini jipya na moto ingekuwa...alaaah kumbe tunaweza!

Baada ya hilo tungeyatazama maisha katika angle tofauti,mind zetu zisingekuwa iddle tena kufikia kiwango cha kuanza kulaumu circumstances!

Jana nilisoma chapisho moja la kijana ninayeheshimu sana uwezo wake wa kuchanganua mambo na namna anavyowaza na kujenga hoja fikirishi Malisa Godlisten ...

Alitoa mfano wa namna wenzetu wanavyotumia advantage ya kutojitambua kwetu kwa kunufaika na ujinga wetu...DU NIMEIPENDA HYO STYLE
 
mkuu njuguna hakuna anaye bisha na uzuri wa horticulture zenu, after all kenya mna uzoefu wa siku nyingi katika miradi hii,isitoshe mazao yenu mnauza huko ulaya - ukienda kwenye supermarket za huko unakuta bidhaa kutoka kenya na south africa, hatujui kama mazao hayo yanatoka kwenye farms za white farmers au waswahili (wafrica) wenzetu wa huko kenya, tuwe wakweli hapa, wazungu wanaweka mikwala sana kwenye bidhaa za mboga mboga na matunda kutoka africa, ndio maana wanakubali bidhaa za kenya na south africa kwa kuwa wanajua kuna wakulima wazungu wenzao huko.

Ndugu njuguna na ndugu msimbe hebu tuhakikishie soko la kuaminika wa zao hili alafu uone wanachi watakavyo hamasika in droves, ndugu njuguna tuhakikishie kwamba mna uwezo wa kukodi cargo planes za kusafirisha nyanya huko ulaya, middle east na merikani na zikakubarika kununuliwa na hypermarkets za huko bila mikwala.

hlo nalo neno,huku tz hakuna masoko ya hakika
 
Waganga wa kienyeji bana? unaenda kwake akufanye uwe tajiri wakati yy hana kitu? y mstajirike wenywe kwanza tukaona?

mnaingiza watu chaka na biashara zenu
Tatizo letu siasa imetuathiri, ingia kwenye youtube search kilimo biashara utaniambia ni uongo au ni nafasi yako kuachana na umaskini wa kujitakia
 
Mkuu Njuguna hakuna anaye bisha na uzuri wa horticulture zenu, after all Kenya mna uzoefu wa siku nyingi katika miradi hii,isitoshe mazao yenu mnauza huko Ulaya - ukienda kwenye Supermarket za huko unakuta bidhaa kutoka Kenya na South Africa, hatujui kama mazao hayo yanatoka kwenye FARMS za White farmers au Waswahili (Wafrica) wenzetu wa huko Kenya, tuwe wakweli hapa, wazungu wanaweka mikwala sana kwenye bidhaa za mboga mboga na matunda kutoka Africa, ndio maana wanakubali bidhaa za Kenya na South Africa kwa kuwa wanajua kuna wakulima wazungu wenzao huko.

Ndugu Njuguna na Ndugu Msimbe hebu tuhakikishie soko la kuaminika wa zao hili alafu uone wanachi watakavyo hamasika in droves, Ndugu Njuguna tuhakikishie kwamba mna uwezo wa kukodi cargo planes za kusafirisha Nyanya huko Ulaya, Middle East na Merikani na zikakubarika kununuliwa na hypermarkets za huko bila mikwala.
Ondoa shaka mkuu, soko la africa mashariki bado hatujalimudu, biashara hiyo bado inaweza kukutoa katika level ya soko la ndani, ninafahamu wakulima wanaondesha maisha ya kitajiri kwa kilimo cha matikiti na hoho kwa kutegemea tu soko la ndani, watoto wanasomo international school sio english media school.
 
nlikua natafuta sana fursa hii ya green house.nina eneo langu vikindu sitaki liendelee kuwa wazi bila kuzalisha kitu.
hamna maji ila nta drill alaf ntakua nayapampu na generator.

swali langu ni kwamba hiv ni lazma kuwe na umeme wa uhakika kwa ili ku- maintain hali ya hewa kwenye green house ukizingatia kua vikindu ni joto na green house zina joto?

naomba jibu mtaalam maana nlitaka kuagiza china ila nikagundua kua kwa hiyo kampuni niliyokua nawasiliana nayo ni lazima niwe na umeme wa uhakika ndo ntaweza kutumia hizo GH zao.sasa hizi zinazosemwa hapa nazo pia ni lazima umeme?

Kaka, kwa greenhouse ambayo imejengwa kwa small scale farming hauhitajiki kuwa na umeme ili kucontrol hali ya joto. Kulingana na mahali unapotaka kulima, tunajenga greenhouse ambazo kwa sides ziko na ventilation 70%. Hii inahakikisha kwamba kuna flow ya hewa from one side to the other, na kiwango cha joto kinakuwa chini. Kama sehemu yako ina baridi, tunajenga nymbaa ikiwa na curtain ili wakati wa baridi unafunga curtain ili nyumba isipoteze joto.
Kwa sehemu za joto kali kama vile pwani, tunaweza kutumia curtain-net nyeusi ambayo inakupa kivuli ndani ya greenhouse yako na hivyo mimea yako itastawi.
 
You will be surprised by the number of local farmers who are producing for the export market in Kenya. However, even without looking at the export market (you need serious volumes for you to be a serious player in the export market), there is a lot of demand for tomatoes, hohos, cucumber, eggplants etc in our local supermarkets, boarding schools, colleges and universities and as long as you are a reliable supplier then there is a ready market for your produce.
 
Tatizo letu siasa imetuathiri, ingia kwenye youtube search kilimo biashara utaniambia ni uongo au ni nafasi yako kuachana na umaskini wa kujitakia

Kiukwel kuchange mind set ya wabongo kuhusu kilimo biashara Au kilimo in general t will take a century......
People are so reserved hawatak kuthink beyond.... Wao kuwa employed Ndo ndoto zao kuuubwaaa.... Ni Shida sna Kwa kweli...
 
Nimeupata ushauri wako, ni mzuri. Umefikia wapi na greenhouse yako baada ya kumtembelea huyo jamaa?

nasubiri picha mkuu, ninakauchochoro ka hatua 30x15 nikifanyie kazi, si umesema 5x8 unapata 600,000/= kwa mwezi!
 
Back
Top Bottom