Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
-
- #181
Ile mashine ya kutengenezea mkaa uliyonielekeza jinsi ya kuitengeneza mwenyewe, imeniwezesha kuweza kuzalisha gunia kubwa tatu za mkaa na nimefanikiwa kupata tenda ya kusambaza mkaa kwenye shule ya sekondari moja hapa mjini Morogoro. Nimefurahi sana kaka
Ile mashine ya kutengenezea mkaa uliyonielekeza jinsi ya kuitengeneza mwenyewe, imeniwezesha kuweza kuzalisha gunia kubwa tatu za mkaa na nimefanikiwa kupata tenda ya kusambaza mkaa kwenye shule ya sekondari moja hapa mjini Morogoro. Nimefurahi sana kaka
Nafurahi kusikia hivyo.
mkuu za asubuhi,nimesoma na kusikiliza cd kiukweli zipo very clear naomba nisaidie mambo machache:
1. kwa uziefu wako hili soko la maua hapa dar lipo wap,na mbegu unazipata wap?
2.bado cna mashine ila nataka kuanza kutengeneza mkaa kwa mkono huku nikingojea mashine,je kwa mikono tu inawezekama kutengeneza gunia 2?
habari kaka,samahani na mm ni mdau katk hii project ila ndo kwanza naanza baada ya kununua zioe dvd kwa mfanyabiashara 2000 naomba kujua expiriece yako.je hii mashine ya kutengeneza mwenyewe inakuaje?
nashukuru mkuu nimekuelewa sana,jana niliandaa mkaa kidogo wa sampo kwa majaribio kwa kutumia mkono..1. Kuna makampuni ambao wanazalisha mbegu za maua ambao ni Multiflower Ltd 027 2504214 na 027 250 8242 na Kibo seeds Ltd 027 250 8179 Soko la maua kwa hapa Dar liko maeneo ya pale namanga kuna watu wanauza maua pia wananunua maua.
2. Inategemea na spidi ya mkono wako. Unaweza tengeneza gunia 1 kwa siku mwingine akatengeneza 2 kwa siku. Ila kwa uzoefu mara nyingi inakuwa gunia 1 mpaka 2. Ila kama ulivyoona yule mama kwenye video anatumia mashine ya mkono unaweza tengenezaa yako kama vile na ukazalisha hadi gunia 3 kutegemea na unavyozungusha mkono wako. Pia si lazima wewe ndo uwe unazungusha mashine, unaweza ajiri kijana. Kama huna uwezo wa kutengeneza mashine kama ile, unaweza ajiri hata vijana 10 na kama kila mmoja akazalisha gunia moja tu kwa siku kwa mkono utapata gunia 10 kwa siku. Utakuwa umemzidi hata yule anayetumia mashine.
Mdau Biashara2000 aliponitumia ile DVD akanielekeza pia jinsi ya kutengeneza ile mashine. Maana nilianza mradi wangu kwa mkono tu kama utani nikatengeneza sampo kadhaa za mkaa nikampa rafiki yangu mkaanga chipsi akaujaribu
akaupenda. Akaniambia nimpelekee mwingi sasa ndio nikaamua kufanya mradi seriously. Nikaamua kumpigia Biashara2000 ambaye akanielekeza jinsi ya kuitengeneza. Nilipoitengeneza na kuanza uzalishaji nikaendelea kutafuta soko na ikabibi nitengeneze nyingine 2. Kwa sasa ninazo 3 na ninazalisha gunia 9 kwa siku na nina wafanyakazi 4. Watatu wa ku operate ashine na mmoja wa ku process raw material.
Kama ulinunua mafunzo kutoka kwa mdau nadhani atakuwa ashakuelekeza jinsi ya kutengeneza mashine yako mwenyewe kama alivyosema kwa sh. 75,000. Ukiamua unaweza fanya mradi bila wasiwasi maana soko lipo la kutosha mitaani kwetu.
nashukuru mkuu nimekuelewa sana,jana niliandaa mkaa kidogo wa sampo kwa majaribio kwa kutumia mkono..
Hiyo safi. Sasa baada ya kuwa tayari unaweza ujaribu kupikia au ukajaribu kuwaonyesha wakaanga chipsi au majirani nao waujaribu maana wao ndo watakuwa wateja wako wa kwanza. Hakikisha tu umekauka vizuri mpaka ndani.
mkuu naomba namba yako nikupigie saivi na mm ndo nafanya sample ya pili hapa ya kwanza leo ndo nitaitoaMimi nakumbuka wakati nikihangaika katika kupata kipato cha kuniwezesha kujikimu kwa siku. Nilikuwa napata shida ya kupata hela ya kula, malazi yaani kodi na mavazi. Yaani ilikuwa shida sana. Hali ngumu kimaisha na kikipato. Nilikuwa naingia internet cafe kama njia ya kujaribu kuondoa mawazo. Bahati nzuri nilikutana na hii posti ambapo ilinihamasisha kuamua kuachana na shida na umaskini. Kwa kuwa jamaa alisema naweza kuanza hata nikiwa na mtaji wa sh 5,000, mimi nilianza na sh. 3200 nakumbuka kabisa. Nikaendelea hivyo hivyo hadi sasa ni miezi 4 sasa imeshapita tokea nianzishe biashara yangu. Ni ya wastani na inaniwezesha kujikimu kimaisha na siishi kwa hofu na kubangaiza tena kama zamani. Mi nakushukuru bw 2000.
mkuu naomba namba yako nikupigie saivi na mm ndo nafanya sample ya pili hapa ya kwanza leo ndo nitaitoa
Hiyo safi. Sasa baada ya kuwa tayari unaweza ujaribu kupikia au ukajaribu kuwaonyesha wakaanga chipsi au majirani nao waujaribu maana wao ndo watakuwa wateja wako wa kwanza. Hakikisha tu umekauka vizuri mpaka ndani.
ntaku pm namba yangu
Jaman mimi niko arusha naelekezwa vip kuhuusu kutengeneza huo mkaa?au kama ni cd. Inauzwa naipataje?
Ile mashine ya kutengenezea mkaa uliyonielekeza jinsi ya kuitengeneza mwenyewe, imeniwezesha kuweza kuzalisha gunia kubwa tatu za mkaa na nimefanikiwa kupata tenda ya kusambaza mkaa kwenye shule ya sekondari moja hapa mjini Morogoro. Nimefurahi sana kaka
Habari.
Wiki iliyopita nilitangaza humu JF kuwa nauza moja ya mashine zangu za kutengeneza mkaa wa kisasa sababu ikiwa ni kuongeza mashine kubwa kwa ajili ya kuongeza uzalishaji. Baada ya siku chache nikafanikiwa kuiuza. Nashukuruni kwa watu wote mlioniandikia msg. Karibu wote wameniandikia wakiniomba niwaelekeze jinsi mkaa huo unavyotengenezwa. Kuna wengine wao wameniomba waje watembelee mradi waone hiyo mashine nimewapa namba yangu. Na kuna wengine wameniomba niwaeleze jinsi ya kutengeneza mkaa huu bila kutumia mashine kwa kuwa hawawezi ku afford kununua mashine hizi.
Inawezekana kutengeneza mkaa huu nyumbani kwako kama una eneo la kutosha bila kuwa na mashine. Ila utahitaji pipa au mdoo ya bati. Naweza kutoa mafunzo kwa watu wanaotaka. Gharama yake ni sh. 45,000/=. Mafunzo haya ni kwa mkazi anayeishi Dar. Kutengeneza bila kutumia mashine utakuwa unatengeneza gunia 1 - 2 au zaidi kwa siku kutegemeana na spidi ya mikono yako. So kwa kuweka investment ya 45000/=, ndani ya siku 2 za uzalishaji utakuwa usharudisha investment yako (kama utakuwa unatengeneza gunia 2). Namba yangu ni 0758 308193.
Asanteni