Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Status
Not open for further replies.

Wewe unatumia ratio ya 1 kwa 10 ndio maana inakuwa hivuo. Tumia ratio ya 5 kwa 10 itafaa. Ratio ya 1 kwa 10 inatumiwa na wenye mashine na ratio ya 5 kw 10 inatumiwa na wale wanaotengeneza mkaa kwa mkono. Jaribu hivyo utaona mamboo yanakuwa mazuri
 
Yani mimi nimeshafanya jaribio la kutengeneza kwa mkono na pia kwa machine ndogo iliyokuwa modified. Nshampa mrejesho mkufunzi
Mna onajeTulioko Arusha tutafutane tupeane mawazo kwa pamoja.
 

Kama bw biashara2000 alivyosema tumia ratio ya 5 kwa 10. Mimi natumia ya 6 kwa 10 maaa wakati naanza nilikuwa natumia ya 1 kwa 10 na nilikuwa natengeneza mkaa kwa mkono mkaa ukawa unatoka kama huo wa kwako. Nikampigia jamaa akaniambia kwa kuwa natumia mkono nijaribu ratio ya 5 kwa 10 nikaitumia nikaona mabadiliko. Ila wa sasa naendelea na 1 kwa 10 kwa kuwa sasa natumia mashine
 

Nisaidie hiyo ratio ya 5 kwa 10 ndo nn sijaelewa kama
 
Yani mimi nimeshafanya jaribio la kutengeneza kwa mkono na pia kwa machine ndogo iliyokuwa modified. Nshampa mrejesho mkufunzi
Mna onajeTulioko Arusha tutafutane tupeane mawazo kwa pamoja.

Mimi niko arusha mwana ally namba yangu 0769934707 mimi. Ndo nimejaaribu leo kidogo nasubir ukauke niujaribshe kwa matumiz ya nyumban then ndo nianze kufanya biashara rasm ukikubali
 
jamani nawatamani sana mliokwishafanikiwa kutengeneza mkaa wa kisasa,niliongea pia kwa cm na bwan 2000 amenipa maelekezo na kuna mahali yaonekana nilikosea kwenye raw materials na hiyo ratio ksho ntaandaa sample nyingne kwa maelekezo hayo nione outcome.watu wa dar mliokwishafanya na kufanikiwa kama mpo naomba unicol 0758861487 kwq msaada zaidi na kubadilishana mawazo.
 

Mkaa wako ukishakuwa tayari na kuujaribu usisite ku share nasi maendeleo yako
 
Mkaa wako ukishakuwa tayari na kuujaribu usisite ku share nasi maendeleo yako

am happy leo nimekutana na bwn dany wa kijtonyama nimetembelea project site yake and i learnt a lot and we exchanged diff ideas kuhusu ujasiriamali esp kwenye mkaa
 
am happy leo nimekutana na bwn dany wa kijtonyama nimetembelea project site yake and i learnt a lot and we exchanged diff ideas kuhusu ujasiriamali esp kwenye mkaa

Mkuu leo jioni mtu wa pili kanirejeshea taarifa baada ya kumpa akautest, kapika maharage na yameiva. Wa kwanza juzi aliivisha makande. Sasa imekuwa ni gumzo hapa mtani. Wanapanga wenyewe beiii tena abayo sikuitzamia

Nashukuru pia kwa kutmbelea karakana yangu kwa kuwa umenibariki. Asante kwa mawazo jengefu, pamoja tutaweza
 

Kwa sasa wewe panga bei ya chini kabisa kwa wateja wako ambayo pia hata wewe utapata faida ili uwavutie then hata uko baadae ukipandisha kidogo bado utakuwa unawapa unafuu wa bei ukilinganisha na bei wanayotumia kununulia mkaa huu wa kawaida mtaani. Sasa hivi ukiweka tu business plan yako vizuri utashangaa hata kama umeajiriwa mahali utajikuta unaacha maana utaona kama hupati kipato cha kutosha vile huko ulikoajiriwa
 

Mimi nilishagombana na shangazi yangu hivi hivi kimasihara tu. Yeye ananunua na kuuza huu mkaa wa kawaida sasa siku mi nikaweka kituo changu cha usambazaji karibu na pale yeye anapouzia. Basi watu wakawa haendi pale kwake wanakuja kwangu kutokana na bei niliyoweka. Shangazi yeye alikuwa anauza ile ndoo ya lita 20 iliyojaa mkaa kwa sh elfu saba ila mimi ujazo ule ule nilikuwa nauza kwa sh 2000. So ila baadae nilielewana nae jinsi ya kufanya mambo na sasa tunashirikiana vizuri.
 
Sasa mbona huyu mkuu mr biashara2000 hapokei sim?naona ananichelewesha kujua kwakwel nahitaji sana kujifunza !!
 
Vuta subira. Huwa haachi kupokea simu huyu jamaa yuko poa sana..na utapata msaada na,maelekezo ya kutosha
 
Wakati mimi naanza mradi wangu wa kutengeneza mkaa wa kisasa, niliamua kuweka kando kwa muda shughuli niliyokuwa nafanya ya kuzunguja maofisini kutafuta kazi kutwa nzima. Nikawaeleza rafiki zangu kuwa naanza kutengeneza mkaa. Rafiki zangu walinicheka eti wakisema inakuwaje mhitimu wa chuo cha mzumbe atengeneze mkaa badala ya kufanya kazi za ofisi?

Nikashauriwa na wazee na wanajamii wanaonizunguka kuwa nisisikile mtu ila nifanye maendeleo. Maisha bidhaa juu. Nikaamua kuanza kutokana na mafunzo ya ile ebook. Kwa sasa ninauwezo wa kuzalisha gunia 4 kwa sikuna nimeweka vijana 4 kila kijana anatengeneza gunia 1 kwa siku. Kwa bei ya sasa gunia ni sh. 43,000 wa mkaa wa kawaida ila mimi nuza kwa sh. 35,000 hivyo natengeneza sh 140,000 kwa siku. Na nilianza na mtaji wa sh 11,800. Ukitoa gharama ya uzalishaji ambayo ni sh 4,600 kwa kila gunia faida inakuwa 121600
 
Pia nishaupikia..jamani ni mzuri sana

Mkuu tusonge mbele daima. Alhamisi ilopita mkuu Lotti Mmasai likuja kunitembelea. Tumepanga pia kutembelea na wadau engine ili kuimarisha ushirikiano na kubadilishana uzoefu katika kuboresha izalishaji. Mimi kwa sasa nimetengeneza oven kubwa ya kukaushia mkaa maana hali ya hewa siku hizi si rafiki saana. Karibu Dar nasi pia tutakuja Moro mkuu. Ujapo ni pm kwanza nasi tutaku pm kabla ya kuja huko
 

Mkuu hongera sana kwa hatua hiyo..kama alivosema mbepo cc tumekua tukitembeleana na kubadilishana uzoefu.na tunahitaji kuendelea kupeana moyo na namna ya kukabiliana na changamoto kama ukiwa na tym tuambie tukutembelee moro.mm binafsi bado napambana,bado cjafanikwa kutoa kitu ambacho kwanza nyumbani wenyewe hapa waukubali then majirani alafu ndo nianze kuingiza sokoni.ila hali ya hewa nayo kwasaivi cyo rafiki sana huku
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…