Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
- #201
Jamani naskia happy sana navosikia wenzangu mnafanikiwa kweny kutengeneza mkaa tafadhali na mm nisaidieni bado cjafanikiwa leo nimetest sample ya pili bado naona ina mapungufu cjajua nakosea wapi.maana kama ni kufata process nilifata process zote kama ninavoelekezwa ktk cd.tatizo ni kuwa:
1.unawaka muda mfupi then unaisha(unamomonyoka na kua jivu)
2.hauwaki kwa ukali
NB.Bado cjaanza kutumia mashine natumia mkono kuutafuta kwanza samplevambayo ipo best.
Naomba mnisaidie jamani maana kuna shule nlishaongea nao wakanambia niwapelekee sample ila sasa bado sifanikiwi kupata mkaa mzuri mpaka wataniona mm msanii.naomba mnisaidie uzoefu wenu mliokwisha fanikiwa au kama niende moja kwa moja kweny mashine basi na mm nitengeneze mashine
Wewe unatumia ratio ya 1 kwa 10 ndio maana inakuwa hivuo. Tumia ratio ya 5 kwa 10 itafaa. Ratio ya 1 kwa 10 inatumiwa na wenye mashine na ratio ya 5 kw 10 inatumiwa na wale wanaotengeneza mkaa kwa mkono. Jaribu hivyo utaona mamboo yanakuwa mazuri