Mkuu Biashara kwa kuwa Topic yako ya green katika video hatuwezi tena kukomenti pale naomba niulize swali la green house hapaKuna teknolojia nyingine nimeisoma mahali inahusu AGRO NET ambayo ni bei nafuu kuliko hata green houseJe hii wewe unaizungumziaje kama unajua tafadhali isije kuwa rahisi huumiza maana MAELEZO KIDOGO YAKO HIVIKampuni ni BrazAfric Enterprise (T) Ltd ...1. Kuna net za aina mbile (a) Tomato, pilipili hoho etc family matundu yake yana upana wa 0.4mm X 0.7mm - urefu wake ni mita 30 na upana ni mita 5.5 (165SQM) bei TShs. 285,000/- (Ex-warehouse Arusha). (b) Vegetable net ambapo matundu yake ni 0.7mm X 0.9mm - kwa ajili ya cabbage na mboga zinginezo zenye kuchanua majani - urefu wake ni mita 30 na upana wake ni mita 5.5 (165SQM) bei TShs. 260,000 (Ex-warehouse Arusha).2. Net hizi zinadumu kwa muda wa miaka mitatu3. Net hizi zinapunguza kwa kiasi kikubwa utumiaji wa madawa ya kuua wadudu na inaboresha afya ya mlaji.4. Ukuaji wa zao lako mara tatu zaidi (kwa muda mfupi)