Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
- #321
Ambaye yuko mkoani sasa inawezekana kutumiwa kitabu katika mfumo wa paperback yaani kikiwa kimeshaprintiwa tayari. Kinasafirishwa kwa basi. Bei yake itakuwa sh 20,000. Kwa wale wanaopendelea kutumiwa kwa email bei ni ile ile sh. 10,000