Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Status
Not open for further replies.
Bwana mpebo yamba naomba kama itawezekana namba ako ya simu,,,, na mm npo dar ,, nia ni kubadilishana mawazooo
 
watu wale ambao mko dar, tembeleeni hayo maonyesho ya vicoba hapo karimjee hall mjionee wenyewe matunda ya mafunzo haya ya jinsi ya kutengeneza mkaa muone jinsi gani haya mambo yalivyokuwa yamependwa na watu wengi. Watu wengi sasa hivi wana miradi yao ya utengenezaji mkaa wa kisasa na ushahidi huo hapo. Tembeleeni hayo maonyesho mjionee wenyewe
 
mkuu namba yangu ni 0759064886 au 0654047387. twendeni tukamate fursa
 
Mbepo hongera sana mkuu. nikumbuke ombi langu..nimekutumia sms kwenye namba yako
 
dah! mkuu wewe ni mentor wangu, njoo kaka tena ntashukuru sana. najua ntaongeza experience kwa kazi yangu mkuu biashara. ntakupa maelezo ya banda langu ufike bila taabu.
 
dah! mkuu wewe ni mentor wangu, njoo kaka tena ntashukuru sana. najua ntaongeza experience kwa kazi yangu mkuu biashara. ntakupa maelezo ya banda langu ufike bila taabu.

Haina noma ntashukuru sana. Pia ukishanitumia pia unaweza weka hapa maelekezo hayo ili hata kama kuna mtu angependa aje akuone katika banda lako aweze kuja kukutembelea kwenye hayo maonyesho
 
Haina noma ntashukuru sana. Pia ukishanitumia pia unaweza weka hapa maelekezo hayo ili hata kama kuna mtu angependa aje akuone katika banda lako aweze kuja kukutembelea kwenye hayo maonyesho

sawa ntafanya hivyo ila nanyi mje kwa kuiacknowledge jf ili niwatambue.
 
Ndugu wana jf ningependa kwa wale wote wanaoishi MBEYA ingekua vyema kama tukitafutana ili tuweze kujazana ma experience kwenye hizi mambo, natamani sana ushirikiano wa wenzetu akina Mbepo Yamba n.k. n.k.

.made in mby city.
 
mkuu natamani ningekuwepo huko mbeya, ni nyumbani. dah! umenikumbusha mapambano jirani na soko la maendeleo ndo familia yangu ilipo. meta ni shule yngu o-level.............. Alot of feelings. Okey, hamjachelewa kufanya ushirikiano. Mwezi novemba panapo majaliwa ntakuja ntakutafuta mkuu Nicholax
 
Wenzangu mliopo Arusha Moshi tutafutane na sisi tuone tunatokaje hapa tulipo..
 
tuliopo iringa jaman tutaftane kwenye pm maana napenda kuongeza experience zaidi katka kutengeneza huu mkaa wa kisasa
 
asante wanajf, asante mkuu biashara kwa kuja, zaidi asante Mungu kwa fursa
 
Kwa wale wanaofikiria kuomba mikopo benki au shirika lolote linalotoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo, mimi ninaandika project proposals kwa ajili ya kuombea mkopo kwa ajili ya mradi wako wa mkaa. Proposal hii inakuwa na maelezo yotekuanzia mchanganuo wa mkopo wenyewe, jinsi ya kuuomba, kuwashawishi, utekelezaji wake, urudishwaji wa mkopo nk.

Document hii nakuandikia kwa sh. 60,000 na inakuwezesha kuingia nayo sehemu yoyote wanapotoa mikopo na wakakupa kutegemea na masharti ya hiyo sehem unayoombea mkopo. Kwa ambaye anampango huo asisite kuwasiliana nami..
 
mbepo myamba hongera sana nataman sana kufika hapo sema muda umebana ila ntajitahidi kadri niwezavyo nikipata chance nije

Mkuu karibu sana. kuna jamaa jana alinunua karibu mkaa wote kaenda kujaribu jana hiyo na leo kaagiza tena. nadhani ameupenda. jana alinunua pc mia moja na hamsini
 
Jana kuna jamaa alikwenda kumuona mbepo yamba pale kwenye maonesho na kusema yeye ni Biashara2000. Hakumtapeli ila tu watu kuweni makini na watu watakaowatapeli kupitia jina langu. Nikitaka kukutana au kufanya chochote na mtu yeyote ntampigia kwanza kwa simu kwa namba yangu ndio baadae tutakutana. Kuweni makini jamani.
 
Asanteni tena wote, nawashukuru hata yule aliyekuja na kujiita ni Biashara2000 maana kwa kweli alikuwa positive sana. amenipa mawazo mazuri ya kuboresha mkaa na hususani packing na marketing. Kuna mwingine mwnajf pia niliwasilia naye kabla na kaja kunitembelea ila hajanipa jina lake la humu. otherwise maonyesho kwa kwel yamefungua ukurasa mpya na yamenipa ari zaidi kusonga mbele. Mkuu Biashara uliniomba niweke picha hapa ila kamchina kangu hakana option ya kuattach
 
Watu wengine bwana...kwani aliona shida gani kujitambulisha kwa jina lake la kawaida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom