mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
wakuu asante sana kwa michango ya mawazo inayotoka hapa ili kufanikisha kuupata mkaa bora. natamani sana kupata hizo mashine umetaja hapo juu. je ninapata wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu naomba maelezo ya jinsi ya kuitengeneza hii plz
wakuu leo nadeclare wazi kuw mkaa bora na unaodumu usio na chembe ya moshi nimetengeneza, thanx again guys wote. mkuu lotti pamoja sana
Hahahaaa. Kweli kabisa kaka
Share i hata picha ya mkaa wako
safi sana mbepo ksho ntakucol na nikipata wasaa naezq pitia hapo nikuchek mkuuHahahaaa. Kweli kabisa kaka
mtaji 5,000/=
Kipato kwa siku 30,000/=
Kipato kwa mwezi 30,000 x 30 = 900,000/=
Gharama za malighafi.......?????
Upatikanaji wa malighafi......?????
Mkaa wa kisasa au mkaa mbadala?
Asante kwa teknolojia mupya mukuu!
kwa mfano hapa dsm tulioweza kutambuana na kukutanatupo wawili mimi na mbepo myamba yy yupo knyama mm npo tbt so whenever tunapotembeleana tunashare uzoefu, namna ya kupata mkaa bora,masoko,kupeana moyo na mengneyo.Mthalan saivi mimi nina soko wanataka sample ila kwa vile production yangu bado haikua nzuri na yy tayari mkaa wake ni mzuri tumekubaliana tuchukue sample yake tupeleleke ili tusikose hilo soko.so tunashirikiana kwa nna hizoWale ambao mmeamua kujiunga na kubadilishana experience, kama mtu anaamua kujiunga nanyi hebu tueleze huwa mkikutana inakuwaje?
kwa mfano hapa dsm tulioweza kutambuana na kukutanatupo wawili mimi na mbepo myamba yy yupo knyama mm npo tbt so whenever tunapotembeleana tunashare uzoefu, namna ya kupata mkaa bora,masoko,kupeana moyo na mengneyo.Mthalan saivi mimi nina soko wanataka sample ila kwa vile production yangu bado haikua nzuri na yy tayari mkaa wake ni mzuri tumekubaliana tuchukue sample yake tupeleleke ili tusikose hilo soko.so tunashirikiana kwa nna hizo
Tukiungana itakua vizuri zaidi mkuukwa hiyo mtu yeyote mwenye mradi ambaye yuko dar anaweza kujiunga nanyi?
Tukiungana itakua vizuri zaidi mkuu
Tukiungana itakua vizuri zaidi mkuu