Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Status
Not open for further replies.
TANGAZO: Sasa unaweza pata mafunzo haya katika mfumo wa video ambayo inakufundisha jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia mkono na mashine. Badala ya kununua kitabu na kukisoma, sasa unaweza nunua DVD video ambayo imewekwa katika mfumo ambao unaweza tumiwa katika email yako nawe kuweka kwenye CD/DVD. Bei ni ile ile ya kitabu sh. 10,000. Video hii ina mafunzo mengi zaidi ya kitabu.
 

Hiyo itakuwa rahisi zaidi ya kusoma kwenye kitabu
 

Kutokna na mafunzo yako uliyonitumia nimeweza kutengeneza mashine yangu ya kuengeneza mkaa kwa sh. 45,000 badala ya kununua mshine kwa sh 200,000. Na uzalishaji wake uko kiwango sawasawa tu.
 
Hv wakuu kwa mtu anayetumia machine kuzalisha huu mkaa anaweza kuzalisha gunia ngapi kwa siku? Na kwa sasa bei ya gunia ya hii kitu ni sh ngapi?
 
Biashara2000 kwanza hongera sana maana pia hii idea inatunza mazingira kwa kiwango fulan.

Vp naweza kutuma hiyo 10,000 nipate kitabu au ni mechelewa?

Na je namna ya kutengeneza machine imeelezwa ndani ya kitabu?
 
Biashara2000 kwanza hongera sana maana pia hii idea inatunza mazingira kwa kiwango fulan.

Vp naweza kutuma hiyo 10,000 nipate kitabu au ni mechelewa?

Na je namna ya kutengeneza machine imeelezwa ndani ya kitabu?

Asante kw2a hongera zako. Kwa 10,000 unapata kitabu na dvd inayoonyesha step by step yaliyoandikwa kwenye kitabu. Na pia inakuonyesha jinsi ya kutengeneza mashine itakayokuwezesha kuzalisha gunia 2 kwa siku. Utaitengeneza mashine hii kw ash. 75,000 badala ya kununua mashine kw ash. 250,000
 
Hv wakuu kwa mtu anayetumia machine kuzalisha huu mkaa anaweza kuzalisha gunia ngapi kwa siku? Na kwa sasa bei ya gunia ya hii kitu ni sh ngapi?


Inategemea unatumia gani. Kuna mashine inazalisha gunia 2 nyingine 8 nyingine 16 nyingine 25 kwa siku, hivyo inategea wewe mwenyewe. Mkaa kwa sasa dar lile gunia kubwa ni sh. 48,000.

Gharama utakayotumia kutengeneza gunia hilo kwa kutumia teknolojia hii ya kisasa ni sh. 3,500 tu so hapo utajipangia tu mwenyewe bei ya kuuzia
 
Asante nina shukuru nimetuma hela na nimepata material sasa ngoja hang over ikiisha niyapitie ili niyafanyie kazi then mtaleta mrejesho. Hongera mkuu.

Alfred Kohi.
0764800989
 
OFA: Kawnza nashukuru kwa wale wote waliojifunza haya mafunzo ya mkaa kutoka katika DVD nilizowatumia. Kutokana na umuhimu huu nimeamua kutoa ofa ya DVD ya ziada kama ofa bure utakapo nunua DVD ya mkaa au greenhouse. Dvd hii ya ofa inafundisha hatua kwa hatua jinsi ya kulima kilimo cha kisasa cha maua. Na hii huhitaji hata kuwa na greenhouse. Na unaweza anza na kwa mtaji usiozidi laki moja na unapata faida kubwa baada ya miezi 3 tu.

Katika kilimo chako utapanda miche 150 kwa square metre sasa itategemea eneo lako lina ukubwa gani. Mche mmoja utauuza kwa sh. 6 hivyo kwa sq metre unatengeneza sh. 900. Mfano kama una shamba la ekari 1 utapata miche 735000 ambapo ukiiuza utapata sh. 4,410,000. Na hii ni baada ya siku 75 - 90 tokea umeipanda. Pia utajifunza technique ya upandaji itakayokuwezesha kuweza kuvuna mara 2 kwa wiki kwa mwaka mzima. Hivyo piga hesabu utapata sh. ngapi kwa mwaka. Soko la maua lipo sana.
 

Hiyo ofa ya dvd ya kilimo cha maua inatamanisha
 

Hebu tuelezee zaidi kuhusu hicho kilimo cha maua
 
Napenda kupata dvd ya green and ya mkaa, ila naishi entebbe uganda so nijulishe nawezaje kuzipata and jinsi nitakavyoweza kutuma malipo
 
Tatzo letu kubwa ni mtaji ila kilimo ya maua ni nzuri mno

Wala huhitaji mtaji mkubwa kwa kuwa hii haihitaji ujenge greenhouse. Unachohitaji ni sh 100,000, eneo la kulima na maji
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…