Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Na mashine zinauzwa wapi za kutengenezea mkaa na sh ngapi ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari
Hii ni kwa wale wote walioko mbali ya Dar na Kibaha. Watu wengi walioko mikoani wameenipigia wakiniuliza kama wanaweza pata material ambayo naweza watumia wakajifunza na kuanza kutengeneza mkaa right away maana wako so interested. Basi nimeona niwasikilize kilio chao.
Kuna kitabu ambacho nimekiandaa kina mafunzo haya ya kutengeneza mkaa wa kisasa kwa ajili ya wale wote walioko mbali ya Dar na Kibaha. Kitabu hiki kinakufundisha kuanza mradi wa kutengeneza mkaa kwa mkono ukiwa na mtaji wa shilingi 5000 tu na kipato chako kikawa sh. 30,000 kwa siku na pia kina mafunzo na picha za jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia mashine iwapo una mpango wa kununua mashine soon.
Wanaohitaji kitabu hiki wawasiliane na mimi kwa 0758 308193 na kinauzwa kwa sh. 10,000 tu. Kifupi ni kuwa una invest sh. 10,000 ya kitabu na unaandaa mtaji wa sh. 5000 tu unaanza biashara ya kutengeneza mkaa ambayo itakuwezesha kutengeneza sh 30,000 kila siku. Dili zur hilo!
Asanteni kwa support yenu.
Hebu tueleze information zilizoko kwenye hicho kitabu ili tuweze kukinunua
Ni mkaa wa makaratasi nini ambao huwaka haraka na kuisha haraka?kama ni huo hapana taka,pls tujuze r/materials zake ili tudiegest kwanza tuje pata kozi
Tatizo ndugu yetu nawe umelenga masrahi zaidi kuliko kueneza elimu.
mathalani ningeomba kwa wadau wanieleke jinsi ya kutengeneza juice ya nanasi yenye quality nzuri kwajl ya kuuza, wangejtokeza wengi sana kwa ushauri na elimu nzuri ajabu!
lakn ww ujuzi wako umeuleta kwetu dili kwa upande wako yaan ni kama unafanya tangazo la biashara.
Taja angalau raw materials ndg! I.e ukitaka kuwa daktari raw materials ni kuattempt+achieve pcb!
Ishu sio maslahi. Ishu hapa ni elimu ndo maana kwa kutambua umuhimu wa kusaidia wengine wasio na kitu nikaamua kufanya mafunzo haya kwa bei rahisi. Mafunzo haya yanatolewa kwa sh. 300,000 unaponunua mashine hizi za mkaa. Mimi nayatoa kwa sh 45,000 au kununua kitabu kwa sh 10,000. Sasa huoni hata wewe hunifanyii haki. Na ukizingatia ni kiasi gani cha pesa utakitengeneza baada ya haya mafunzo mimi naona hizi bei ni sahihi kabisa.
'sasa hela sio tatizo mkuu ila tatizo hizo pesa kurudi aidha kama hakuna material sehem ninayokaa itakuwaje kiongozi...?'
jamani, hicho kitabu kinapatikana duka gani? mbona maelezo nusunusu!
2ambie bac ndani ya kitabu umeona nn?ili na cc 2kanunue?