Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Status
Not open for further replies.
Na mashine zinauzwa wapi za kutengenezea mkaa na sh ngapi ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Habari

Hii ni kwa wale wote walioko mbali ya Dar na Kibaha. Watu wengi walioko mikoani wameenipigia wakiniuliza kama wanaweza pata material ambayo naweza watumia wakajifunza na kuanza kutengeneza mkaa right away maana wako so interested. Basi nimeona niwasikilize kilio chao.

Kuna kitabu ambacho nimekiandaa kina mafunzo haya ya kutengeneza mkaa wa kisasa kwa ajili ya wale wote walioko mbali ya Dar na Kibaha. Kitabu hiki kinakufundisha kuanza mradi wa kutengeneza mkaa kwa mkono ukiwa na mtaji wa shilingi 5000 tu na kipato chako kikawa sh. 30,000 kwa siku na pia kina mafunzo na picha za jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia mashine iwapo una mpango wa kununua mashine soon.

Wanaohitaji kitabu hiki wawasiliane na mimi kwa 0758 308193 na kinauzwa kwa sh. 10,000 tu. Kifupi ni kuwa una invest sh. 10,000 ya kitabu na unaandaa mtaji wa sh. 5000 tu unaanza biashara ya kutengeneza mkaa ambayo itakuwezesha kutengeneza sh 30,000 kila siku. Dili zur hilo!

Asanteni kwa support yenu.

Hebu tueleze information zilizoko kwenye hicho kitabu ili tuweze kukinunua
 
Hebu tueleze information zilizoko kwenye hicho kitabu ili tuweze kukinunua

Katika kitabu hiki kuna information zifuatazo:

1. Maelezo kuhusu mkaa huu ni wa aina gani
2. Ni aina zipi za malighafi zinahitajika (kumbuka hizi ni malighafi ambazo kila mtu anauwezo wa kuzipata. Zimemzunguka kila mtu)
3. Jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia mkono (kwa asiye na mtaji mkubwa) na kutengeneza kwa kutumia mashine
4. Jinsi ya kutafuta soko la mkaa wako
 
Ni mkaa wa makaratasi nini ambao huwaka haraka na kuisha haraka?kama ni huo hapana taka,pls tujuze r/materials zake ili tudiegest kwanza tuje pata kozi
 
Ni mkaa wa makaratasi nini ambao huwaka haraka na kuisha haraka?kama ni huo hapana taka,pls tujuze r/materials zake ili tudiegest kwanza tuje pata kozi

Mkaa huu unawaka na kupikia kwa muda mrefu. Hauzimi haraka kama unavyosema.

Weka investment ndogo ya sh. 10,000 kununua kitabu hiki kitakupa training yote. Au ukishindwa andaa sh. 45,000 nije nikupe training
 
Tatizo ndugu yetu nawe umelenga masrahi zaidi kuliko kueneza elimu.
mathalani ningeomba kwa wadau wanieleke jinsi ya kutengeneza juice ya nanasi yenye quality nzuri kwajl ya kuuza, wangejtokeza wengi sana kwa ushauri na elimu nzuri ajabu!
lakn ww ujuzi wako umeuleta kwetu dili kwa upande wako yaan ni kama unafanya tangazo la biashara.
Taja angalau raw materials ndg! I.e ukitaka kuwa daktari raw materials ni kuattempt+achieve pcb!
 
Ishu sio maslahi. Ishu hapa ni elimu ndo maana kwa kutambua umuhimu wa kusaidia wengine wasio na kitu nikaamua kufanya mafunzo haya kwa bei rahisi. Mafunzo haya yanatolewa kwa sh. 300,000 unaponunua mashine hizi za mkaa. Mimi nayatoa kwa sh 45,000 au kununua kitabu kwa sh 10,000. Sasa huoni hata wewe hunifanyii haki. Na ukizingatia ni kiasi gani cha pesa utakitengeneza baada ya haya mafunzo mimi naona hizi bei ni sahihi kabisa.
 
'sasa hela sio tatizo mkuu ila tatizo hizo pesa kurudi aidha kama hakuna material sehem ninayokaa itakuwaje kiongozi...?'
 
jamani, hicho kitabu kinapatikana duka gani? mbona maelezo nusunusu!
 
jamani, hicho kitabu kinapatikana duka gani? mbona maelezo nusunusu!

Ukitaka kununua kitabu hiki fanya yafuatayo:

1. Kaa karibu na computer yenye connection ya internet
2. Unanitumia sh. 10,000 kwa njia ya mpesa nami nakutumia kitabu hapo hapo kwa email
 
Nilipofikiria kununua kitabu chako nilifikiria je itakuwa vipi kama nikikutumia pesa then ukatokomea nayo? Lakini niliridhishwa na jinsi ulivyonitumia papo kwa papo. Kitabu chako kina elimu tosha sana.
 
Mimi nipo moro je nikitaka kitabu nitakipataje?kama vipi nijulishe kwa sms namba zangu ni 0789 30 77 66.
Happy new year.
 
Nidokeze bac raw material zake ili na mm ninunue kitabu.sababu nishawahi kutengeneza wa makaratasi isije ikawa huo ni wa makaratasi.
 
Naomba niulize mkuu.huo mkaa baada ya kuutengeneza unafaa kwa ma2mizi baada ya muda gani?na vp hauna moshi?sio unapikia ndani utafikiri unatumia kuni.
 
2ambie bac ndani ya kitabu umeona nn?ili na cc 2kanunue?

Ok ngoja nikujibu maswali yako yote katika message hii.

1. Kuhusu makaratasi, ni kuwa mkaa huu unatengenezwa kwa kutumia malighafi tofauti tofauti na sio kama unavyosema ni wa makaratasi.

2. Ukitaka kujua process nzima ya utengenezaji ningekushauri uweke investment ya sh. 10,000 ununue kitabu kina majibu yote maana siwezi kukuelezea process yake hapa.

3. Mkaa huu una faida nyingi ikiwamo kuwa unaweza pikia ndani ya nyumba na ukawa hauna moshi kama wa kuni na kufanya kuchafua ukuta wa nyumba yako.

4. Katika kitabu hiki kuna mada zifuatazo: Kuuelewa mkaa huu ukoje, jinsi ya kupata raw materials, jinsi ya kuutengeneza, jinsi ya kutafuta soko na kujua masoko yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom