Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Status
Not open for further replies.
jamaa biashara sio Mkaa, biashara hapa ni kuuza taarifa jinsi ya kutengeneza mkaa.
hapa JF biashara ya kuuza taarifa haipo.hiyo biashara peleka ktk spam mails.
in short mtu aliyenunua ameliwa pesa,nakama kweli yupo aliyenunua athibitishe kwa kupost japo kurasa 3 tu za hicho kitabu.
anachouza kipo youtube free bureeeee kabisa search neno biobrickect au biobricks ,raw material ni maranda ya mbao,au vumbi la mbao,makapi ya nazi,mpunga etc.
the spirit of jf is free sharing of informartion.
tafuta mtu anaitwa Malila nda ni ya JF ndio utajua maana ya free sha ring,huyu jamaa amesaidia sana forum ya biashara hasa kilimo.
mtoa mada unapoelekea sipo bora hata ungepost picha ya mashine tungejua kweli unauza mkaa,siyo umecompile internet info halafu unauza ndani ya JF
 
Katika dunia hii kuna kitu kinaitwa Choice. Chaguo. Information za namna mbali mbali za jinsi ya kutengeneza mkaa ziko all over the internet. Kitabu nilichokiandaa mimi ni mafunzo ya experience yangu kama mtengeneza mkaa.

Kwahiyo kila mtu anachaguo la kujifunza, either jifunze mwenyewe kutoka kwenye internet au fundishwa na actual person anayefanya biashara husika. Waingereza wanasema the choice is yours.

Na kuhusu ku share experience ndo maana nimeandaa kitabu hiki. Pia kumbuka information za bure huwa zinaelezea vitu basics tu na si actual experiences za mhusika. So go figure
 
jamaa biashara sio Mkaa, biashara hapa ni kuuza taarifa jinsi ya kutengeneza mkaa.
hapa JF biashara ya kuuza taarifa haipo.hiyo biashara peleka ktk spam mails.
in short mtu aliyenunua ameliwa pesa,nakama kweli yupo aliyenunua athibitishe kwa kupost japo kurasa 3 tu za hicho kitabu.
anachouza kipo youtube free bureeeee kabisa search neno biobrickect au biobricks ,raw material ni maranda ya mbao,au vumbi la mbao,makapi ya nazi,mpunga etc.
the spirit of jf is free sharing of informartion.
tafuta mtu anaitwa Malila nda ni ya JF ndio utajua maana ya free sha ring,huyu jamaa amesaidia sana forum ya biashara hasa kilimo.
mtoa mada unapoelekea sipo bora hata ungepost picha ya mashine tungejua kweli unauza mkaa,siyo umecompile internet info halafu unauza ndani ya JF

Ningekushauri kama kijana mwenzako, tumia hizo information za free ujifunze kutengeneza mkaa nawe ujiongezee kipato tupunguze tatizo la ajira ktk jamii. Kama tayari una ajira, tafadhali waache na wenzako wajaribu kujiajiri.
 
Kama mtu yupo dar anaweza kwendaTatedo au arti tz wanazo hizo technology.au pia tanga east aftican briqueting company..kama sijakosea
 
Kwa kuwa umeamua ku share haya mambo ya utengenezaji wa mkaa nasi, hebu tueleze jinsi wewe ulivyoanza biashara na challenges zake na jinsi ulivyopambana nazo ili nasi tunaokwenda kuanza biashara hii kwa kutumia ujuzi uliotupa, tuweze kuanza tukiwa tunajua jinsi ya kupambana na hizo challenges.
 
Mimi baada ya kupata mafunzo haya ya kutengeneza mkaa nilikuwa sina mitaji. Mara nyingi mitaji ya kuanzisha biashara huwa ndio tatizo. Malengo yangu yalikuwa ni kuanza mradi kwa kutumia mashine. Ila uwezo ulikuwa hauruhusu ukizingatia ndo nilikuwa nimetoka tu chuo. Ikanibidi nianze kutengeneza mkaa kwa mkono bila mashine. Nilianza mwenyewe ila nilipopata soko zuri nikaamua kuajiri wamama wakunisaidia. Hapo ilisaidia kuongeza uzalishaji mara dufu. Mara ya kwanza nilikuwa sina hata hela ya kuwalipa mshahara so nikawaambia ntawalipa tutakapoanza kuuza na wao wakaelewa na ikawasaidia kuongeza juhudi maana walijua wasipochapa kazi kutakuwa hakuna malipo. Baada ya miezi ndo nikafanikiwa kununua mashine.

Challenges mara nyingi ni mitaji. Ukishapambana na ishu ya mtaji mambo mengine ni rahisi. Ishu nyingine ilikuwa tu kuwa kuna baadhi ya watu walikuwa hawaujui huu mkaa wao walizoea ule wa kawaida. So ilikuwa ni matter ya kuwaelimisha na kila kitu kikawa kidogo rahisi. Ila kilichowavuta watu wengi ni bwi yake kuwa ndogo.

Kumbuka kuwa kwa kuwa maisha siku hizi ni magumu watu wamekuwa wakikata matumizi so wanapoona kitu ni cha bei nafuu wanakichangamkia.
 
Mimi nilinunua kitabu chako na kukisoma. Ni kizuri. Kwasasa nimeshajua jinsi ya kutengeneza mkaa ila ningeomba kama unaweza nipa elimu kidogo kuhusu ku manage business kutokana na uzoefu wako. Nataka ni manage huu mradi ntakaoanzisha kwa ufanisi na matokeo mazuri. Niambie nifanyeje niwe manager bora.
 
Nimekuelewa sana Biashara2000 nipo Arusha nahitaji sana kuanza biashara hii naona ni wazo zuri naomba kitabu kama bado kipo
 
Mimi nilinunua kitabu chako na kukisoma. Ni kizuri. Kwasasa nimeshajua jinsi ya kutengeneza mkaa ila ningeomba kama unaweza nipa elimu kidogo kuhusu ku manage business kutokana na uzoefu wako. Nataka ni manage huu mradi ntakaoanzisha kwa ufanisi na matokeo mazuri. Niambie nifanyeje niwe manager bora.

Kuhusu suala la management, kuna mambo mengi yanayohusika. Ila nachukulia kuwa unaanzisha mradi ukitegemea kuajiri watu kadhaa wa kukusaidia. Ntakushauri kwa mambo yafuatayo:

Kama unaanzisha mradi kwa kutengeneza mkaa kwa kutumia mkono, yaani bila mashine, jinsi wingi wa wafanyakazi ulionao ndio wingi wa mkaa utakaotengeneza tofauti na ukitumia mashine inayokupa limit ya production kwa siku. Mfano ukiwa wewe mwenyewe utatengeneza gunia 2 kwa siku ila ukiajiri watu wengine 4 mkawa 5 mtatengeneza gunia 10 kwa siku.

Utakapokuwa na wafanyakazi jaribu kutumia lugha nzuri kwao ili kuwapa motisha wakufanyie kazi nzuri. Watanzania wengi wanachohitaji ni heshima na appreciation tu watakufanyia kazi nzuri

Usipitishe siku ya kuwalipa mshahara. Kama ukipitisha wape sababu nzuri

Kwenye kitabu changu nimeelezea kuhusu kutafuta soko, kwa hiyo kabla hujaanza production ya mkaa mwingi, tengeneza magunia kadhaa kwa ajili ya ku secure soko naamnisha kwa ajili ya kufanyia marketing. Ukitumia njia nilizoandika za kujitangaza, watu wengi watataka kununua kidogo ili waujaribishe waone una tofauti gani na mkaa wa kisasa, sasa ndo hapo utawauzia huo uliotengeneza.

Ishu muhimu sasa iko kwako ili mradi wako ukue zaidi. Utunzaji wa mapato na matumizi ni muhimu sana. Kama utakuwa unatumia faida unayopata kwenye starehe mpaka working capital inatumika, mradi hautakuwa

Kuwa kiongozi wa wafanyakazi wako. Waongoze katika mwelekeo wa mafanikio. Wafanyakazi wako wanapokuja kwako na ideas mbalimbali za kuuendeleza mradi usizipuuze tu kisa zimetoka kwa wafanyakazi wa mradi wako. Heshimu mawazo yao ila haimaanishi ufuate kila wanachokuambia.

Unapokwenda kuuza mkaa wako tumia lugha itakayokusaidia kuuza. Katika kuwaelezea wanunuzi, elekeza maelezo yako zaidi katika faida za mkaa wako. Na faida ambayo utairudia mara kadhaa ni kuhusu bei yake kuwa nafuu. Watu wanavutika kwenye vitu vya bei nafuu.
 
Bei ya kitabu ni kiasi gani? Pia hiyo machine inauzwa kiasi gani? Kwa watu waliopo nje ya Dar wafanyeje kupata Kitabu, machine au mafunzo?
 
Bei ya kitabu ni kiasi gani? Pia hiyo machine inauzwa kiasi gani? Kwa watu waliopo nje ya Dar wafanyeje kupata Kitabu, machine au mafunzo?

Bei ya kitabu ni Sh. 10,000. Katika kitabu hiki kuna information zifuatazo:

1. Maelezo kuhusu mkaa huu ni wa aina gani
2. Ni aina zipi za malighafi zinahitajika (kumbuka hizi ni malighafi ambazo kila mtu anauwezo wa kuzipata. Zimemzunguka kila mtu)
3. Jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia mkono (kwa asiye na mtaji mkubwa) na kutengeneza kwa kutumia mashine
4. Jinsi ya kutafuta soko la mkaa wako

Ukitaka kukipata nipigie 0758 308193. Kuhusu mafunzo haya yanatolewa kwa wakazi wa Dar na Kibaha tu. Kitabu kwa sasa kinapatikana kwa njia ya email. Tutaanza kukiprint mwezi April
 
Niko Morogoro nnahitaji hicho kitabu. Nimeku-PM unipe namba yako nikutumie pesa
 
vipi bei ya hiyo mashine mkuu na inaitwaje tujuze basi?? maana tunauliza hatupati jibu!!!
 
Watu wengi wamekuwa wakinipigia simu wakinieleza kuwa bei ya mafunzo haya mkaa ni kubwa mno kwao na pia wameomba kama ntaweza niwape mafunzo haya kwa njia ya simu, kwa maana kuwa niwape maelezo/mafunzo ya kutengeneza mkaa kwa njia ya mazungumzo kwa simu. Sawa nimekubali wito wao. Mafunzo waliyoomba niwape kwa njia hii ni jinsi ya kutengeneza mkaa kwa mkono. Kwa kuwa mafunzo haya yatakuwa ni kwa njia ya simu gharama yake itakuwa sh. 10,000 ambayo uunanitumia kwa njia ya M-pesa halafu nakupa mafunzo haya kwa simu.

Kwenye mafunzo haya ntakufundisha kuhusu:

1. Jinsi ya kutengeneza mkaa kwa njia ya mkono
2. Jinsi ya kupata malighafi
3. Jinsi ya kuitangaza biashara yako kwa njia rahisi na nafuu.
4. Jinsi ya kutafuta masoko.

Kwa atakayetaka kitabu badala ya mafunzo kwenye simu bado kinauzwa na atakayetaka mafunzo yale ya 45,000 anakaribisjwa.

Nimefanya yote haya kuitikia maombi ya watu wengi walionipigia simu. Namba ni ile ile 0758 308193.

Asanteni sana.
 
Really good idea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom