Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu tuache uvivu, kila kitu etti hatujui, hii itaendelea hadi lini ???????????????????????????????????
sote twajua kuwa shule huanza kufundisha kiingereza toka darasa la tatu na kuendelea
Huku moro kuna jamaa alianzisha mradi wake mwezi august mwaka jana, sasa hivi anajenga
Kuna mtu alinunua kitabu cha kutengeneza mkaa wa kisasa jana akawa anaomba kwa kuwa muda wa ofa ya kitabu cha ziada cha siri za ujasiriamali kilikuwa kimeisha, akaniomba kama naweza niongeze muda wa ofa. Nimeamua kuongeza muda wa ofa mpaka tarehe 30 March. Kwa hiyo ukinunua kitabu cha mkaa unapata kitabu cha siri kuu 4 za ujasiriamali bure. Siri hizi ni zile zinazotumiwa na wafanyabiashara wakubwa ndio maana wanafanikiwa ambapo wajasiriamali wadogo hawazijui. Sasa na wewe unaweza zifahamu na kuzitumia kwenye biashara yako na kufanikiwa kama matajiri wengine.
hebu tuache uvivu, kila kitu etti hatujui, hii itaendelea hadi lini ???????????????????????????????????
sote twajua kuwa shule huanza kufundisha kiingereza toka darasa la tatu na kuendelea
Back kinatolewa bureKile kitabu cha siri kuu 4 za ujasiriamali bado unakitoa bure?
Back kinatolewa bure
.,,,,,
Ulikuwa unamaanisha nini mamaa, au ulisahau ulichokuwa unataka kusema?
mhhmmmm.,,,,,
mhhmmmm
Ndio nini hiyo mwaya
OFA MAALUM KWA WAJASIRIAMALI: Ukinunua kitabu hiki cha jinsi ya kutengeneza mkaa wa kisasa utapata kitabu cha siri kuu 4 za ujasiriamali na cha jinsi ya kufanya kilimo cha greenhouse bure kama ofa. Bei itakuwa sh 15,000 kwa ofa hii. Ile bei ya sh. 10,000 itarudi baada ya ofa hii kuisha. Ofa hii itaisha tarehe 30.06