Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shellukindo, Mei 17, 2024 amefungua Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania.
Mafunzo hayo yaliyotolewa na wanadiplomasia wakongwe Balozi Charles Sanga, Balozi Dkt. Msuya Mangachi, Balozi Dkt. Modest Mero na Balozi Peter Kallaghe yaliwajumuisha wakufunzi wengine toka ndani ya Wizara Balozi John Ulanga na Justin Kisoka.
Mafunzo hayo ni sehemu ya utaratibu wa kawaida kwa Mabalozi, Makonseli Wakuu na Maafisa Waandamizi na wenza wao kufunzwa kabla ya kwenda katika vituo vyao vya uwakilishi.