Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania

Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shellukindo, Mei 17, 2024 amefungua Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania.

Mafunzo hayo yaliyotolewa na wanadiplomasia wakongwe Balozi Charles Sanga, Balozi Dkt. Msuya Mangachi, Balozi Dkt. Modest Mero na Balozi Peter Kallaghe yaliwajumuisha wakufunzi wengine toka ndani ya Wizara Balozi John Ulanga na Justin Kisoka.

Mafunzo hayo ni sehemu ya utaratibu wa kawaida kwa Mabalozi, Makonseli Wakuu na Maafisa Waandamizi na wenza wao kufunzwa kabla ya kwenda katika vituo vyao vya uwakilishi.

IMG-20240517-WA0101.jpg
IMG-20240517-WA0100.jpg
IMG-20240517-WA0099.jpg
IMG-20240517-WA0096.jpg
IMG-20240517-WA0097.jpg
IMG-20240517-WA0098.jpg
 
Vizuri sana.

Hata viongozi wa kata na vijiji wapewe seminar elekezi ili kuyamudu majukumu yao.

Moja ya elekezo ni kunywa kistaarabu ugenini
 
Back
Top Bottom