Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation Centre!.

Shukrani Pasco! umetuletea mwanga ngoja tuutafute huo mwanga. kwani msemo wa kiswahili unasema ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze.
 
Mkuu Pasco nayataka sana hayo mafundisho ila nikitemebelea hii page sioni kitu. please help
Wanabodi,

Kwa wapenzi wa meditation, na wasiojua kuhusu meditation fursa ni hii!.

image.tiff
 
.
Mkuu Sangarara, ukizaliwa gizani na kuishi ziku zote gizani, atakaeleta mwanga wa mshumaa, na kukuambia huo ndio mwanga mkubwa kuliko yote, utaamini!. Sasa utakapoliona jua, unaweza hata kupofuka!. Knowledge yako kwenye Biblia Takatifu ni huo mwanga wa mshumaa, fanya meditation hata wewe mwenyewe tuu, ufunuliwe ili ulione jua!.

Kwa wote wasiojua kuhusu meditation, msiwe na wasiwasi kwa sababu, life goes on, "you can never miss something you never had"!.

Wengi wetu mnafikiri kuna watu wamezaliwa kuwa masikini milele na wengine kuwa matajiri!, no!. Watu ni masikini kwa sababu they never had the opportunities to change their lives, na matajiri had not only the opportunities, but they seize them!. Jumamosi ni siku ya opportinity yako wewe kujitambua na kufungua doors of opportunities kubadili maisha yako for good!. The choice is yours, endelea kuishi hivyo unavyoishi as long as umeridhika and your happy!. Bali kwa wale wanaotaka to change for the better!, you are most welcome!.

Wewe hivi unajua Yesu alipopanda mlimani na kuwaacha Peter na Yohana mpaka akawakuta wamesinzia, alikwenda kufanya nini?.

Hivi kusali kwa dhadi ni kufanya nini?, au wewe unaamini kusali kwa makelele mpaka kulia ndio Mungu anasikia sana?!.

Hivi unajua Yesu kabla hajafanya miujiza huwa anafanya nini kwanza?.

Hebu nenda pale St. Joseph, angalia watu wanaokuja kanisani na kujikalia kimya tuu, wanafanya nini?.

Jee unajua kitu kinaitwa "serenity?", unajua kinapatikanaje?.

Open up!.

Kwa hiyo unataka kuaminisha watu kwamba meditation na kusali/kuomba ni kitu kimoja? instances zote ulizozitaja hapa za Yesu alikuwa anasali/anaomba sasa sema kuna mahusiano gani na meditation unayoizungumia wewe?

Narudia tena kuwaonya, wale wote wanaojitambulisha kama wakirsto kukaa mbali na jambo hili.

online englisha dictionary inasema meditation ni nini?
continued or extended thought; reflection; contemplation.

Thought of what - word of God
Refelection - on the word of God
Comtemplating - the word of God.

Sasa wewe unataka watu wakafundishwe kumeditate on what?

Kwa hiyo unataka kuaminisha watu kwamba meditation na kusali/kuomba ni kitu kimoja? instances zote ulizozitaja hapa za Yesu alikuwa anasali/anaomba sasa sema kuna mahusiano gani na meditation unayoizungumia wewe?

Narudia tena kuwaonya, wale wote wanaojitambulisha kama wakirsto kukaa mbali na jambo hili.

online englisha dictionary inasema meditation ni nini?
continuedorextendedthought;reflection;contemplation.

Thought of what - word of God
Refelection - on the word of God
Comtemplating - the word of God.

Sasa wewe unataka watu wakafundishwe kumeditate on what?

usikompliketi mambo read Meditation - Wikipedia, the free encyclopedia
 
eo ni siku ya kimataifa ya Yoga , Meditation au Tahajudi.

Siku hii imeadhimishwa kwa mazoezi ya Yoga kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Vijana , Sanaa na Utamaduni, Mhe. Nape Mnauye na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Darisalama, Paul Makonda.

Kwa wasio jua kuhusu Yoga, meditation au tahajudi karibuni pande hizi.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation ...
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" | JamiiForums ..
"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...
Jifunze: Namna ya kufanya TAHAJUDI (Meditation)... | JamiiForums ...

Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) | JamiiForums | The Home ...
Mwanzo wa meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je unataka kuishi maisha ya amani na utulivu? Fanya hivi ...
Meditation in your daily routine | JamiiForums | The Home of Great ...
Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation | JamiiForums | The Home of ..
Your Brain on Meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Sitaki tena kupaa angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis ...
Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way ...
Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation? | Page 2 ...
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra | P
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga |

Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation?
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)
Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali? | Page 7 ...

Mwana jf Mtambuzi ni mwana tahahajudi mkuu humu jukwaani. Wengine ni kina
mshana jr, MziziMkavu, Rakims na wengine wengi.

Karibuni tutafakari.

Pasco
 
Mtu yeyote anayedhani kwamba yeye ni mkiristo ajiepushe na UOVU HUU, Huyu Pasco asiwadanganye ni kujitambulisha kwake kwamba ni mkatoriki lakini anashiriki katika UOVU HUU ili kujustify rightiousness ya UOVU HUU. Kwanza Ukatoriki sio Ukiristo kama statement ya Pasco ina lengo lolote la kuonyesha hivyo.

Biblia ambayo ndio Muongozo wa Imani ya Mkirsto inasema hivi kuhusu Meditation
"O how Love I your Law! It is my meditation all the day" Psalm 119:97 na hapa "Mine eyes prevent the night watches, that I might meditate in your word" Psalm 119:48. Simple and clear, kama unataka kumedidate fanya hivyo kwa kulitafakali neno/sheria ya Mwenyezi Mungu wako usiku na mchana. Njia nyingine yoyote ya kufanya hivi ni UOVU. KAENI MBALI NA UOVU HUU
Unachokiamini wewe kishike we mwenyee usije kutukanya sisi wakati wewe mwenyewe una macho mawili!
 
Aliyeko Gizani hajui kwamba yupo gizani, ni kama mlevi anayekana kulewa au punguani anayekana upunguani, Pasco utamkiri yesu siku utakapoijua kweli , unaweza kuwa mkristo jina kwa kuwa na jina la kikristo tu bali ndani yako Yesu hayupo. Mshirikina akimjua Yesu ndipo anapokiri uharibifu aliyokwisha ufanya hapo awali.
 
eo ni siku ya kimataifa ya Yoga , Meditation au Tahajudi.

Siku hii imeadhimishwa kwa mazoezi ya Yoga kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Vijana , Sanaa na Utamaduni, Mhe. Nape Mnauye na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Darisalama, Paul Makonda.

Kwa wasio jua kuhusu Yoga, meditation au tahajudi karibuni pande hizi.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation ...
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" | JamiiForums ..
"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...
Jifunze: Namna ya kufanya TAHAJUDI (Meditation)... | JamiiForums ...

Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) | JamiiForums | The Home ...
Mwanzo wa meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je unataka kuishi maisha ya amani na utulivu? Fanya hivi ...
Meditation in your daily routine | JamiiForums | The Home of Great ...
Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation | JamiiForums | The Home of ..
Your Brain on Meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Sitaki tena kupaa angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis ...
Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way ...
Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation? | Page 2 ...
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra | P
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga |

Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation?
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)
Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali? | Page 7 ...

Mwana jf Mtambuzi ni mwana tahahajudi mkuu humu jukwaani. Wengine ni kina
mshana jr, MziziMkavu, Rakims na wengine wengi.

Karibuni tutafakari.
Haya
 
Aliyeko Gizani hajui kwamba yupo gizani, ni kama mlevi anayekana kulewa au punguani anayekana upunguani, Pasco utamkiri yesu siku utakapoijua kweli , unaweza kuwa mkristo jina kwa kuwa na jina la kikristo tu bali ndani yako Yesu hayupo. Mshirikina akimjua Yesu ndipo anapokiri uharibifu aliyokwisha ufanya hapo awali.
Mkuu , huu ni uzi kuhusu tahajudi, yaani meditation!, kwa lugha rahisi, meditation ni concentration kwa malengo!.

Kuna watu wanadhani wanamjua Yesu, kumbe kiukweli hawamjui Yesu, bali wanachokijua ni kile tuu kilichoandikwa kumhusu Yesu!, wanaomjua Yesu ni wale wanaoijua kweli halisi!, kwa sababu Yesu ni "njia!, kweli na uzima!".

Kwa kukusaidia tuu wewe na wengine ambao mlidhani mnamjua Yesu, na kuihusisha meditation na mambo ya kishetani, nyinyi ndio ambao mtakuwa hamjui!. Yesu Kristo mwenyewe ni mmoja wa mameditator wakuu waliopata kuwepo!. Manabii wote ni ma meditator!. Kusali ni meditation!.

Msingi mkuu wa madititation ni matumizi ya nguvu za Uungu, zilizowekwa na Mungu ndani yetu, ile siku Mungu, ametuumba!. Mungu ametuumba kwa mfano wake, na alipotupulizia pumzi ya uhai, inayoitwa roho, ni nguvu ya Uungu iliyomo ndani yetu!.

Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...

"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...

Pasco
 
Mkuu , huu ni uzi kuhusu tahajudi, yaani meditation!, kwa lugha rahisi, meditation ni concentration kwa malengo!.

Kuna watu wanadhani wanamjua Yesu, kumbe kiukweli hawamjui Yesu, bali wanachokijua ni kile tuu kilichoandikwa kumhusu Yesu!, wanaomjua Yesu ni wale wanaoijua kweli halisi!, kwa sababu Yesu ni "njia!, kweli na uzima!".

Kwa kukusaidia tuu wewe na wengine ambao mlidhani mnamjua Yesu, na kuihusisha meditation na mambo ya kishetani, nyinyi ndio ambao mtakuwa hamjui!. Yesu Kristo mwenyewe ni mmoja wa mameditator wakuu waliopata kuwepo!. Manabii wote ni ma meditator!. Kusali ni meditation!.

Msingi mkuu wa madititation ni matumizi ya nguvu za Uungu, zilizowekwa na Mungu ndani yetu, ile siku Mungu, ametuumba!. Mungu ametuumba kwa mfano wake, na alipotupulizia pumzi ya uhai, inayoitwa roho, ni nguvu ya Uungu iliyomo ndani yetu!.

Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...

"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...

Pasco
Mkuu bado ipo hiyi center ya meditation....
 
Who is Satan?, hivi mwanzoshetani hakuwa malaika?, wewe una uwezo wa kujua Mungu alianzaje?, kwa kukusaidia tuu, jinsi Mungu alivyoanza, ndivyo hivyo shetani alivyoanza!.

Mungu ana nguvu za ki Mungu na shetani ana nguvu za kishetani.

Bwana wetu Yesu Kristo alisema, siku za mwisho, watakuja watu, watafanya miujiza na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu!. Kwa hali ilivyo sasa, kama huna uwezo wa maono, utajuaje huko unakoabudu wewe ndiko?!.

Meditation inakupa ufahamu, awareness na enlighment kuona yasionekanika kwa naked eyes, na kusikia voices from within itakayo kupa kweli!.

Mimi hapa nilipo, hata kwa kutazama tuu kwenye TV naweza kuona wahubiri kibao wakifanya miujiza kwa jina la Yesu ila kiukweli wanamtumikia shetani!.
Wape ukweli kaka pasico maana hawajui lolote wanaona wachungaji wanakemea wanaamini kumbe mwovu anatenda kazi na Biblia ikasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Back
Top Bottom