Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation Centre!.

Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation Centre!.

Kuna jamaa times FM anajiita mlezi aisee nilimskiza siku moja usiku mpka nikabadilisha channel haya mambo kama yana Giza ndani yake
 
Mkuu kama naweza pata pesa kiurahisi kwa kufanya iyo meditation ata kwa kiingilio nikotayari ayo mambo mengine sina mpango nayo mimi kwa maana nikimjua mungu ndio nitafanyaje sasa ...

kwa ninavyojijua mimi kwa akili zangu nitamlaumu tu......

MAANA HAIWEZEKANI WATU TUPATE SHIDA DUNIANI INGALI YEYE YUPO TU, MZAZI TU AKIONA NAPATA SHIDA YUKO TAYARI KUFANYA CHOCHOTE iweje YEYE MUUMBA ale ganzi TU....
 
Back
Top Bottom