Mkuu kama naweza pata pesa kiurahisi kwa kufanya iyo meditation ata kwa kiingilio nikotayari ayo mambo mengine sina mpango nayo mimi kwa maana nikimjua mungu ndio nitafanyaje sasa ...
kwa ninavyojijua mimi kwa akili zangu nitamlaumu tu......
MAANA HAIWEZEKANI WATU TUPATE SHIDA DUNIANI INGALI YEYE YUPO TU, MZAZI TU AKIONA NAPATA SHIDA YUKO TAYARI KUFANYA CHOCHOTE iweje YEYE MUUMBA ale ganzi TU....