Mafunzo ya RC Gambo kwa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Arusha yaingia shubiri

Mafunzo ya RC Gambo kwa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Arusha yaingia shubiri

Mrisho ni Muwakilishi wa Raisi mtaumia nyie as long hajaitia hasara Serikali wala Chama tatizo lipo wapi kama vipi kashtakini Polisi... huu ni mwaka wa figisu kama huwezi kaa benchi.

Subirini mtayaoa mengi mno kama ni wageni kwenye Siasa. Sio Arusha tu kila mkoa tafuteni nanyi mbinu zenu... Kazi aliyofanya Mrisho kwa Niaba ya Raisi haina Mfano kwa umri wake
Upuuzi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rushwa ina sura mbili. Mosi ni mtoa rushwa na pili ni mpokeaji wa hiyo rushwa. Enzi za Mwalimu wote hao walikuwa na hatia. Mmoja kwa kutoa rushwa na mwingine kwa kupokea rushwa. Hivyo wote hao walikwenda na "manche ga nyancha" hakukuwa na msamaha kwa kosa hilo. Hivyo hata hao wanaomtuhumu RC wajiandae vyema kwani KM si wa mchezo.
 
Ndiyo kusema Serikali sasa ndiyo inayoongoza chama; siyo kinyume chake! Kwa wale wanaotunza kumbukumbu hii nayo inafaa kuwekwa mahali pake; itasaidia baadaye kama rejea pale Tanzania itakapozaliwa upya.
 
Back
Top Bottom