Mafunzo ya RC Gambo kwa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Arusha yaingia shubiri

Upuuzi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rushwa ina sura mbili. Mosi ni mtoa rushwa na pili ni mpokeaji wa hiyo rushwa. Enzi za Mwalimu wote hao walikuwa na hatia. Mmoja kwa kutoa rushwa na mwingine kwa kupokea rushwa. Hivyo wote hao walikwenda na "manche ga nyancha" hakukuwa na msamaha kwa kosa hilo. Hivyo hata hao wanaomtuhumu RC wajiandae vyema kwani KM si wa mchezo.
 
Ndiyo kusema Serikali sasa ndiyo inayoongoza chama; siyo kinyume chake! Kwa wale wanaotunza kumbukumbu hii nayo inafaa kuwekwa mahali pake; itasaidia baadaye kama rejea pale Tanzania itakapozaliwa upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…