Mafuriko Dar es Salaam: liko wapi ziwa Mwananyamala, Ziwa Tandale na ziwa Magomeni?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani.

Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda wa pwani inaamini bado haya maeneo ya maziwa yapo, hivyo mito hiyo inaleta maji ziwani.

Tunashangaa mafuriko, kumbe hayo maeneo ni sehemu Mungu aliitenga kwa ajili ya maji.

Hakuna namna ya kuiponya Dsm dhidi ya mafuriko. Sinza, Tandale, Mwananyamala ni eneo oevu (ihefu ya jiji)

Wilaya pekee isiyo na mafuriko ni Kigamboni.
Screenshot_20240121-145740.jpg
 
Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani.

Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda wa pwani inaamini bado haya maeneo ya maziwa yapo, hivyo yanaleta maji ziwani.

Tunashangaa mafuriko, kumbe hayo maeneo ni sehemu Mungu aliitenga kwa ajili ya maji.

Hakuna namna ya kuiponya Dsm dhidi ya mafuriko.

Wilaya pekee isiyo na mafuriko ni Kigamboni.
View attachment 2878546
Kama huu mchoro ni legit umetisha sana kaka.
 
Mito ikijengewa kingo zake mafuriko yanaisha. Kumbuka miji yote duniani, kandokando mwa bahari, ilipojengwa enzi hizo ilitumia maji yasiyokuwa ya bahari hivyo kulikuwa na vyanzo vya maji baridi kama mito. Ikijengewa mafuriko inabaki historia.
 
Angalia akili zako, walioharibu miundo mhinu ni CHADEMA ama CCM. Unajua kada wenu alijenga kwenye njia ya mkondo wa maji? CCM imeuza sehemu zote za wazi, wanauza mpaka Bandari sasa hapo nani mkosefu.
Malasusa amesema wanaotaka kuandamana wamelaaniwa
 
Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani.

Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda wa pwani inaamini bado haya maeneo ya maziwa yapo, hivyo yanaleta maji ziwani.

Tunashangaa mafuriko, kumbe hayo maeneo ni sehemu Mungu aliitenga kwa ajili ya maji.

Hakuna namna ya kuiponya Dsm dhidi ya mafuriko.

Wilaya pekee isiyo na mafuriko ni Kigamboni.
View attachment 2878546
SERIKALI ya ccm imeruhusu UJENZI wa hovyo maeneo mengi ya Jiji la Dsm leo Kila sehemu ni mafuriko
WIZARA ya ARDHI ilikuwa hapa hapa DSM huku watendaji wake Wakiuharibu mji

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuna mtu sasa hivi ananunua sehemu sinza kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi 😄 labda kwa ajili ya fremu lodge au hotel
Watu wa Dar mnashindwa? Si mnapendelea status ya kukaa mjini bila kujali dhoruba
 
Nikiwa Rais wa nchi hii Wizara ya kwanza kuivunja na naweza weka ndani watumishi wake ni Wizara ya Ardhi

Haya ni matokeo ya kutozingatia mipango miji.
 
Back
Top Bottom