CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
usicheze na nguvu za majiMito ikijengewa kingo zake mafuriko yanaisha. Kumbuka miji yote duniani, kandokando mwa bahari, ilipojengwa enzi hizo ilitumia maji yasiyokuwa ya bahari hivyo kulikuwa na vyanzo vya maji baridi kama mito. Ikijengewa mafuriko inabaki historia.